TFDA yatoa ushahidi wa ARVs ‘feki’ mahakamani
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imedai ilikagua na kugundua dawa za kupunguza makali ya Ukimwi (ARVs) zilizotengenezwa na Kiwanda cha Tanzania Pharmacentical Ltd (TPL) kinachomilikiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida ni bandia.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Madabida kizimbani kwa ARVs ‘feki’
MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP), Dk. Eliezer Feleshi, amemfikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani...
9 years ago
Mwananchi20 Nov
TFDA yanasa vipodozi, vyakula feki
9 years ago
Mwananchi24 Sep
TFDA kudhibiti bidhaa feki nchini
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
TFDA sasa shughulikieni wanaoingiza bidhaa feki
WATANZANIA kwa ujumla wamechoka kusikia kuteketezwa kwa chakula, vipodozi na dawa feki badala ya kukomesha na kuzuia njia za panya zinazotumika kuingiza bidhaa hizo, kwa kutoa adhabu kali kwa wahusika...
9 years ago
Mwananchi14 Sep
TFDA washirikiana na Interpol kusaka bidhaa feki
10 years ago
Habarileo12 Dec
‘Toeni ushahidi wa wabakaji mahakamani’
MRATIBU wa mtandao wa kupambana na vitendo vya udhalilishaji kijinsia Jeshi la Polisi Makao Makuu, Hasina Ramadhan Toufik ameitaka jamii kutoa ushahidi mahakamani kwa watu wanaotuhumiwa kubaka ili kukomesha matukio hayo.
10 years ago
Mwananchi26 Sep
JK aitwa mahakamani kutoa ushahidi
10 years ago
MichuziTFDA YATEKETEZA BIDHAA FEKI ZENYE THAMANI YA SH MIL.5, SIKONGE MKOANI TABORA
Na Allan Ntana, Sikonge
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) Kanda ya Kati imefanikiwa kukamata na kuteketeza bidhaa mbalimbali za chakula, vinywaji, dawa za binadamu na mifugo, vipodozi na vifaa tiba vilivyoisha muda wake na vingine feki vyenye thamani ya zaidi ya sh mil.5...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-gbRlc80PpsA/VV0GuZ23UVI/AAAAAAAHYus/LRFVs7g-wdQ/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: ZIJUE SABABU NNE KWANINI USHAHIDI WA KUAMBIWA HAUKUBALIKI MAHAKAMANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-gbRlc80PpsA/VV0GuZ23UVI/AAAAAAAHYus/LRFVs7g-wdQ/s320/1.1774256.jpg)
1.USHAHIDI WA KUAMBIWA NININI.
Ushahidi wa kuambiwa ni ushahidi unaotolewa na mtu ambaye hakuona tukio likitendeka, hakusikia tukio likitendeka, hakuhisi wala kuonja, wala kunusa jambo lililo mbele ya mahakama kama kosa isipokuwa aliambiwa na mtu mwingine aliyeona, kusikia, kuhisi, kunusa au kuonja. Hapa kuna watu wawili, kwanza aliyeona au kusikia , na pili yule aliyeambiwa na huyu aliyeona au kusikia .
Kwahiyo ...