SANDRA NA RUSHWA YA NGONO BONGO MOVIE
![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoORUJX1ZpgX4NZf5gUDOpccLu-yDH50r85OFQY7Bmay-RNhZoEzN9HFMuR7Z5l*k5-hswzv3R59Ngoy-gjDgVtGV/sandra.jpg?width=650)
Stori: Mayasa Mariwata STAA wa filamu Bongo, Salma Salmini ‘Sandra’ amesema kuwa tangu ajiunge Bongo Movie hakuna manufaa aliyoyapata kwa kuwa chama hicho kinaendekeza ubaguzi kwa kuthamini rushwa ya ngono. Salma Salmini ‘Sandra’. Akipiga stori na paparazi wetu alisema, kikubwa kinachoikwamisha tasnia hiyo ambayo kwa sasa inaongozwa na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ni watu kusaidiana...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies28 Mar
Marry Alia na Rushwa ya Ngono Bongo Movie
Msanii chipukizi wa filamu zakibongo, Marry Elias amewalalamikia baadhi ya watengeneza filamu kwa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha wasanii chipukizi kwa kuwaomba rushwa ya ngono, msanii huyo anasema kuwa wasanii wasio majina ambao wanapofika katika usahili wa filamu ukwama hadi watoe rushwa ya ngono.
“Katika tasnia ya filamu Bongo kwa mtoto wa kike kuna changamoto nyingi lakini inayoniumiza ni baadhi ya wasanii kututaka kimapenzi ndio akupe kazi yake au anaweza asikupe kabisa na hiyo, ni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TQDVHBx0tuUu6*Uk6nl09LqgRMP9L2*oRHFbFcYf55VJX7ESYHDI-blBXufzqMT6fBRXIS01FimhcYOC90p3-006fZg3dHvQ/sandra.jpg)
SANDRA: SIJAWAHI KUTOA RUSHWA YA NGONO KWA ‘DAIREKTA’
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vYFBfoh8eSoFAgaQ3oZT7FkAw8WP*DhcGRqjmEHI6hGbzjDadDzmgUQUSZMNiCkr-RWQF9ir2Mck2nRdqiozdwdIZPgsTVsP/saby.jpg)
SABBY: RUSHWA YA NGONO BONGO MUVI IMENITESA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7466U3ZMMqUI7x5pPBeSqxIAOnmCFzTGVXWuxZ8Ngor5mJDH9AgTrP2nlaLGCLfbK98DUKYMuFfBODJOKF6VgnGCodLXLyUT/Sandra.jpg)
SANDRA AKIMBIA UKATA BONGO MUVI!
5 years ago
Bongo514 Feb
Wasanii wa Bongo Movie wanaishi ‘Ki Bongo Flava’ – Nikki wa Pili
Msanii wa hip hop kutoka Weusi, Nikki wa Pili, ametia neno katika sakata linaloendelea la kupigwa marufuku kwa filamu za nje kwa madai zinaingizwa bila kulipiwa kodi hali ambayo imesababisha kuwa nyingi na kuzinyima filamu za ndani nafasi ya kufanya vizuri sokoni.
Hatua hiyo imekuja baada ya siku ya Jumatano wiki hii baadhi ya wasanii wa filamu nchini kuandamana wakiwa na Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Paul Makonda, kupinga filamu hizo ambapo RC huyo alipiga marufuku filamu hizo huku akitaka...
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)
Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]
The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Bongo Movies10 Feb
Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva
Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao
“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni mbali hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...