WANACHUO WAWILI WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) DODOMA WAPATA GPA YA 4.9
Bw. Peragius Cosmas mwanafunzi aliyehitimu shahada ya Uhasibu na kupata GPA 4.91 akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha CBE Prof.Emanuel Mjema.
Bi. May Issa mwanafunzi aliyehitimu shahada ya kwanza ya Usimamizi wa manunuzi na kupata GPA 4.92 Akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha CBE Prof.Emanuel Mjema.
Kwa kile ambacho kimeonekana ni tishio kwa chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) wanafunzi hawa kutoka kampasi ya Dodoma wameweza kupata ufaulu ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWANACHUO WAWILI WA CHUO CHA CBE DODOMA WAPATA GPA YA 4.9
11 years ago
VijimamboMKUTANO WA WAHITIMU WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE)
10 years ago
Vijimambo06 Dec
MAHAFALI YA 49 YA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA(CBE) KAMPASI YA MBEYA YAFANA.
10 years ago
Vijimambo
Chuo cha CBE Kuaza kutoa Shahada ya Elimu katika Masuala ya Biashara.


11 years ago
Dewji Blog11 Sep
Usimamizi wa maadili Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dar waongeza ufaulu
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) Prof. Emanuel Mjema akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu maadhimisho miaka 50 ya chuo hicho yanayoendelea jijini Dar es salaam.
Na Aron Msigwa –MAELEZO
Hatua iliyochukuliwa na uongozi wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) kuendelea kuweka msisitizo katika usimamizi wa maadili kwa wanafunzi imeanza kuzaa matunda kufuatia kuogezeka kwa ufaulu wa masomo kwa wanafunzi wanaosoma chuoni hapo.
Hayo yamebainishwa leo...
10 years ago
Dewji Blog26 Mar
Chuo cha CBE kuanza kutoa shahada ya elimu katika masuala ya biashara

10 years ago
GPL
CHUO CHA CBE KUTOA SHAHADA YA ELIMU KATIKA MASUALA YA BIASHARA.
10 years ago
VijimamboCHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) CHATOA MSAADA WA MASHUKA HOSPITALI YA WAZAZI META.
11 years ago
GPL
USIMAMIZI WA MAADILI CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) DAR ES SALAAM WAONGEZA UFAULU.