Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kipindupindu chaendelea kutesa jijini Dar

Muuguzi Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Nusura Kessy (kushoto), akiwaelekeza wauguzi wa saidizi wake namna ya kuchanganya dawa maalumu ya kuondoa vijiji vinavyoweza kuwa vya ugonjwa wa kipindupindu katika kambi ya wagonjwa walioathiriwa na ugonjwa huo iliyopo Zahanati ya Mburahati Dar es Salaam leo asubuhi. Katika kambi hiyo kuna wagonjwa 21 kati yao watoto ni 7.

Vyombo vikiwekwa kwenye dawa.

Muuguzi Msaidi wa Zahanati ya Mburahati, Maimuna Pazi (kushoto) na Mlinzi wa Zahanati hiyo,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

KIPINDUPINDU CHAENDELEA KUTESA JIJINI DAR ES SALAAM

 Muuguzi Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Nusura Kessy (kushoto), akiwaelekeza wauguzi wa saidizi wake namna ya kuchanganya dawa maalumu ya kuondoa vijiji vinavyoweza kuwa vya ugonjwa wa kipindupindu katika kambi ya wagonjwa walioathiriwa na ugonjwa huo iliyopo Zahanati ya Mburahati Dar es Salaam leo asubuhi. Katika kambi hiyo kuna wagonjwa 21 kati yao watoto ni 7. Vyombo vikiwekwa kwenye dawa.
 Muuguzi Msaidi wa Zahanati ya Mburahati, Maimuna Pazi (kushoto) na Mlinzi wa Zahanati hiyo, Abdallah...

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaendelea kuua D’Salaam

dadi ya watu waliopoteza maisha kwa ugonjwa wa kipindupindu imeongezeka na kufikia 17 baada ya watu wengine wawili kupoteza maisha jana.

 

11 years ago

GPL

FOLENI KUENDELEA KUTESA JIJINI DAR

Kuna kila dalili kuwa jinamizi la foleni litaendelea kuwatesa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kwa muda mrefu zaidi kutokana na kasi ndogo ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara za pembezoni (ring roads) na usanifu wa barabara za juu (flyig overs) ambayo kwa ujumla inahitaji walau Sh. bilioni 170.
Kero hiyo itapungua kwa kiasi kikubwa ikiwa fedha hizo zitapatikana ili kutekeleza miradi mbalimbali iliyopewa kipaumbele...

 

11 years ago

GPL

KERO ZA FOLENI BARABARA YA MOROGORO JIJINI DAR ZAENDELEA KUTESA

    Gari jekundu (kushoto) lililoharibikia njiani na kusababisha foleni eneo la Darajani-Kibamba maarufu kama Kwa Mangi.   Lori hili lililoharibikia njiani lilileta majanga maeneo ya Kimara na kusababisha msongamano.…

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MITARO NA MAENEO YALIYOATHILIWA NA KIPINDUPINDU JIJINI DAR

Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig. Mbazi Msuya (wa katika) akieleza jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Saidi Meck Sadiki (wa kwanza kushoto) na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka (wa kwanza kulia) wakati wa ziara ya kukagua mtaro uliojengwa eneo la Buguruni kwa Mnyamani.Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka (wa kwanza kulia mwenye miwani) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Saidi Meck Sadiki wakiangalia hali ya...

 

9 years ago

Vijimambo

SALMA MOSHI AZIDI KUTESA DAR AKUTANA NA MHE. ASHA-ROSE MIGIRO

Katibu muenezi na Itikadi wa CCM DMV Salma Moshi aka Salma Manyoka akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Sheria na Katiba Mhe. Asha-Rose Mtengeti Migiro siku ya Jumamosi September 12, 2015 siku Salma Moshi alipotembelea Wizara ya Sheria na Katiba.

 

11 years ago

Michuzi

CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA KAMPASI YA DAR CHAENDELEA KUFANYA VIZURI, CHAWEKA MIFUMO YA KISASA YA KUFUATILIA KUDHIBITI UKIUKWAJI WA MAADILI

 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Janet Mbene akiwa ameambatana na viongozi wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) akiangalia vifaa vya kisasa vya kujifunzia wanafunzi katika chuo wakati wa ziara yake jijini Dar es salaam.  Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam Prof. Emanuel Mjema (mwenye suti nyeusi) akimwonesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene maeneo ya chuo hicho yaliyovamiwa ambayo sasa yamejengwa majengo ya biashara.  Naibu Waziri wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Watu 27 waripotiwa kuwa na ugonjwa Kipindupindu jijini Arusha

2

Mkuu wa wilaya ya Arusha, Fadhili Nkurlu.

Mahmoud Ahmad Arusha

Jumla ya watu 27 waliripotiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa kipindupindu huku kati yao 6 walithibitishwa kuwa na ugonjwa wa kipindupindu. Na watano wamelazwa katika kituo cha Afya Levolosi.

Akizungumza na wanahabari ofisini kwake Mkuu wa wilaya ya Arusha, Fadhili Nkurlu aliwataka wakazi wa jiji la Arusha kufuata kanuni za ugonjwa huo na kuwa waepuke kula vyakula sehemu zisizofaa.

Nkurlu alisema kuwa kwa zaidi ya miezi miwili sasa...

 

9 years ago

Michuzi

MAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu

Na  Raymond Mushumbusi- MAELEZO
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani