Waziri aagiza kuimarishwa bandari ya Mkoani Pemba
WAZIRI wa Mawasiliano na Miundombinu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Juma Duni Haji amelitaka Shirika la Bandari kuimarisha bandari ya Mkoani Pemba ambayo imetangazwa kuwa lango kuu la kiuchumi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo05 Oct
Jk aagiza mafanikio elimu kuimarishwa
RAIS Jakaya Kikwete amewataka wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi nchini kuimarisha mambo yote yaliyofanikiwa na kutatua matatizo kwenye maeneo yenye matatizo.
5 years ago
MichuziBANDARI KAVU KWALA MBIONI KUKAMILIKA ,NDITIYE AAGIZA USIMAMIZI KAMILIFU
NA MWAMVUA MWINYI,PWANI .
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Atashasta Nditiye amesema ,ujenzi wa mradi wa bandari kavu Kwala,Kibaha mkoani Pwani ni utekelezaji wa maagizo ya Rais dkt.John Magufuli ya kupunguza msongamano kwenye Bandari ya Dar es Salaam.
Kutokana na hilo ,Nditiye ameitaka Bodi ya Bandari kusimamia kikamilifu na kuhakikisha mradi huu unakamilika kwa asilimia 100 ifikapo mwezi Juni 2020. Aliyasema hayo ,wakati wa mapokezi ya Treni ya kwanza iliyoleta makasha 20 kwenye...
10 years ago
VijimamboMELI YA MV MAENDELEO YATIA NANGA SALAMA BANDARI YA UNGUJA BAADA YA KUKWAMA KWA MUDA KISIWANI PEMBA
Meli ya Mv Maendeleo iyokuwa iliyokuwa inataka kwenda Unguja ikitokea Pemba imekwama kwa muda wa masaa kadha katika eneo la bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba kutokana na kukwama katika fungu la mchanga na kushindwa kuondoka.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.) Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari, kufuatai tukio la meli ya Mv Maendeleo kukwama katika fungu la mchanga na kushindwa kuondoka asubuhi hadi jioni...
5 years ago
MichuziWAZIRI MHAGAMA ATAKA MAFUNZO YA KILIMO CHA KISASA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KITALU NYUMBA KUIMARISHWA USIMAMIZI NA UENDESHAJI
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama amewataka waratibu na wadau wa Programu wa mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa kutumia teknolojia ya Kitalu Nyumba “Greenhouse” ikiwemo Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Wizara ya Viwanda na Biashara, Wizara ya Kilimo, Tume ya Taifa ya Umwagiliaji na wakandarasi ambao walijenga vitalu nyumba kuimarisha usimamizi na uendeshaji...
10 years ago
MichuziBANDARI YA KASANGA MKOANI RUKWA KUANZA KUBORESHWA
Na Saidi Mkabakuli, Sumbawanga
Serikali imeazimia kuanza kuiboresha bandari ya kimkakati ya Kasanga inayohudumia nchi za Burundi, Rwanda na Kongo iliyopo katika Ziwa Tanganyika, mkoani Rukwa.
Ahadi hiyo imetolewa na Kiongozi wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri wakati walipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya miundombinu katika Bandari ya Kasanga.
Bibi Mwanri alisema kuwa serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania imepanga...
Serikali imeazimia kuanza kuiboresha bandari ya kimkakati ya Kasanga inayohudumia nchi za Burundi, Rwanda na Kongo iliyopo katika Ziwa Tanganyika, mkoani Rukwa.
Ahadi hiyo imetolewa na Kiongozi wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri wakati walipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya miundombinu katika Bandari ya Kasanga.
Bibi Mwanri alisema kuwa serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania imepanga...
9 years ago
GPLDK. SHEIN AUNGURUMA JIMBO LA MKOANI PEMBA
Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia CCM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai alipowasili katika viwanja vya mkutano vya Chokocho Wilaya ya Mkoani Pemba kwa ajili ya kampeni yake kwa wananchi wa Jimbo hilo la Mkoani. Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi...
10 years ago
Michuzi05 Jan
REDIO YA JAMII MKOANI YAZINDULIWA KUSINI PEMBA
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (mwenye koti la suti) akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Pemba kwa ajili kuhuduria sherehe za uzinduzi wa Redio Jamii Mkoani jimbo la Mkanyageni, Kusini Pemba na kupokelewa na Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) Bw. Al Amin Yusuph (kulia) aliyeambatana na Mshauri na Mkufunzi kutoka...
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Waziri ambana mkandarasi, aagiza asilipwe
Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Aggery Mwanri amezuia kufanyika kwa malipo yoyote kwa mkandarasi mmoja wilayani Maswa mkoani Simiyu baada ya kugundua kuwepo kwa kasoro katika mradi wa ujenzi wa mkandaasi huyo.
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Waziri Nyalandu aagiza wavamizi kuondoka
Serikali imesema haitaogopa wala kumvumilia mtu atakayevamia maeneo ya hifadhi na mapori ya akiba kwa lengo la kuhujumu maliasili.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania