Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marry Alia na Rushwa ya Ngono Bongo Movie

Msanii  chipukizi wa filamu zakibongo, Marry Elias amewalalamikia baadhi ya watengeneza filamu kwa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha wasanii chipukizi kwa kuwaomba rushwa ya ngono, msanii huyo anasema kuwa wasanii wasio majina ambao wanapofika katika usahili wa filamu ukwama hadi watoe rushwa ya ngono.

“Katika tasnia ya filamu Bongo kwa mtoto wa kike kuna changamoto nyingi lakini inayoniumiza ni baadhi ya wasanii kututaka kimapenzi ndio akupe kazi yake au anaweza asikupe kabisa na hiyo, ni...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SANDRA NA RUSHWA YA NGONO BONGO MOVIE

Stori: Mayasa Mariwata
STAA wa filamu Bongo, Salma Salmini ‘Sandra’ amesema kuwa tangu ajiunge Bongo Movie hakuna manufaa aliyoyapata kwa kuwa chama hicho kinaendekeza ubaguzi kwa kuthamini rushwa ya ngono. Salma Salmini ‘Sandra’. Akipiga stori na paparazi wetu alisema, kikubwa kinachoikwamisha tasnia hiyo ambayo kwa sasa inaongozwa na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ni watu kusaidiana...

 

10 years ago

Bongo Movies

Leila Alia na Wakware Bongo Movie!

Mrembo na mwigizaji wa filamu za hapa Bongo maarufu kama Bongo Movies,  Jennifer Ernest ‘Leila’ amefunguka kwa kusema kuwa rushwa ya ngono na dhuluma katika tasnia ya Filamu inaua vipaji halisi na kubaki wababaishaji wanaopewa nafasi kwa ajili ya kujitoa sadaka ya miili yao.

Leila anasema kuwa watayarishaji wengi wamekuwa wakitolea muswada (Script) katika mahoteli au nyumba za kulala wageni na waopewa ni wale wanaokidhi matakwa yao, lakini mbaya zaidi ni wasanii kuchezeshwa kwa mikopo...

 

10 years ago

GPL

SABBY: RUSHWA YA NGONO BONGO MUVI IMENITESA

Stori: IMELDA MTEMA Msanii wa filamu, Salma Omary ‘Sabby’ ameamua kufunguka kuwa ameteswa sana na rushwa ya ngono aliyokuwa akikutana nayo pindi alipokuwa akifurukuta kutoka kisanii. Msanii wa filamu, Salma Omary ‘Sabby’ akipozi. Akizungumza na Ijumaa Sabby alisema, tatizo hilo la rushwa anaweza kuwa miongoni mwa wasanii waliosumbuliwa sana wakati kuna baadhi walipokuwa wakitolewa nje, walikuwa...

 

5 years ago

Bongo5

Wasanii wa Bongo Movie wanaishi ‘Ki Bongo Flava’ – Nikki wa Pili

Msanii wa hip hop kutoka Weusi, Nikki wa Pili, ametia neno katika sakata linaloendelea la kupigwa marufuku kwa filamu za nje kwa madai zinaingizwa bila kulipiwa kodi hali ambayo imesababisha kuwa nyingi na kuzinyima filamu za ndani nafasi ya kufanya vizuri sokoni.

Hatua hiyo imekuja baada ya siku ya Jumatano wiki hii baadhi ya wasanii wa filamu nchini kuandamana wakiwa na Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Paul Makonda, kupinga filamu hizo ambapo RC huyo alipiga marufuku filamu hizo huku akitaka...

 

9 years ago

MillardAyo

Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)

Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]

The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva

Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu  wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao

“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni  mbali  hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kabwe alia na zabuni za rushwa

Wakati Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akitaka waziri anayehusika na kusimamia Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC) achukuliwe hatua kutokana na zabuni yenye harufu ya rushwa, imebainika kuwa hukumu iliyotolewa na Mamlaka ya Rufaa za Zabuni za Umma (PPAA), imesema kampuni iliyoshinda zabuni hiyo ilishiriki kuandaa nyaraka za zabuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani