RUSHWA YA NGONO YAMNASA KANJIBAI

Stori:Â richard Bukos na Issa Mnally/Ijumaa Hii ni tuhuma nzito! Katika hali inayoonesha maadili Bongo yanagaragazwa kwa kiwango cha kutisha, mapema wiki hii jamaa mmoja mfanyabiashara mwenye asili ya Kihindi almaarufu Kanjibai au Ponjoro, alinaswa kitandani akiwa mtupu na mwanamke aitwaye Hidaya ambaye ni mke wa mtu, akidaiwa kudai rushwa ya ngono ili ampe ajira. Kanjibai akiwa mpole baada ya kufumaniwa. OFM YATONYWA ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
DK. CHENI: RUSHWA YA NGONO WANAITAKA WENYEWE!
11 years ago
GPL
MENINAH AFUNGUKIA RUSHWA YA NGONO BSS
11 years ago
GPL
SANDRA NA RUSHWA YA NGONO BONGO MOVIE
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Rushwa ya ngono yamtafuna afisa elimu
AFISA Elimu Sekondari wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Julius Kakyama, anaandamwa na tuhuma nzito. Tuhuma hizi zinatoka wilayani Muleba, mkoa wa Kagera alikofanya kazi kabla ya kuhamishwa. Anadaiwa kutumia...
10 years ago
Bongo Movies25 Jul
Rushwa ya ngono iliniondoa Kaole-Batuli
Msanii wa bongo movie Batuli ameweka wazi kuwa alikimbia kundi la Kaole sanaa Group baada ya kukutana na changamoto nyingi ikiwepo changamoto ya rushwa ya ngono, Batuli amefunguka hayo leo alipokuwa katika kipengele cha Kikaangoni kinachofanyika kila siku ya Jumatano kupitia ukurasa wa facebook wa EATV.
Batuli alifunguka na kusema kuwa moja ya sababu kubwa ambayo ilimfanya kuondoka katika kundi hilo ilikuwa kuombwa rushwa ya ngono ili aweze kupewa kipaumbele zaidi kuliko wasanii wengine...
10 years ago
Mwananchi27 Dec
Rushwa, ngono tatizo Miss Tanzania
10 years ago
GPL16 Feb
11 years ago
GPL
MENINA: ETI NITOE RUSHWA YA NGONO, MH!
11 years ago
Mwananchi12 Sep
Mkiombwa rushwa ya ngono semeni-Wajiki