Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mradi wa magadi mbioni kukamilika

Serikali kupitia Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) wapo mbioni kukamilisha utekelezaji mradi wa ujenzi wa Kiwanda cha magadi Soda katika Bonde la Engaruka wilayani Monduli katika Mkoa wa Arusha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Tamthilia ya Mama Kubwa mbioni kukamilika

mtitu-3NA GEORGE KAYALA

TAMTHILIA mpya iliyopewa jina la Mama Kubwa inayoandaliwa na Kampuni ya 5 Effects Movies Ltd, ipo mbioni kukamilika baada ya kuandaliwa kwa muda mrefu na kuna uwezekano wa kuingia sokoni mwishoni mwa mwezi huu.

Akizungumza na MTANZANIA jana mmoja wa waandaaji hao ambaye pia ni mmiliki wa kampuni hiyo, William Mtitu, alisema anaamini kazi hiyo itakuwa nzuri kwani waigizaji wamejitahidi kuonyesha uhalisia wakati wa kucheza tamthilia hiyo ambayo itakuwa ni ya kufungia...

 

10 years ago

GPL

UJENZI WA BARABARA YA MSIMBAZI KARIAKOO MBIONI KUKAMILIKA

Katapila likionekana kusambaza mchanga katika barabara ya Msimbazi Kariakoo.
Gari la kushindilia mchanga likionekana kazini.
Gari likimwaga maji sehemu iliyomalizika kuwekewa mchanga tayari kwa kuweka lami.…

 

11 years ago

Michuzi

SERA YA DIASPORA IKO MBIONI KUKAMILIKA - PINDA

AZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema rasimu ya Sera ya Diaspora iko kwenye hatua za mwisho za maandalizi na muda si mrefu itaingizwa kwenye utaratibu wa Kiserikali ili hatimaye iweze kuwasilishwa kwenye Baraza la Mawaziri.
Akizungumza na Watanzania wanaoishi Uingereza kwenye mkutano uliofanyika ubalozi wa Tanzania jijini London mwishoni mwa wiki, Waziri Mkuu alisema mchakato wa kuandaa rasimu hiyo ulihusisha wadau wengi kwa kadri ilivyowezekana ili kupata wigo mpana wa suala zima la...

 

10 years ago

Mwananchi

Wasira: Ilani ya CCM iko mbioni kukamilika

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven Wasira aliyepewa jukumu la kuandaa Ilani ya CCM kwa ushirikiano na timu ya watu 23 wa chama hicho itakayotumia kwenye kampeni za uchaguzi wa mwaka 2015 hadi 2020, amejitokeza na kusema kazi hiyo ipo ukingoni kukamilika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujenzi bomba jipya Ruvu Chini mbioni kukamilika

UJENZI wa bomba jipya kutoka mtambo wa Ruvu Chini kwenda matenki yaliyoko Chuo cha Ardhi, Dar es Salaam unakaribia kukamilika. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana...

 

5 years ago

Michuzi

BANDARI KAVU KWALA MBIONI KUKAMILIKA ,NDITIYE AAGIZA USIMAMIZI KAMILIFU


NA MWAMVUA MWINYI,PWANI .
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Atashasta Nditiye amesema ,ujenzi wa mradi wa bandari kavu Kwala,Kibaha mkoani Pwani ni utekelezaji wa maagizo ya Rais dkt.John Magufuli ya kupunguza msongamano kwenye Bandari ya Dar es Salaam.
Kutokana na hilo ,Nditiye ameitaka Bodi ya Bandari kusimamia kikamilifu na kuhakikisha mradi huu unakamilika kwa asilimia 100 ifikapo mwezi Juni 2020. Aliyasema hayo ,wakati wa mapokezi ya Treni ya kwanza iliyoleta makasha 20 kwenye...

 

10 years ago

Habarileo

Mradi mkubwa wa umeme Dar kukamilika mwakani

MRADI mkubwa wa megawati 80 kwa ajili ya kuboresha umeme katikati ya Jiji la Dar es Salaam unatarajia kukamilika Agosti mwakani.

 

9 years ago

Dewji Blog

Umeme wa upepo mbioni Mkoani Singida, mradi mkubwa utakaonufaisha Taifa

IMG_6596

Makamu wa Rais wa jamhuri ya muungano Tanzania, Dk.Mohammed Ghalib Bilal,akizindua mradi wa kufua umeme wa upepo unaotekelezwa na kampuni ya Wind East Africa katika eneo la kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida.

IMG_6602

Makamu wa rais wa jamhuri ya muungano Tanzania,Dk.Mohammed Ghalib Bilal,akipanda mti ikiwa ni kwa ajili ya kumbukumbu ya uzindua wa mradi wa kufua umeme wa upepo unaotekelezwa na kampuni ya Wind East Africa katika eneo la kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida.

IMG_6605

Afisa mwandamizi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Mradi wa bomba la gesi asilia kukamilika kama ilivyopagwa - Profesa Muhongo

 Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe Joseph Simbakalia akimkaribisha Waziri wa Nishati na Madini pamoja na ujumbe alioambatana nao akiwemo balozi wa China nchini Bw…. Mara baada ya kufika ofisini kwake kuelezea uwepo wapo katika mkoa huo

 Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe John Simbakalia  akimweleza Waziri wa Nishati na Madini jambo linalohusu sekta ya umeme ambapo Prof. Muhongo anaisimamia ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Mkandarasi anayehusika na usambazaji wa umeme vijijini Bwana  Luta (mwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani