Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFDA kudhibiti bidhaa feki nchini

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeongeza vituo vya ukaguzi katika kanda sita ili kudhibiti uingizaji bidhaa feki nchi na kulinda afya za watumiaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

TFDA washirikiana na Interpol kusaka bidhaa feki

Mamlaka ya Chakula na Dawa( TFDA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi na Interpol tawi la Tanzania, imefanikiwa kukamata jumla la dawa na vipodozi  haramu vyenye thamani ya Sh135milioni katika Operesheni Giboia (II) iliyofanyika katika mikoa nane.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TFDA sasa shughulikieni wanaoingiza bidhaa feki

WATANZANIA kwa ujumla wamechoka kusikia kuteketezwa kwa chakula, vipodozi na dawa feki badala ya kukomesha na kuzuia njia za panya zinazotumika kuingiza bidhaa hizo, kwa kutoa adhabu kali kwa wahusika...

 

9 years ago

Mwananchi

Tanzania, China kudhibiti bidhaa feki

Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limeingia mkataba na Serikali ya China kufanya ukaguzi na kudhibiti uingizwaji wa bidhaa feki nchini.

 

10 years ago

Michuzi

TFDA YATEKETEZA BIDHAA FEKI ZENYE THAMANI YA SH MIL.5, SIKONGE MKOANI TABORA

Baadhi ya bidhaa zilizoteketezwa na Maofisa wakaguzi wa TFDA wilayani Sikonge.Maofisa wakaguzi wa TFDA kanda ya kati wakijiandaa kuteketeza bidhaa zilizoisha mda wake ikiwemo vinywaji wilayani Sikonge (picha na Allan Ntana).
Na Allan Ntana, Sikonge
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) Kanda ya Kati imefanikiwa kukamata na kuteketeza bidhaa mbalimbali za chakula, vinywaji, dawa za binadamu na mifugo, vipodozi na vifaa tiba vilivyoisha muda wake na vingine feki vyenye thamani ya zaidi ya sh mil.5...

 

10 years ago

Michuzi

TBS NA TFDA WATAKIWA KUDHIBITI BIDHAA ZISIZO NA UBORA ILI KULINDA UCHUMI

 Picha na maktabaNa Woinde Shizza,Arusha 
Mamlaka ya Chakula na dawa(TFDA) na Shirika la Viwango nchini(TBS), wameshauriwa kuwadhibiti zaidi wafanyabiashara wasio waaminini ambao wanaingia nchini bidhaa sizizo na ubora kwani wanaporomosha uchumi.
Meneja masoko wa kampuni ya  Wrigleys (EA) Company Ltd, Emanuel Laswai, alitoa kauli hiyo juzi, katika uzinduzi wa bidhaa mpya za kampuni hiyo ya Doublemint  nchini Tanzania.
Laswai alisema, uingizwaji wa bidhaa feki na zisizo na ubora zina  athari za...

 

10 years ago

Michuzi

TFDA YAFUTA USAJILI NA KUDHIBITI ZAIDI MATUMIZI YA BAADHI YA DAWA ZA BINADAMU NCHINI

 Pichani ni Mkurugenzi Mkuu wa TFDA Bw. Hiiti Sillo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mkutano na waandishi wa habari katika kueleza maamuzi ya TFDA kufuta usajili na kubadili matumizi ya baadhi ya dawa nchini. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa TFDA Makao Mkuu
 Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imezifutia Usajili wa Dawa tano  za Binadamu kutokana na kuwepo makosa mbalimbali.         Hayo yameelewa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi mkuu   TFDA Bwana Hiiti...

 

10 years ago

Michuzi

MAREKANI KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUDHIBITI UINGIZAJI WA BIDHAA HARAMU NCHINI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kulia) akiwafafanulia jambo maafisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama ya nchini Marekani katika mkutano wao uliofanyika jijini Washington DC katika Ukumbi wa Mkutano wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Katika mazungumzo yao maafisa hao wa Marekani wanatarajia kutua nchini Tanzania kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa maafisa Uhamiaji, Polisi na Maafisa Forodha ya kushirikiana kwa Serikali hizo mbili kwa ajili ya kudhibiti...

 

9 years ago

Mwananchi

TFDA yanasa vipodozi, vyakula feki

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) Kanda ya Ziwa, imekamata vipodozi vilivyopigwa marufuku na vyakula vilivyokwisha muda wake wa matumizi vyenye thamani ya zaidi ya Sh27 milioni.     

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani