Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanne kortini kwa kughushi muhuri wa IGP

Raia watatu wa Ugiriki na Mtanzania mmoja wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kughushi  muhuri wa Mkuu wa Jeshi Polisi Nchini (IGP).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Muuguzi kortini kwa kughushi

Muuguzi Anjelina Maswi (32) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka matatu likiwamo la kughushi kadi ya kliniki na kujipatia Sh497,538.     

 

11 years ago

Habarileo

Wawili kortini kwa tuhuma za kughushi

WASHTAKIWA wawili, Salum Mkoko na Mustaph Kantelu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka matano ya kughushi, kutoa taarifa za uongo, matumizi mabaya ya madaraka na kukwepa kulipa kodi.

 

11 years ago

Habarileo

Ofisa JWTZ jela kwa kughushi

MWANAJESHI wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Meja Muhsin Kombo amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia ya kughushi.

 

10 years ago

Mwananchi

Akamatwa kwa kughushi fomu za Bima ya Afya

Mtu mmoja aliyejifanya kuwa ni mfanyakazi wa Taasisi ya IMTU, Bakari Ramadhani amekamatwa na maofisa wa Shirika la Taifa la Bima ya Afya (NHIF), akiwa na fomu zao za kughushi za kuchukulia dawa zikiwa zimegongwa mihuri inayoonyesha ni ya Hospitali ya Rufaa ya Temeke.

 

9 years ago

Mwananchi

Mahakamani kwa kughushi tovuti feki kutumia majina ya Taasisi na wanasiasa

Watu wawili, Patrick Natala na Maxmillian Msacky  wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 10  yakiwamo ya kughushi, kutengeneza tovuti feki na mifumo ya mtandao  kwa kutumia majina ya  Taasisi, viongozi na wanasiasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanachuo 212 wa Chuo cha Polisi Moshi wafukuzwa kwa kughushi vyeti

>Jeshi la Polisi limewafukuza chuo wanafunzi wa mafunzo ya uaskari 212 wa Chuo Cha Taaluma Moshi baada ya wanafunzi hao kubainika kughushi vyeti vya elimu ya sekondari.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi yanasa wanne kwa tuhuma za kuua kwa ujira

Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Kagera, Henry MwaibambePOLISI mkoani Kagera, inashikilia watu wanne kwa tuhuma za kukodiwa kufanya mauaji yanayohusisha imani za kishirikina.

 

9 years ago

StarTV

Watu wanne wauawa kwa kucharangwa kwa mapanga.

 

Watu wanne wamekutwa wameuawa katika kijiji cha  Katoma wilayani Bukoba, miili yao ikiwa imecharangwa kwa mapanga na watu wasiofahamika .

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera  Kamishna MSAIDIZI Mwandamizi wa Polisi Augustino Ollomi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba hadi sasa watu waliohusika na mauaji hayo bado hawajatiwa mbaroni.

Matukio hayo yametokea katika kijiji cha Katoma wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera ambapo jumla ya watu wanne wameuawa katika maeneo mawili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani