Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKONTENA YAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDARI KAVU YA KWALA.


Na Mwandishi Wetu,Michuzi TV

TRENI  ya pili ya mizigo yenye jumla ya makontena 20 imewasili katika Bandari Kavu ya Kwala iliyopo Kibaha mkoani Pwani kutoka Bandari ya Dar es Salaam na kufanya jumla ya makontena yaliyofikishwa katika bandari hiyo kufikia  49.

Kuanza kwa zoezi la kupokea makontena hayo kumekuja baada ya kukamilika kwa sehemu ya mradi huo ambapo jumla ya hekta 5.5 zimewekwa zege na reli kwa ajili ya kupokea kontena na kwamba eneo ni sehemu ya hekta 60 zitakazojengwa na litakuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

BANDARI KAVU KWALA MBIONI KUKAMILIKA ,NDITIYE AAGIZA USIMAMIZI KAMILIFU


NA MWAMVUA MWINYI,PWANI .
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Atashasta Nditiye amesema ,ujenzi wa mradi wa bandari kavu Kwala,Kibaha mkoani Pwani ni utekelezaji wa maagizo ya Rais dkt.John Magufuli ya kupunguza msongamano kwenye Bandari ya Dar es Salaam.
Kutokana na hilo ,Nditiye ameitaka Bodi ya Bandari kusimamia kikamilifu na kuhakikisha mradi huu unakamilika kwa asilimia 100 ifikapo mwezi Juni 2020. Aliyasema hayo ,wakati wa mapokezi ya Treni ya kwanza iliyoleta makasha 20 kwenye...

 

9 years ago

Michuzi

KAMPUNI 15 ZASHINDWA KULIPA KODI ZA KONTENA 329 ZILIZOTOROSHWA KATIKA BANDARI KAVU YA AZAM

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
KAMPUNI 15 zimeshindwa kulipa kodi za kontena zilizotoroshwa katika bandari kavu ya Azam inayomilikiwa na Said Salim Bakhressa na kodi iliyokuwa imekwepwa kwa kampuni 43 ni zaidi ya Sh. Bilioni 12.
Kodi iliyolipwa ya Kontena 329 hadi jana ambayo ndio ilikuwa ulipaji wa hiari kwa ndani ya siku saba za Rais Dk. John Pombe Magufuli ni zaidi ya sh. bilioni 10 pekee.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Kaimu Kamisha Mkuu wa Mamlaka ya Mapato...

 

9 years ago

Mwananchi

CCM yaahidi kufufua Bandari Kavu ya Isaka

Mgombea mwenza wa urais (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya Tano itafufua Bandari Kavu ya Isaka ili kurejesha ajira zaidi ya 10,000 zilizopotea baada utendaji wake kusuasua.

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Fedha afanya ziara ya kushtukiza Bandari Kavu

1768

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiangalia kontena lenye shehena ya vitenge badala ya unga wa gypsum kama nyaraka zilivyoonyesha.

Baadhi ya wafanyabiashara wabainika kukwepa kulipa kodi kwa kuingiza bidhaa kutoka nje kupitia bandari ya Dar es Salaam, ambapo huandikisha taarifa na maelezo tofauti na bidhaa halisi zilizomo ndani ya makontena ili kuwawezesha kukwepa kodi kwa kulipia kiasi kidogo.

Kutokana na udanganyifu huo, Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya alifanya ziara ya kushtukiza...

 

9 years ago

Michuzi

TAFFA WAMFAGILIA MAGUFULI, WATAKA BANDARI KAVU ZIFUTWE

 Rais wa Chama cha Wakala wa Forodha Tanzania (Taffa), Stephen Ngatunga (kushoto), akizungumza kuhusiana na kazi inayofanywa na serikali katika kudhibiti wizi na ukwepaji wa kodi na ushuru unaofanywa na Idara ya Forodha katika Mamlaka ya Mapato (TRA) na wafanyabiashara wasiowaadilifu wakati wa mkutano na waandishi wa habari ofsini kwake, Dar es Salaam jana. Kulia ni Naibu Rais, Edward Urio. Baadhi ya wanahabari wakiwa katka mkutano na viongozi wa TAFFA, jijini Dar es Salaam jana. 
Mwandishi...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA WA UBELIGIJI WATEMBELEA BANDARI YA NCHI KAVU YA PMM - DAR ES SALAAM

Balozi wa Tanzaniania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyabiashara kutoka Ubeligiji baada ya kutembelea bandari ya nchi kavu ya PMM- Dar es salaam.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Fedha afanya ziara kwenye bandari kavu ya kampuni ya THR jijini Dar leo

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya (katikati) akiwasili katika Bandari ya Nchi Kavu ya TRH katika ziara ya wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam ambapo kontena mbili zilikamtwa ambapo moja ilikutwa na bidhaa za tv na nyingine biskuti huku nyingine mbili hazikuweza kupatikana mahali zilipofichwa.Kamishna Msaidizi wa Forodha wa Mamalaka ya Mapato Tanzania (TRA),Bw. Tiagi Kabisi kushoto akipata maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Road Haulage (TRH) Bw. Ali Lilani katika...

 

10 years ago

Vijimambo

NGUMI KUPIGWA JUMAPILI UWANJA WA NDANI WA TAIFA MABONDIA WAZIDUNDA KAVU KAVU

Mabondia Mada Maugo kushoto na Kalama Nyilawila wakikunjana baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili katika uwanja wa ndani wa taifa Mabondia Mada Maugo kushoto na Kalama Nyilawila wakikunjana baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili katika uwanja wa ndani wa taifa Bondia Thomas Mashali akipima uzitoBondia Japhert Kaseba akipima uzito kulia ni mpinzani wakeSaid Mbelwa akishudia kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili ya march 15 katika uwanja wa ndani wa...

 

11 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDA LA PPF SABASABA KUJIPATIA HUDUMA MBALIMBALI

 Afisa Michango kutoka PPF Makao Makuu, Bi Glory Maboya (kulia) akimpatia maelezo ya Huduma mbalimbali mmoja wa wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF katika Viwanja vya Mwl Nyerere maarufu kama Sabasaba.  Mkazi wa Jiji la Dar Es Salaam akipatiwa maelezo juu ya huduma ya Fao la Kujitoa kutoka kwa afisa uendeshaji wa Mfuko wa PPF kanda ya Ziwa, Bi Grace Balele wakati mteja huyo alipotembelea banda la Mfuko wa Pensheni wa PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani