Wawili kortini kwa tuhuma za kughushi
WASHTAKIWA wawili, Salum Mkoko na Mustaph Kantelu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka matano ya kughushi, kutoa taarifa za uongo, matumizi mabaya ya madaraka na kukwepa kulipa kodi.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
RAIA WAWILI WA CHINA WAFIKISHWA KORTINI KWA TUHUMA ZA KUTOA RUSHWA YA MILIONI 11.5 KWA KAMISHNA MKUU WA TRA

RAIA wa wawili wa China wanaoishi Mkoa Iringa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shitaka la kutoa rushwa ya Sh. Milioni 11.5 kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)Dk. Edwin Mhede.
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa na Wakili wa Serikali kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (TAKUKURU ) Mwakatobe Mshana imewataja washtakiwa hao kuwa ni Heng Rongnan (50) na Ou Ya (47) wote wakazi wa Kinyambo ...
9 years ago
Mwananchi22 Dec
Muuguzi kortini kwa kughushi
10 years ago
Mwananchi05 May
Wanne kortini kwa kughushi muhuri wa IGP
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Kortini kwa tuhuma za kumshambulia mtoto
11 years ago
Uhuru Newspaper11 Sep
Watano kortini kwa tuhuma za ubakaji
NA PETER KATULANDA, MAGU
MWENYEKITI wa CCM Kata ya Mwamanyili wilayani Busega, Simiyu, Ramadhani Msoka na wenzake watano, wamepandishwa kizimbani na kusomewa mashitaka mawili ya unyang’anyi wa kutumia silaha na ubakaji.
Washitakiwa hao akiwemo Mshauri wa Mahakama ya Mwanzo ya Nyashimo wilayani humo, Libent Rwegarulila, ambaye ni mshitakiwa namba moja, walisomewa mashitaka hayo juzi katika Mahakama ya Wilaya ya Magu, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Robert Masige.
Awali, Msoka na...
10 years ago
Mtanzania18 Feb
Kortini kwa tuhuma za kununua machangudoa
BETRIDA MWASAMBALILA NA FERDNANDA MBAMILA (DMCT)
WATU wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Jiji kwa tuhuma za machangudoa katika eneo la Buguruni Rozana jijini Dar es Salaam.
Watuhumiwa hao waolifikishwa jana katika mahakama hiyo ni Antidius Severian (25), Yaham Mihamed (24), Ally Hassan (35) na Mohamed Hamis (27).
Wakisomewa mashtaka na wakili wa Serikali, Ramadhan Kalinga mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Bernard Mpepo, alidai kuwa Februari 14, mwaka huu katika eneo la Buguruni Rozana...
9 years ago
StarTV17 Nov
 TCRA yawafikisha mahakamani watu watatu Tuhuma za kughushi nyaraka
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imewafikisha kwenye mahakama ya Mwanza watu watatu kwa tuhuma za kughushi nyaraka mbalimbali na kufungua akaunti bandia za benki walizokuwa wakizitumia kuombea fedha kutoka kwa wafanyabiashara mbalimbali nchini.
Kwa mujibu wa mwanasheria mwandamizi mkuu wa TCRA Joannes Karungura, watuhumiwa hao watatu wakitumia laini za simu bandia walifungua akaunti mbili za benki katika benki ya NMB.
Kibarua kigumu kimewakumba washitakiwa hao watatu mapema jana baada ya...
10 years ago
Mwananchi13 Jun
Mkurugenzi wa Wizara ya Afya kortini kwa tuhuma za rushwa
11 years ago
Habarileo07 Jan
Mchina kortini kwa tuhuma ya kunaswa na meno ya tembo
WATU wawili akiwemo raia wa China waliokamatwa na meno ya tembo Bandari ya Dar es Salaam, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kukutwa na nyara hizo bila kibali.