Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chegge Kutesa Katika Tamthilia

Staa wa muziki Chegge Chigunda ameweka wazi kuwa baada ya kuona ukubwa na mafanikio ya projekti ya filamu aliyofanya huko Nairobi, katika siku zijazo ataanza kuonekana katika Tamthilia ya Muendelezo ama Series ya kazi hiyo ambayo ilifanyika miaka kadhaa iliyopita.

Chegge ambaye hivi sasa anatamba katika chati mbali mbali kupitia kazi yake mpya inayokwenda kwa jina 'Mwananyamala', ambaye ameeleza kuwa atatanguliza projekti ya awali ya kazi hiyo ambayo imekwishakamilika, anatarajiwa kuwa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

FURSA YA WADAU KATIKA SEKTA YA TAMTHILIA NA FILAMU


Hii ni fursa ya wadau katika sekta ya tamthilia na filamu, wakiwemo watayarishaji chipukizi na wakongwe kuongeza ujuzi wao.

Mafunzo hayo ni ya muda mfupi. Baadhi ya vitu vitakavyo fundishwa ni pamoja na 

SCRIPT WRITING - WIKI 4
Uandishi wa filamu, Screenplay au script ni kazi inayoandikwa na screenwriters kwa ajili ya filamu, video game, au vipindi vya televisheni. 

VIDEO EDITING - WIKI 4
ni mchakato wa kuhariri picha tofauti za video ili kukamilisha simulizi. Pia uweka special effects na...

 

11 years ago

Mwananchi

Tamthilia inayoonyesha nguvu katika sekta ya sanaa ya maigizo

‘Ni tamthilia ya televisheni inayofurahisha, inayoonyesha maisha ya Cheche, mpigapicha mwenye bashasha na mmiliki wa studio ya kupiga picha ya Mtungi. Ana mke mrembo, Cheusi, aliyemzalia watoto wawili wenye afya, huku akiwa na ujauzito wa mtoto wa tatu,’ Hii ni sehemu ya kwanza ya tamthilia hiyo.

 

10 years ago

GPL

CHEGGE CHIGUNDA, HIZO SASA DHARAU!

SAIDI Chigunda ni mmoja kati ya wasanii wakubwa wanaotingisha anga la Bongo Fleva hivi sasa. Ingawa hayupo katika levo za kujidai sana, lakini ni kutokujua tu kunakoweza kukufanya umtoe katika kumi bora za wasanii wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini. Amepiga kazi nyingi sana zinazomfanya kuwa juu tangu alipojiunga na Kundi la TMK Wanaume Family, wakati huo watoto wa Temeke wakiwa kitu kimoja chini ya uongozi wa Said Fella...

 

11 years ago

GPL

CHEGGE, TEMBA WAFUNIKA DAR LIVE USIKU HUU

Mashabiki wakifatilia show ya Temba na Chegge usiku huu Dar Live Chegge (kulia) akiendelea kuwapa burudani  mashabiki usiku huu Dar Live.…

 

11 years ago

BBCSwahili

Mashoga wapinga Urais wa Kutesa UN

Wakereketwa wa kutetea haki za watu wa jinsia moja nchini Uganda wamepinga kuchaguliwa kwa Waziri Sam Kutesa kama Rais katika UN.

 

9 years ago

GPL

MBARONI KWA KUTESA MAHAUSIGELI

Na Joseph Ngilisho Arusha Mwanamke mmoja, Anna Livingstone Mushi (38), mkazi wa Oldadai wilayani Arumeru, ametiwa mbaroni na polisi kwa madai ya kuwapiga mijeledi ya waya wa umeme, kuwachoma na pasi mgongoni na kuwakata makalio mahausigeli wake wawili. Anna Livingstone Mushi akiwa chini ya ulinzi. Wasichana hao Rehema Musa (20), mkazi wa Singida na mwenzake, Jesca Mathiasi (15), mkazi wa Mkoa wa Kilimanjaro wamelazwa katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wadaiwa kutesa watu Nigeria

Polisi nchini Nigeria wanadaiwa kuwatesa wanaume na wanawake pamoja na watoto kwa mujibu wa shirika la Amnesty International

 

10 years ago

Mwananchi

Toto yazidi kutesa ligi yao

Toto Africans imeanza kunusa kucheza Ligi Kuu msimu ujao baada ya kuwachapa Polisi Mara kwa bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza uliopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba juzi.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kipindupindu chaendelea kutesa jijini Dar

Muuguzi Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Nusura Kessy (kushoto), akiwaelekeza wauguzi wa saidizi wake namna ya kuchanganya dawa maalumu ya kuondoa vijiji vinavyoweza kuwa vya ugonjwa wa kipindupindu katika kambi ya wagonjwa walioathiriwa na ugonjwa huo iliyopo Zahanati ya Mburahati Dar es Salaam leo asubuhi. Katika kambi hiyo kuna wagonjwa 21 kati yao watoto ni 7.

Vyombo vikiwekwa kwenye dawa.

Muuguzi Msaidi wa Zahanati ya Mburahati, Maimuna Pazi (kushoto) na Mlinzi wa Zahanati hiyo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani