Tamthilia ya Mama Kubwa mbioni kukamilika
NA GEORGE KAYALA
TAMTHILIA mpya iliyopewa jina la Mama Kubwa inayoandaliwa na Kampuni ya 5 Effects Movies Ltd, ipo mbioni kukamilika baada ya kuandaliwa kwa muda mrefu na kuna uwezekano wa kuingia sokoni mwishoni mwa mwezi huu.
Akizungumza na MTANZANIA jana mmoja wa waandaaji hao ambaye pia ni mmiliki wa kampuni hiyo, William Mtitu, alisema anaamini kazi hiyo itakuwa nzuri kwani waigizaji wamejitahidi kuonyesha uhalisia wakati wa kucheza tamthilia hiyo ambayo itakuwa ni ya kufungia...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi26 May
Mradi wa magadi mbioni kukamilika
11 years ago
Michuzi14 Jul
SERA YA DIASPORA IKO MBIONI KUKAMILIKA - PINDA
Akizungumza na Watanzania wanaoishi Uingereza kwenye mkutano uliofanyika ubalozi wa Tanzania jijini London mwishoni mwa wiki, Waziri Mkuu alisema mchakato wa kuandaa rasimu hiyo ulihusisha wadau wengi kwa kadri ilivyowezekana ili kupata wigo mpana wa suala zima la...
10 years ago
GPLUJENZI WA BARABARA YA MSIMBAZI KARIAKOO MBIONI KUKAMILIKA
10 years ago
Mwananchi22 Mar
Wasira: Ilani ya CCM iko mbioni kukamilika
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Ujenzi bomba jipya Ruvu Chini mbioni kukamilika
UJENZI wa bomba jipya kutoka mtambo wa Ruvu Chini kwenda matenki yaliyoko Chuo cha Ardhi, Dar es Salaam unakaribia kukamilika. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-dHcrNavZkd8/XrAIhjhc7SI/AAAAAAALpDE/PvuVZKH_e4Ey4_41veLQ-NCcqFZcUb0SQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200504-WA0120.jpg)
BANDARI KAVU KWALA MBIONI KUKAMILIKA ,NDITIYE AAGIZA USIMAMIZI KAMILIFU
NA MWAMVUA MWINYI,PWANI .
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Atashasta Nditiye amesema ,ujenzi wa mradi wa bandari kavu Kwala,Kibaha mkoani Pwani ni utekelezaji wa maagizo ya Rais dkt.John Magufuli ya kupunguza msongamano kwenye Bandari ya Dar es Salaam.
Kutokana na hilo ,Nditiye ameitaka Bodi ya Bandari kusimamia kikamilifu na kuhakikisha mradi huu unakamilika kwa asilimia 100 ifikapo mwezi Juni 2020. Aliyasema hayo ,wakati wa mapokezi ya Treni ya kwanza iliyoleta makasha 20 kwenye...
11 years ago
Mwananchi23 Mar
Celyne; maisha yake ni tamthilia
10 years ago
Bongo Movies18 Jun
Chegge Kutesa Katika Tamthilia
Staa wa muziki Chegge Chigunda ameweka wazi kuwa baada ya kuona ukubwa na mafanikio ya projekti ya filamu aliyofanya huko Nairobi, katika siku zijazo ataanza kuonekana katika Tamthilia ya Muendelezo ama Series ya kazi hiyo ambayo ilifanyika miaka kadhaa iliyopita.
Chegge ambaye hivi sasa anatamba katika chati mbali mbali kupitia kazi yake mpya inayokwenda kwa jina 'Mwananyamala', ambaye ameeleza kuwa atatanguliza projekti ya awali ya kazi hiyo ambayo imekwishakamilika, anatarajiwa kuwa...
11 years ago
Habarileo21 May
Tigo yazindua tamthilia ya bima
KAMPUNI ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo imezindua tamthilia mpya ya ‘Kinga ya moyo wangu’, kwa lengo la kuielimisha jamii juu ya masuala ya bima.