Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA KAMPASI YA DAR CHAENDELEA KUFANYA VIZURI, CHAWEKA MIFUMO YA KISASA YA KUFUATILIA KUDHIBITI UKIUKWAJI WA MAADILI

 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Janet Mbene akiwa ameambatana na viongozi wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) akiangalia vifaa vya kisasa vya kujifunzia wanafunzi katika chuo wakati wa ziara yake jijini Dar es salaam.  Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam Prof. Emanuel Mjema (mwenye suti nyeusi) akimwonesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene maeneo ya chuo hicho yaliyovamiwa ambayo sasa yamejengwa majengo ya biashara.  Naibu Waziri wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Usimamizi wa maadili Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dar waongeza ufaulu

CBE - 1

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) Prof. Emanuel Mjema akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu maadhimisho miaka 50 ya chuo hicho yanayoendelea jijini Dar es salaam.

Na Aron Msigwa –MAELEZO

Hatua iliyochukuliwa na uongozi wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) kuendelea kuweka msisitizo katika usimamizi wa maadili kwa wanafunzi imeanza kuzaa matunda kufuatia kuogezeka kwa ufaulu wa masomo kwa wanafunzi wanaosoma chuoni hapo.

Hayo yamebainishwa leo...

 

10 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA 49 YA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA(CBE) KAMPASI YA MBEYA YAFANA.

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Musa Uledi akitoa tamko la kuwatunuku vyeti vya Astashahada katika fani za ununuzi na ugavi, uhasibu na uendeshaji wa biashara Wahitimu 37 katika mahafali ya 49 ya Chuo cha Elimu ya biashara (CBE) Kampasi ya Mbeya yaliyofanyika katika viwanya vya Mbeya Hotel. Mkuu wa Chuo cha elimu ya Biashara Kampasi ya Mbeya, Dionise Lwanga akitoa neno la Shukrani kwa mgeni rasmi baada ya kumaliza kuwatunuku wahitimu katika mahafali ya 49 ya Chuo hicho. Makamu...

 

10 years ago

GPL

USIMAMIZI WA MAADILI CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) DAR ES SALAAM WAONGEZA UFAULU.

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) Prof. Emanuel Mjema akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu maadhimisho miaka 50 ya chuo hicho yanayoendelea jijini Dar es salaam. Na. Aron Msigwa
Hatua iliyochukuliwa na uongozi wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) kuendelea kuweka msisitizo katika usimamizi wa maadili kwa wanafunzi imeanza kuzaa matunda kufuatia kuogezeka kwa ufaulu wa masomo kwa...

 

9 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA KITIVO CHA BIASHARA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM WANUFAIKA NA SEMINA MAALUM YA MASUALA YA BIASHARA ILIYOANDALIWA NA VODACOM TANZANIA

Mwanafunzi wa mwaka wa pili wa masomo ya biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Zahra Ramadhani(kulia) akielezewa jambo na mfanyakazi wa Vodacom Tanzania, Habibu Ngosha ,kuhusiana na simu aina ya Smart Phone wakati Semina maalum ya mafunzo ya Kibiashara iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya biashara hapo jana chuoni hapo. Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Bidhaa wa Vodacom Tanzania,Samson Mwongela akimkabidhi zawadi mmoja wa wanafunzi wanaosoma masomo ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wahitimu 130 wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), watunukiwa tuzo kwa kufanya vizuri kwenye masomo

 Onesmo Charles ambaye ni mmoja wa wanafunzi 130 waliofanya vizuri katika masomo katika Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), akijaribu kifaa cha kisasa cha kupimia ardhi, viwanja na ramani za nyumba alichozawadiwa Kampuni ya Hightech Systems (T) Limited katika hafla ya kuwakabidhi zawadi na tuzo wanafunzi hao bora  iliyofanyika katika chuo hicho leo ikiwa ni sehemu ya mahafali ya nane ya chuo hicho yatakayofikia kilele kesho kutwa Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam.

 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA WAHITIMU WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE)

Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mbeya Mh. Johm Mwakangale ambaye ndiye Mgeni Rasmi katika Mkutano wa wahitimu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)  wanaoishi nyanda za Juu kusini waliowahi kusoma katika chuo hicho kuanzia mwaka 1965-2014 na yeye akiwa ni mmoja wa wanafunzi ambaye alisoma katika chuo hicho mwaka 1967 na ambaye pia alikuwa ni Mkufunzi katika chuo hiki na Mlezi wa Umoja wa wana CBE waishio nyanda za juu kusini akitoa hotuba yake ambapo, alikishukuru chuo cha CBE kwa kufanya mkutano huu...

 

9 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA CHUO CHA KODI JIJINI DAR WATIMIZA WAJIBU KUFANYA USAFI KATIKA CHUO CHAO







CHUO cha Kodi cha Mwenge jijini Dar es Salam wameitikia wito wa kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Joseph Magufuli kufanya usafi katika mazingira ya Chuo hicho.

Kaimu Mkuu wa Chuo cha Kodi, Edward Mwakimonga amewasihi wanafunzi pamoja na wananchi kwa ujumla kuwa usafi ni afya na ikiwezekana iwe ni kawaida kufanya usafi kila baada ya wiki mara moja ili kuweka mazingira safi.
Nae Waziri Mkuu wa serikali ya chuo cha Kodi, Jeremia Shushu amewashukuru wanafunzi pamoja...

 

10 years ago

Vijimambo

Chuo cha CBE Kuaza kutoa Shahada ya Elimu katika Masuala ya Biashara.

 Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) Prof. Emanuel Mjema akizungumza  wakati  wa mkutano wa wadau na wataalam wa elimu kutoka Taasisi za Elimu, vyuo, walimu wa masomo ya Biashara wa shule za Sekondari  waliokutana kupitia Mtaala wa kufundishia mafunzo ya taaluma ya Ualimu katika Biashara leo jijini Dar es salaam.Mkurugenzi wa Mafunzo ya awali wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dkt. Esther Mbise akitoa ufafanuzi kwa wadau wa Elimu kuhusu uandaaji wa mtaala wa kufundishia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani