RAIA WAWILI WA CHINA WAFIKISHWA KORTINI KWA TUHUMA ZA KUTOA RUSHWA YA MILIONI 11.5 KWA KAMISHNA MKUU WA TRA
Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii
RAIA wa wawili wa China wanaoishi Mkoa Iringa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shitaka la kutoa rushwa ya Sh. Milioni 11.5 kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)Dk. Edwin Mhede.
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa na Wakili wa Serikali kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (TAKUKURU ) Mwakatobe Mshana imewataja washtakiwa hao kuwa ni Heng Rongnan (50) na Ou Ya (47) wote wakazi wa Kinyambo ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTAKUKURU MANYARA YAMFIKISHA KORTINI MWENYEKITI WA SOKO KWA TUHUMA ZA KUTOA RUSHWA
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkuu wa Takukuru mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu, Juni 9 mwaka huu, Songelaeli ameshtakiwa kwa kosa la kutoa rushwa ya shilingi 407,000 kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Yefred...
11 years ago
Habarileo04 Apr
Wawili kortini kwa tuhuma za kughushi
WASHTAKIWA wawili, Salum Mkoko na Mustaph Kantelu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka matano ya kughushi, kutoa taarifa za uongo, matumizi mabaya ya madaraka na kukwepa kulipa kodi.
10 years ago
Mwananchi13 Jun
Mkurugenzi wa Wizara ya Afya kortini kwa tuhuma za rushwa
5 years ago
MichuziTAKUKURU MKOA WA SINGIDA YAMBURUZA KORTINI DAKTARI KWA TUHUMA YA RUSHWA
Na Godwin Myovela, Singida.TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) Mkoa wa Singida imemburuza mahakamani Dkt. Abdul Sewando wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida (Mandewa) akituhumiwa kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa kutoka kwa mgonjwa kinyume na kifungu cha 15 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya Mwaka 2007.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jana kwenye ofisi za PCCB, Mkuu wa...
5 years ago
Michuzi11 years ago
Michuzi17 Jul
watu 16 wafikishwa mahakama ya kisutu kwa tuhuma za ugaidi leo
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Wazazi wa binti aliyefariki dunia kwa utata wafikishwa kortini
5 years ago
MichuziMKURUGNZI MKUU MSD,MKUU WW LOJISTIKI WAFIKISHWA MAHAKAMANI WAKIKABILIWA NA KESI YA TUHUMA YA UHUJUMU UCHUMI
MKURUGENZI Mkuu wa Bohari kuu ya Dawa (MSD) nchini, Laurean Bwanakunu na Mkuu wa Lojistiki wa bohari hiyo Byekwaso Tabura wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka matano likiwemo la kuisababishia hasara ya zaidi ya Sh.Bilioni bilioni 3.8
Mashtaka mengine ni kuongoza genge la uhalifu, utakatishaji na matumizi mabaya ya madaraka. Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo leo Juni 5, 2020, na...
5 years ago
MichuziMaafisa watendaji 7 wafikishwa mahakamani kwa tuhuma ya wizi wa kutumia mashine za POS
Takukuru mkoa wa Njombe imewafikisha mahakamani wilaya ya Makete maafisa 7 watendaji wa vijiji kwa tuhuma ya wizi wa fedha Tshs.99,321,466/- za halmashauri ya wilaya ya Makete,ambazo zilikuwa ni makusanyo ya mapato ya halmashauri kwa kutumia mashine za POS (Point of Sale electronic Machine)
Mkuu wa Takukuru mkoa wa Njombe Bi.Domina Mukama, amesema kesi zilizofunguliwa mahakamani za maafisa watendaji hao wa vijiji ni.
1.CC.12/2020 Jamhuri dhidi ya Chrispin...