Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chuo cha CBE Kuaza kutoa Shahada ya Elimu katika Masuala ya Biashara.

 Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) Prof. Emanuel Mjema akizungumza  wakati  wa mkutano wa wadau na wataalam wa elimu kutoka Taasisi za Elimu, vyuo, walimu wa masomo ya Biashara wa shule za Sekondari  waliokutana kupitia Mtaala wa kufundishia mafunzo ya taaluma ya Ualimu katika Biashara leo jijini Dar es salaam.Mkurugenzi wa Mafunzo ya awali wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dkt. Esther Mbise akitoa ufafanuzi kwa wadau wa Elimu kuhusu uandaaji wa mtaala wa kufundishia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Chuo cha CBE kuanza kutoa shahada ya elimu katika masuala ya biashara

Picha na 1

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) Prof. Emanuel Mjema akizungumza  wakati  wa mkutano wa wadau na wataalam wa elimu kutoka Taasisi za Elimu, vyuo, walimu wa masomo ya Biashara wa shule za Sekondari  waliokutana kupitia Mtaala wa kufundishia mafunzo ya taaluma ya Ualimu katika Biashara leo jijini Dar es salaam. Picha na 2 Mkurugenzi wa Mafunzo ya awali wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dkt. Esther Mbise akitoa ufafanuzi kwa wadau wa Elimu kuhusu uandaaji wa mtaala wa...

 

10 years ago

GPL

CHUO CHA CBE KUTOA SHAHADA YA ELIMU KATIKA MASUALA YA BIASHARA.‏

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) Prof. Emanuel Mjema akizungumza  wakati  wa mkutano wa wadau na wataalam wa elimu kutoka Taasisi za Elimu, vyuo, walimu wa masomo ya Biashara wa shule za Sekondari  waliokutana kupitia Mtaala wa kufundishia mafunzo ya taaluma ya Ualimu katika Biashara leo jijini Dar es salaam. Mkurugenzi wa Mafunzo ya awali wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dkt. Esther Mbise...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA WAHITIMU WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE)

Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mbeya Mh. Johm Mwakangale ambaye ndiye Mgeni Rasmi katika Mkutano wa wahitimu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)  wanaoishi nyanda za Juu kusini waliowahi kusoma katika chuo hicho kuanzia mwaka 1965-2014 na yeye akiwa ni mmoja wa wanafunzi ambaye alisoma katika chuo hicho mwaka 1967 na ambaye pia alikuwa ni Mkufunzi katika chuo hiki na Mlezi wa Umoja wa wana CBE waishio nyanda za juu kusini akitoa hotuba yake ambapo, alikishukuru chuo cha CBE kwa kufanya mkutano huu...

 

10 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA 49 YA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA(CBE) KAMPASI YA MBEYA YAFANA.

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Musa Uledi akitoa tamko la kuwatunuku vyeti vya Astashahada katika fani za ununuzi na ugavi, uhasibu na uendeshaji wa biashara Wahitimu 37 katika mahafali ya 49 ya Chuo cha Elimu ya biashara (CBE) Kampasi ya Mbeya yaliyofanyika katika viwanya vya Mbeya Hotel. Mkuu wa Chuo cha elimu ya Biashara Kampasi ya Mbeya, Dionise Lwanga akitoa neno la Shukrani kwa mgeni rasmi baada ya kumaliza kuwatunuku wahitimu katika mahafali ya 49 ya Chuo hicho. Makamu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Usimamizi wa maadili Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dar waongeza ufaulu

CBE - 1

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) Prof. Emanuel Mjema akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu maadhimisho miaka 50 ya chuo hicho yanayoendelea jijini Dar es salaam.

Na Aron Msigwa –MAELEZO

Hatua iliyochukuliwa na uongozi wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) kuendelea kuweka msisitizo katika usimamizi wa maadili kwa wanafunzi imeanza kuzaa matunda kufuatia kuogezeka kwa ufaulu wa masomo kwa wanafunzi wanaosoma chuoni hapo.

Hayo yamebainishwa leo...

 

10 years ago

Michuzi

WANACHUO WAWILI WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) DODOMA WAPATA GPA YA 4.9

Bw. Peragius  Cosmas mwanafunzi aliyehitimu shahada ya Uhasibu na kupata  GPA 4.91 akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha CBE Prof.Emanuel Mjema.Bi. May Issa  mwanafunzi aliyehitimu shahada ya kwanza ya Usimamizi wa manunuzi  na kupata  GPA 4.92 Akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha CBE Prof.Emanuel Mjema.
Kwa kile ambacho kimeonekana ni tishio kwa chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)  wanafunzi hawa  kutoka kampasi ya Dodoma  wameweza kupata ufaulu ...

 

10 years ago

GPL

USIMAMIZI WA MAADILI CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) DAR ES SALAAM WAONGEZA UFAULU.

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) Prof. Emanuel Mjema akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu maadhimisho miaka 50 ya chuo hicho yanayoendelea jijini Dar es salaam. Na. Aron Msigwa
Hatua iliyochukuliwa na uongozi wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) kuendelea kuweka msisitizo katika usimamizi wa maadili kwa wanafunzi imeanza kuzaa matunda kufuatia kuogezeka kwa ufaulu wa masomo kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) CHATOA MSAADA WA MASHUKA HOSPITALI YA WAZAZI META.

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara(CBE) Profesa Emmanuel Mjema(kushoto) akimkabidhi moja ya mashuka Mkuu wa Idara ya Hospitali ya Wazazi Meta, Dk. John France walipotembelea hospitali hiyo. Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara(CBE) Profesa Emmanuel Mjema(kushoto) akimuonesha shuka Mkuu wa Idara ya Hospitali ya Wazazi Meta, Dk. John France walipotembelea hospitali hiyo na kutoa msaada wa Mashuka.Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara(CBE) Profesa Emmanuel Mjema akisaidiana na baadhi ya Watumishi...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WAHITIMU WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) WANAOISHI NYANDA ZA JUU KUSINI

Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mbeya Mh. Johm Mwakangale ambaye ndiye Mgeni Rasmi katika Mkutano wa wahitimu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)  wanaoishi nyanda za Juu kusini waliowahi kusoma katika chuo hicho kuanzia mwaka 1965-2014 na yeye akiwa ni mmoja wa wanafunzi ambaye alisoma katika chuo hicho mwaka 1967 na ambaye pia alikuwa ni Mkufunzi katika chuo hiki na Mlezi wa Umoja wa wana CBE waishio nyanda za juu kusini akitoa hotuba yake ambapo, alikishukuru chuo cha CBE kwa kufanya mkutano huu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani