Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAREKANI KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUDHIBITI UINGIZAJI WA BIDHAA HARAMU NCHINI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kulia) akiwafafanulia jambo maafisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama ya nchini Marekani katika mkutano wao uliofanyika jijini Washington DC katika Ukumbi wa Mkutano wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Katika mazungumzo yao maafisa hao wa Marekani wanatarajia kutua nchini Tanzania kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa maafisa Uhamiaji, Polisi na Maafisa Forodha ya kushirikiana kwa Serikali hizo mbili kwa ajili ya kudhibiti...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

TFDA kudhibiti bidhaa feki nchini

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeongeza vituo vya ukaguzi katika kanda sita ili kudhibiti uingizaji bidhaa feki nchi na kulinda afya za watumiaji.

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yajidhatiti kudhibiti ujangili na biashara haramu Nchini

2

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahmoud Mgimwa akijibu swali bungeni.(Picha zote na Hussein Makame-MAELEZO, Dodoma).

Na Lorietha Laurence-Maelezo, Dodoma

SERIKALI imejidhatiti katika kudhibiti  ujangili na biashara haramu ya mazao ya maliasili kwa kuridhia na kutekeleza  mikataba minne ya kudhibiti ujangali wa tembo na unaovuka mipaka na kulinda mapori ya akiba.

Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Utalii na Maliasili Mahmoud Mgimwa, bungeni Dodoma alipokuwa akijibu swali la Mch. Peter...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yajidhatiti Kudhibiti Makosa ya Utakatishaji fedha haramu Nchini- AG Masaju

Mawakili wa Serikali kutoka Ofisi za Mwanasheria Mkuu za Singida,Pwani na Dar es Salaam wakifuatilia mafunzo kwa makini.Washiriki wa Mafunzo wakifuatilia hotuba ya ufunguzi ya ufunguzi wa kutoka kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (hayupo pichani) kushoto ni Bw. Denis Mongula kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Bi Rhoda Martin ,Hakimu Mkazi Mahakama ya Wilaya Dodoma akitoa neno la shukrani mara baada ya mafunzo hayo kufunguliwa rasmi.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Tumefanikiwa kudhibiti uingizaji dawa za kulevya’

MKUU wa kitengo cha kudhibiti dawa za kulevya nchini, Godfrey Nzowa amesema mawasiliano baina ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki yamefanikisha kudhibiti uingizwaji wa dawa za kulevya hapa nchini....

 

10 years ago

Habarileo

Waziri aagiza uingizaji wa bidhaa udhibitiwe

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk Binilith Mahenge amezitaka mamlaka husika kuimarisha ulinzi mipakani na bandarini ili kudhibiti uingizwaji wa bidhaa hafifu zisizo na viwango, ikiwamo mifuko ya plastiki ambayo imekuwa ikizagaa mitaani na kuchafua mazingira.

 

9 years ago

Mwananchi

Tanzania, China kudhibiti bidhaa feki

Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limeingia mkataba na Serikali ya China kufanya ukaguzi na kudhibiti uingizwaji wa bidhaa feki nchini.

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania Yafanikiwa Kupunguza Uingizaji wa Dawa za Kulevya Nchini kwa 90%.

Na. Immaculate Makilika- MAELEZO

Tanzania imefanikiwa kupunguza uingizaji wa dawa za kulevya kwa asilimia 90 kufuatia jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali za kupunguza tatizo la dawa za kulevya nchini.

Akizungumza leo jijini Dodoma, katika Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama alisema kuwa tatizo la dawa za kulevya katika jamii ni suala...

 

11 years ago

GPL

MARK CHILDRESS BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI‏

Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress akikaribishwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh siku ya Alhamisi April 24, 2014 alipotembelea Ubalozi huo na kujitambulisha kwa Mhe. Balozi Liberata Mulamula (hayupo pichani) Balozi Liberata Mulamula akimtambulisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress kwa Maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi… ...

 

11 years ago

Michuzi

MARK CHILDRESS, BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI

Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress akikaribishwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh siku ya Alhamisi April 24, 2014 alipotembelea Ubalozi huo na kujitambulisha kwa Mhe. Balozi Liberata Mulamula (hayupo pichani) Balozi Liberata Mulamula akimtambulisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress kwa Maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Balozi huyo alipotembelea Ubalozi huo siku ya Alhamisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani