Mahakamani kwa kughushi tovuti feki kutumia majina ya Taasisi na wanasiasa
Watu wawili, Patrick Natala na Maxmillian Msacky wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 10 yakiwamo ya kughushi, kutengeneza tovuti feki na mifumo ya mtandao kwa kutumia majina ya Taasisi, viongozi na wanasiasa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTAASISI YA AMANI TANZANIA YAWATAKA WANASIASA KUACHA KUTUMIA JANGA LA CORONA KAMA MTAJI WA KISIASA, WAUNGA MKONO HOTUBA YA RAIS MAGUFULI
5 years ago
CCM BlogWAPIGA KURA KUHAKIKI BURE TAARIFA ZAO KWA KUTUMIA SIMU,TOVUTI
Na Richard Mwaikenda
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeanisha njia tatu za Mpiga Kura kumwezesha kuhakiki kirahisi taarifa zake katika Daftari la...
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Kortini kwa kutumia majina ya CCM, Chadema
9 years ago
StarTV17 Nov
 TCRA yawafikisha mahakamani watu watatu Tuhuma za kughushi nyaraka
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imewafikisha kwenye mahakama ya Mwanza watu watatu kwa tuhuma za kughushi nyaraka mbalimbali na kufungua akaunti bandia za benki walizokuwa wakizitumia kuombea fedha kutoka kwa wafanyabiashara mbalimbali nchini.
Kwa mujibu wa mwanasheria mwandamizi mkuu wa TCRA Joannes Karungura, watuhumiwa hao watatu wakitumia laini za simu bandia walifungua akaunti mbili za benki katika benki ya NMB.
Kibarua kigumu kimewakumba washitakiwa hao watatu mapema jana baada ya...
10 years ago
Bongo Movies15 Jan
Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!
"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.
Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...
5 years ago
Michuzi
Maafisa watendaji 7 wafikishwa mahakamani kwa tuhuma ya wizi wa kutumia mashine za POS
Takukuru mkoa wa Njombe imewafikisha mahakamani wilaya ya Makete maafisa 7 watendaji wa vijiji kwa tuhuma ya wizi wa fedha Tshs.99,321,466/- za halmashauri ya wilaya ya Makete,ambazo zilikuwa ni makusanyo ya mapato ya halmashauri kwa kutumia mashine za POS (Point of Sale electronic Machine)
Mkuu wa Takukuru mkoa wa Njombe Bi.Domina Mukama, amesema kesi zilizofunguliwa mahakamani za maafisa watendaji hao wa vijiji ni.
1.CC.12/2020 Jamhuri dhidi ya Chrispin...
11 years ago
Habarileo11 Jun
TFDA yatoa ushahidi wa ARVs ‘feki’ mahakamani
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imedai ilikagua na kugundua dawa za kupunguza makali ya Ukimwi (ARVs) zilizotengenezwa na Kiwanda cha Tanzania Pharmacentical Ltd (TPL) kinachomilikiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida ni bandia.
10 years ago
Dewji Blog01 Aug
Shamim Mwasha atoa mada namna kutumia mitandao ya kijamii kwa manufaa kwenye semina ya taasisi ya Manjano
Mkurugenzi Mtendaji 8020 Fashion na Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Shamim Mwasha akitoa mada kwenye Semina ya kuwawezesha wanawake kuwa wajasiriamali kupitia vipodozi vya Luv Touch Manjano iliyoandaliwa na Manjano Foundation kwa lengo la kuwajengea udhubutu wanawake kufanya biashara pia namna ya kujiwekea akiba na kutumiza malengo yao. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusions Ltd. Mkurugenzi wa Manjano Foundation, Mama Shekhar Nasser.
Washiriki wakimsikiliza...