BANDARI KAVU KWALA MBIONI KUKAMILIKA ,NDITIYE AAGIZA USIMAMIZI KAMILIFU

NA MWAMVUA MWINYI,PWANI .
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Atashasta Nditiye amesema ,ujenzi wa mradi wa bandari kavu Kwala,Kibaha mkoani Pwani ni utekelezaji wa maagizo ya Rais dkt.John Magufuli ya kupunguza msongamano kwenye Bandari ya Dar es Salaam.
Kutokana na hilo ,Nditiye ameitaka Bodi ya Bandari kusimamia kikamilifu na kuhakikisha mradi huu unakamilika kwa asilimia 100 ifikapo mwezi Juni 2020. Aliyasema hayo ,wakati wa mapokezi ya Treni ya kwanza iliyoleta makasha 20 kwenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
MAKONTENA YAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDARI KAVU YA KWALA.
Na Mwandishi Wetu,Michuzi TV
TRENI ya pili ya mizigo yenye jumla ya makontena 20 imewasili katika Bandari Kavu ya Kwala iliyopo Kibaha mkoani Pwani kutoka Bandari ya Dar es Salaam na kufanya jumla ya makontena yaliyofikishwa katika bandari hiyo kufikia 49.
Kuanza kwa zoezi la kupokea makontena hayo kumekuja baada ya kukamilika kwa sehemu ya mradi huo ambapo jumla ya hekta 5.5 zimewekwa zege na reli kwa ajili ya kupokea kontena na kwamba eneo ni sehemu ya hekta 60 zitakazojengwa na litakuwa...
5 years ago
MichuziNDITIYE ARIDHISHWA NA KASI YA UPANUZI WA BANDARI YA TANGA
Serikali Kutumia Shilingi Bilioni 172 Kuboresha Bandari Hiyo
Itakuwa na Uwezo wa Kuhudumia Meli Yenye Uzito wa Tani 35,000
Na Prisca Ulomi, WUUM, Tanga
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye ameridhishwa na kasi ya upanuzi wa Bandari ya Tanga baada ya kushuhudia kazi inayoendelea kufanyika kwenye bandari hiyo wakati wa ziara yake mkoani humo
Nditiye amesema kuwa tayari Serikali imepanga kutumia shilingi bilioni 172 kwa ajili ya kupanua bandari hiyo kwa kuongeza...
11 years ago
Mwananchi26 May
Mradi wa magadi mbioni kukamilika
9 years ago
Mtanzania17 Dec
Tamthilia ya Mama Kubwa mbioni kukamilika
NA GEORGE KAYALA
TAMTHILIA mpya iliyopewa jina la Mama Kubwa inayoandaliwa na Kampuni ya 5 Effects Movies Ltd, ipo mbioni kukamilika baada ya kuandaliwa kwa muda mrefu na kuna uwezekano wa kuingia sokoni mwishoni mwa mwezi huu.
Akizungumza na MTANZANIA jana mmoja wa waandaaji hao ambaye pia ni mmiliki wa kampuni hiyo, William Mtitu, alisema anaamini kazi hiyo itakuwa nzuri kwani waigizaji wamejitahidi kuonyesha uhalisia wakati wa kucheza tamthilia hiyo ambayo itakuwa ni ya kufungia...
10 years ago
Mwananchi22 Mar
Wasira: Ilani ya CCM iko mbioni kukamilika
10 years ago
GPLUJENZI WA BARABARA YA MSIMBAZI KARIAKOO MBIONI KUKAMILIKA
11 years ago
Michuzi14 Jul
SERA YA DIASPORA IKO MBIONI KUKAMILIKA - PINDA
Akizungumza na Watanzania wanaoishi Uingereza kwenye mkutano uliofanyika ubalozi wa Tanzania jijini London mwishoni mwa wiki, Waziri Mkuu alisema mchakato wa kuandaa rasimu hiyo ulihusisha wadau wengi kwa kadri ilivyowezekana ili kupata wigo mpana wa suala zima la...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Ujenzi bomba jipya Ruvu Chini mbioni kukamilika
UJENZI wa bomba jipya kutoka mtambo wa Ruvu Chini kwenda matenki yaliyoko Chuo cha Ardhi, Dar es Salaam unakaribia kukamilika. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana...
10 years ago
Mwananchi12 Oct
CCM yaahidi kufufua Bandari Kavu ya Isaka