SANDRA: SIJAWAHI KUTOA RUSHWA YA NGONO KWA ‘DAIREKTA’
![](http://api.ning.com:80/files/TQDVHBx0tuUu6*Uk6nl09LqgRMP9L2*oRHFbFcYf55VJX7ESYHDI-blBXufzqMT6fBRXIS01FimhcYOC90p3-006fZg3dHvQ/sandra.jpg)
Na Imelda Mtema MSANII wa siku nyingi katika tansia ya filamu Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’ amefunguka kuwa tangu ameanza kujihusisha na mambo ya sanaa hajawahi kuwa na bwana ndani ya klabu ya Bongo Movies na wala hajawahi kutoa rushwa ya ngono kwa ‘dairekta’ kama ilivyo kwa wengine. Msanii wa siku nyingi katika tansia ya filamu Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’. Akizungumza na mwandishi wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoORUJX1ZpgX4NZf5gUDOpccLu-yDH50r85OFQY7Bmay-RNhZoEzN9HFMuR7Z5l*k5-hswzv3R59Ngoy-gjDgVtGV/sandra.jpg?width=650)
SANDRA NA RUSHWA YA NGONO BONGO MOVIE
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
Sumaye: Sijawahi kutoa, kupokea rushwa
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema hajawahi kutoa wala kupokea rushwa. Waziri mkuu huyo anayejipambanua kwa kupiga vita rushwa alisisitiza kwamba katika kipindi cha miaka 20 aliyokuwa Mbunge wa Hanang’...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q25Z4Naksm7wtM7*hyDUA8PDc3hnDe2uCarYZTmQAn3UOC6s186r02Yc7lK3sKQfB78zA*L6a8LMXZPTZ9ALWCW/lundenga.jpg?width=650)
ANKO LUNDENGA: HAKUNA MISS TANZANIA ANAYESHINDA KWA KUTOA RUSHWA YA NGONO
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-8bWXsr_PvLI/VP0zk0rudfI/AAAAAAAApr4/lh4mSZ7_Wp8/s72-c/secre.png)
Utafiti unasema 60% ya akina dada wafanyakazi wamepata kazi kwa kutoa rushwa ya ngono
![](http://1.bp.blogspot.com/-8bWXsr_PvLI/VP0zk0rudfI/AAAAAAAApr4/lh4mSZ7_Wp8/s640/secre.png)
10 years ago
Habarileo22 Jan
Mbunge: Sijawahi kupokea rushwa kutoka kwa Liana
MBUNGE wa Bahi, Omary Badwell (CCM) ameieleza Mahakama kuwa hajawahi kuomba na kupokea rushwa kutoka kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga, Sipora Liana.
10 years ago
Habarileo13 Dec
Mdee ataka nafasi za uongozi kwa sifa sio rushwa ya ngono
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) amewahimiza wasichana kuhakikisha wanapata nafasi za uongozi kwa sifa na si kwa kutoa rushwa ya ngono ili kulinda heshima na uadilifu wa wanawake katika utumishi wa umma.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-b26CKmVYHQM/XlVC1i0p7aI/AAAAAAALfY4/Z8_AEVT5SWcan4tP5SGAVzYPhCU9a6qkwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-25%2Bat%2B16.32.52.jpeg)
RAIA WAWILI WA CHINA WAFIKISHWA KORTINI KWA TUHUMA ZA KUTOA RUSHWA YA MILIONI 11.5 KWA KAMISHNA MKUU WA TRA
![](https://1.bp.blogspot.com/-b26CKmVYHQM/XlVC1i0p7aI/AAAAAAALfY4/Z8_AEVT5SWcan4tP5SGAVzYPhCU9a6qkwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-25%2Bat%2B16.32.52.jpeg)
RAIA wa wawili wa China wanaoishi Mkoa Iringa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shitaka la kutoa rushwa ya Sh. Milioni 11.5 kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)Dk. Edwin Mhede.
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa na Wakili wa Serikali kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (TAKUKURU ) Mwakatobe Mshana imewataja washtakiwa hao kuwa ni Heng Rongnan (50) na Ou Ya (47) wote wakazi wa Kinyambo ...
11 years ago
Habarileo28 Jul
Pinda: Kataeni wanaotaka uongozi kwa kutoa rushwa
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, ameonya Watanzania kuwa makini na watu wanaotumia rushwa, ili kupata nafasi za uongozi na hasa kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 2015.
10 years ago
Habarileo07 Feb
Takukuru kutoa elimu kwa jamii kuepuka rushwa
TAASISI ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru) imesema ina mpango mkakati unaowahusisha wadau mbalimbali wa namna ya kuielimisha jamii ielewe juu ya madhara ya rushwa ili kwa pamoja, iweze kusaidia katika mapambano ya kuitokomeza.