TAFFA WAMFAGILIA MAGUFULI, WATAKA BANDARI KAVU ZIFUTWE
Rais wa Chama cha Wakala wa Forodha Tanzania (Taffa), Stephen Ngatunga (kushoto), akizungumza kuhusiana na kazi inayofanywa na serikali katika kudhibiti wizi na ukwepaji wa kodi na ushuru unaofanywa na Idara ya Forodha katika Mamlaka ya Mapato (TRA) na wafanyabiashara wasiowaadilifu wakati wa mkutano na waandishi wa habari ofsini kwake, Dar es Salaam jana. Kulia ni Naibu Rais, Edward Urio. Baadhi ya wanahabari wakiwa katka mkutano na viongozi wa TAFFA, jijini Dar es Salaam jana.
Mwandishi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi12 Oct
CCM yaahidi kufufua Bandari Kavu ya Isaka
5 years ago
MichuziMAKONTENA YAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDARI KAVU YA KWALA.
Na Mwandishi Wetu,Michuzi TV
TRENI ya pili ya mizigo yenye jumla ya makontena 20 imewasili katika Bandari Kavu ya Kwala iliyopo Kibaha mkoani Pwani kutoka Bandari ya Dar es Salaam na kufanya jumla ya makontena yaliyofikishwa katika bandari hiyo kufikia 49.
Kuanza kwa zoezi la kupokea makontena hayo kumekuja baada ya kukamilika kwa sehemu ya mradi huo ambapo jumla ya hekta 5.5 zimewekwa zege na reli kwa ajili ya kupokea kontena na kwamba eneo ni sehemu ya hekta 60 zitakazojengwa na litakuwa...
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
Waziri wa Fedha afanya ziara ya kushtukiza Bandari Kavu
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiangalia kontena lenye shehena ya vitenge badala ya unga wa gypsum kama nyaraka zilivyoonyesha.
Baadhi ya wafanyabiashara wabainika kukwepa kulipa kodi kwa kuingiza bidhaa kutoka nje kupitia bandari ya Dar es Salaam, ambapo huandikisha taarifa na maelezo tofauti na bidhaa halisi zilizomo ndani ya makontena ili kuwawezesha kukwepa kodi kwa kulipia kiasi kidogo.
Kutokana na udanganyifu huo, Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya alifanya ziara ya kushtukiza...
5 years ago
MichuziBANDARI KAVU KWALA MBIONI KUKAMILIKA ,NDITIYE AAGIZA USIMAMIZI KAMILIFU
NA MWAMVUA MWINYI,PWANI .
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Atashasta Nditiye amesema ,ujenzi wa mradi wa bandari kavu Kwala,Kibaha mkoani Pwani ni utekelezaji wa maagizo ya Rais dkt.John Magufuli ya kupunguza msongamano kwenye Bandari ya Dar es Salaam.
Kutokana na hilo ,Nditiye ameitaka Bodi ya Bandari kusimamia kikamilifu na kuhakikisha mradi huu unakamilika kwa asilimia 100 ifikapo mwezi Juni 2020. Aliyasema hayo ,wakati wa mapokezi ya Treni ya kwanza iliyoleta makasha 20 kwenye...
10 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA WA UBELIGIJI WATEMBELEA BANDARI YA NCHI KAVU YA PMM - DAR ES SALAAM
9 years ago
MichuziKAMPUNI 15 ZASHINDWA KULIPA KODI ZA KONTENA 329 ZILIZOTOROSHWA KATIKA BANDARI KAVU YA AZAM
KAMPUNI 15 zimeshindwa kulipa kodi za kontena zilizotoroshwa katika bandari kavu ya Azam inayomilikiwa na Said Salim Bakhressa na kodi iliyokuwa imekwepwa kwa kampuni 43 ni zaidi ya Sh. Bilioni 12.
Kodi iliyolipwa ya Kontena 329 hadi jana ambayo ndio ilikuwa ulipaji wa hiari kwa ndani ya siku saba za Rais Dk. John Pombe Magufuli ni zaidi ya sh. bilioni 10 pekee.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Kaimu Kamisha Mkuu wa Mamlaka ya Mapato...
10 years ago
MichuziWaziri wa Fedha afanya ziara kwenye bandari kavu ya kampuni ya THR jijini Dar leo
9 years ago
Habarileo21 Dec
Wasanii wamfagilia Magufuli
WASANII wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo Fleva’ wamepongeza jitihada za Rais John Magufuli katika kuondoa uozo kwenye sekta mbalimbali na kuonesha imani kuwa hata katika sekta ya sanaa atawaondolea changamoto mbalimbali na kuwaletea mabadiliko.
9 years ago
Habarileo23 Dec
Madiwani Namtumbo wamfagilia Magufuli
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma limempongeza Rais John Magufuli, kutokana na hatua anazochukua zinazolenga kubana na kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za serikali na kuwachukulia hatua watumishi wanaokiuka maadili ya utumishi wa umma. Aidha, wamemshukuru Rais Magufuli kwa uamuzi wake wa kuteua wabunge wanne kuunda Baraza jipya la Mawaziri kutoka mkoa wa Ruvuma.