Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri aagiza uingizaji wa bidhaa udhibitiwe

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk Binilith Mahenge amezitaka mamlaka husika kuimarisha ulinzi mipakani na bandarini ili kudhibiti uingizwaji wa bidhaa hafifu zisizo na viwango, ikiwamo mifuko ya plastiki ambayo imekuwa ikizagaa mitaani na kuchafua mazingira.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAREKANI KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUDHIBITI UINGIZAJI WA BIDHAA HARAMU NCHINI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kulia) akiwafafanulia jambo maafisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama ya nchini Marekani katika mkutano wao uliofanyika jijini Washington DC katika Ukumbi wa Mkutano wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Katika mazungumzo yao maafisa hao wa Marekani wanatarajia kutua nchini Tanzania kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa maafisa Uhamiaji, Polisi na Maafisa Forodha ya kushirikiana kwa Serikali hizo mbili kwa ajili ya kudhibiti...

 

10 years ago

GPL

WASIRA AAGIZA WADAU WA SUKARI KUINGIZA SOKONI BIDHAA HIYO BADALA YA KUIFUNGIA GHALANI

Wazalishaji na wafanyabiashara wa sukari wakimsikiliza kwa makini maamuzi ya serikali  kuhusu bei ya sukari. Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Stephen Wasira na Naibu wake (kushoto) Mh.Godfrey Zambi, Bi. Sophia Kaduma Katibu Mkuu (kulia) na Dkt.Yamungu Kayandabila (kushoto) wakifuatilia kwa makini mjadala baina yao na wazalishaji na wafanyabiashara wa sukari… ...

 

10 years ago

Michuzi

Wasira aagiza wadau wa Sukari kuingiza sokoni bidhaa hiyo badala ya kuifungia ghalani

 Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mhe Stephen Masatu Wasira amekutana na wadau wa sukari na kutoa tamko la serikali kuhusiana na kupanda kwa ya sukari hapa nchini. Mhe Wasira amewaagiza wazalishaji na wafanya biashara wa sukari hapa nchini kuingiza sukari sokoni badala ya kuiweka kwenye maghala ili kushusha bei ya bidhaa hiyo muhimu  Agizo hili la waziri limekuja muda mfupi baada ya kupanda ghafla kwa bei ya sukari kutoka shilingi 1700/= iliyokuwa ikiuzwa awali hadi shilingi 3000 kwa...

 

5 years ago

Michuzi

MANYANYA AAGIZA BIDHAA ZA SAMAKI ZOTE ZINAZIUZWA NJE YA NCHI KUWEKEWA ALAMA ILI KUONYESHA KUWA ZINATOKA TANZANIA

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Mhandisi Stella Manyanya{kushoto} akiwaonesha watanzania samaki aliyechakatwa na kiwanda Tanzania Fish Processors Ltd kilichopo mwanza kwa ajiri ya kusafirishwa na kuuzwa katika nchi mbalimbali.

Wafanyakazi wa kiwanda cha kuchakata samaki cha Tanzania Fish Processors Ltd wakiendelea na kazi ya uchakataji wa samakiwanaosafirishwa na kuuzwa katika nchi mbalimbali
Picha na Eliud Rwechungura – Wizara ya viwanda na Biashara...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri Nyalandu aagiza wavamizi kuondoka

Serikali imesema haitaogopa wala kumvumilia mtu atakayevamia maeneo ya hifadhi na mapori ya akiba kwa lengo la kuhujumu maliasili.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri ambana mkandarasi, aagiza asilipwe

Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Aggery Mwanri amezuia kufanyika kwa malipo yoyote kwa mkandarasi mmoja wilayani Maswa mkoani Simiyu baada ya kugundua kuwepo kwa kasoro katika mradi wa ujenzi wa mkandaasi huyo.

 

10 years ago

Habarileo

Waziri aagiza fedha za CHF zipelekwe MSD

WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Suleiman Rashid ameviagiza vituo vyote vya huduma za afya nchini kuwasilisha Bohari Kuu ya Dawa (MSD) asilimia 50 ya fedha zote zinazokusanywa kwenye Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) pamoja na zile za “Papo kwa Papo”.

 

9 years ago

StarTV

Waziri Kitwanga aagiza ukaguzi wa kina Uhamiaji

Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga amemwagiza Katibu Mkuu  wa Mambo ya Ndani kupeleka wakaguzi katika Idara ya Uhamiaji ili kuweza kuondoa utata na kujua malipo yanayofanyika kwa njia ya benki.

Waziri Kitwanga ametoa maagizo hayo baada ya kutembelea makao makuu ya Idara ya Uhamiaji na kujadiliana mambo mbalimbali na wakuu wa idara ili kuboresha utendaji kazi.

Mbali na Agizo hilo Waziri Kitwanga pia amewaagiza uhamiaji kukaa pamoja na Kamishna wa kazi ili kuweka utaratibu mzuri wa...

 

10 years ago

Habarileo

Waziri aagiza kuimarishwa bandari ya Mkoani Pemba

WAZIRI wa Mawasiliano na Miundombinu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Juma Duni Haji amelitaka Shirika la Bandari kuimarisha bandari ya Mkoani Pemba ambayo imetangazwa kuwa lango kuu la kiuchumi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani