Ujenzi bomba jipya Ruvu Chini mbioni kukamilika
UJENZI wa bomba jipya kutoka mtambo wa Ruvu Chini kwenda matenki yaliyoko Chuo cha Ardhi, Dar es Salaam unakaribia kukamilika. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
BOMOBOMOA SALASALA ILI KUPISHA UJENZI WA BOMBA LA MAJI -RUVU CHINI
Na Eleuteri Mangi-MAELEZOZoezi la kubomoa nyumba na majengo yaliyoingia ndani ya ya hifadhi ya miundombinu ya bomba la maji kutoka Ruvu Chini limeendelea mwishoni mwa wiki ili kuhakikiha kunakuwepo usalama wa bomba hilo na kuwapatia wakazi wa jiji la Dar es salaam na maeneo ya mkoa wa Pwani uhakika wa maji ifikapo Februari, 2016. Bomo bomoa hiyo ya mwishoni mwa wiki ilihusisha maeneo ya Salasala ambapo baadhi ya nyumba, karakana na uzio vyote viljengwa ndani ya hifadhi ya miundombinu hiyo...
10 years ago
GPLUJENZI WA BARABARA YA MSIMBAZI KARIAKOO MBIONI KUKAMILIKA
Katapila likionekana kusambaza mchanga katika barabara ya Msimbazi Kariakoo.
Gari la kushindilia mchanga likionekana kazini.
Gari likimwaga maji sehemu iliyomalizika kuwekewa mchanga tayari kwa kuweka lami.…
10 years ago
MichuziTANGAZO LA KUZIMWA KWA MTAMBO WA MAJI RUVU CHINI KUTOKANA NA MATENGENEZO YA BOMBA KUBWA
SHIRIKA LA MAJI SAFI NA MAJITAKA DAR-ES-SALAAM (DAWASCO),LINAWATANGAZIA WAKAZI WA JIJI LA DAR-ES-SALAAM NA MJI WA BAGAMOYO MKOANI PWANI KUWA, MTAMBO WA KUZALISHA MAJI WA RUVU CHINI UMEZIMWA KWA SAA 24 KUANZIA ASUBUHI YA TAREHE 01.03.2015.
KUZIMWA KWA MTAMBO WA RUVU CHINI KUMETOKANA NA MATENGENEZO YA BOMBA LA INCH 54 ENEO LA MATANKI YA CHUO KIKUU.
MATENGENEZO YANAENDELEA NA YANATARAJIA KUKAMILIKA BAADA YA SAA 24.
KWASABABU HIYO MAENEO YAFUATAYO YATAKOSA MAJI:MJI WA BAGAMOYO, VIJIJI VYA...
9 years ago
Dewji Blog22 Nov
DC wa Kinondoni Paul Makonda atembelea mradi wa ujenzi wa bomba la maji kutoka Ruvu juu!
Na Eleuteri Mangi – MAELEZO
Mkuu wa Wilaya ya...
11 years ago
Habarileo13 Mar
Upanuzi mitambo Ruvu Juu, Ruvu Chini waenda kasi
UHABA wa maji kwa wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam na mikoa mingine inayohudumiwa na mitambo ya maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini unatajwa utakuwa historia kutokana na Serikali kuanza upanuzi wa mitambo hiyo.
11 years ago
Michuzi
Bodi ya DAWASA yatembele Mirani ya Maji Ruvu chini na Ruvu juu leo
Bodi ya Wakurugeni ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) leo Agosti 20,2014 imefanya ziara ya kutembelea Miradi yao ya Maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini ili kujionea maendeleo ya ukarabati wa Miradi hiyo miwili ambayo ilikuwa katika ukarabati.Katika ziara hiyo Bodi hiyo ya DAWASA imeridhishwa na upanuzi wa Mtambo wa Maji wa Ruvu chini ambao kwa sasa umekamilika kabisa huku ukiwa na uhakika wa kutoa maji ujazo wa Lita Milioni 270 kwa siku.
Meneja Miradi wa Kampuni ya Megha...

11 years ago
Mwananchi26 May
Mradi wa magadi mbioni kukamilika
Serikali kupitia Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) wapo mbioni kukamilisha utekelezaji mradi wa ujenzi wa Kiwanda cha magadi Soda katika Bonde la Engaruka wilayani Monduli katika Mkoa wa Arusha.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania