Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kipindupindu chaendelea kuua D’Salaam

dadi ya watu waliopoteza maisha kwa ugonjwa wa kipindupindu imeongezeka na kufikia 17 baada ya watu wengine wawili kupoteza maisha jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

KIPINDUPINDU CHAENDELEA KUTESA JIJINI DAR ES SALAAM

 Muuguzi Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Nusura Kessy (kushoto), akiwaelekeza wauguzi wa saidizi wake namna ya kuchanganya dawa maalumu ya kuondoa vijiji vinavyoweza kuwa vya ugonjwa wa kipindupindu katika kambi ya wagonjwa walioathiriwa na ugonjwa huo iliyopo Zahanati ya Mburahati Dar es Salaam leo asubuhi. Katika kambi hiyo kuna wagonjwa 21 kati yao watoto ni 7. Vyombo vikiwekwa kwenye dawa.
 Muuguzi Msaidi wa Zahanati ya Mburahati, Maimuna Pazi (kushoto) na Mlinzi wa Zahanati hiyo, Abdallah...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kipindupindu chaendelea kutesa jijini Dar

Muuguzi Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Nusura Kessy (kushoto), akiwaelekeza wauguzi wa saidizi wake namna ya kuchanganya dawa maalumu ya kuondoa vijiji vinavyoweza kuwa vya ugonjwa wa kipindupindu katika kambi ya wagonjwa walioathiriwa na ugonjwa huo iliyopo Zahanati ya Mburahati Dar es Salaam leo asubuhi. Katika kambi hiyo kuna wagonjwa 21 kati yao watoto ni 7.

Vyombo vikiwekwa kwenye dawa.

Muuguzi Msaidi wa Zahanati ya Mburahati, Maimuna Pazi (kushoto) na Mlinzi wa Zahanati hiyo,...

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chazidi kuua Sengerema

Idadi ya wagonjwa waliokufa kwa ugonjwa wa kipindupindu wilayani hapa Mkoa wa Mwanza imeongezeka kutoka sita hadi kufikia tisa.

 

9 years ago

GPL

SHULE TANO ZA MKOANI MWANZA ZAFUNGWA BAADA YA KIPINDUPINDU KUUA WANANE

MLIPUKO wa ugonjwa wa kipindupindu umeshika kasi sasa mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Morogoro, Singida na Mwanza baada ya kusababisha vifo vya watu kadhaa na wengine wengi kulazwa mahospitalini tangu ugonjwa huo uanze kusambaa kwa kasi nchini mwanzoni mwa Agosti. Bakteria aina ya vibrio chorelae ambao husababisha ugonjwa wa kipindupindu Hali inazidi kuwa mbaya katika maeneo mbalimbali nchini kutokana na mlipuko wa kipindupindu,...

 

9 years ago

Habarileo

Kipindupindu chaitesa Dar es Salaam

UGONJWA wa kipindupindu bado unasumbua mkoa wa Dar es Salaam ambapo hadi sasa tayari watu 40 wamepoteza maisha huku wakiibuka wagonjwa wapya kila siku katika hospitali zilizopo jijini humo.

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaua 36 Dar es Salaam

Watu 36 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa kipindupindu katika Jiji la Dar es Salaam tangu Agosti 15.

 

9 years ago

Michuzi

MAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu

Na  Raymond Mushumbusi- MAELEZO
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...

 

10 years ago

GPL

KIKAO CHA KAMATI KUU CCM CHAENDELEA MJINI DODOMA

Kikao cha Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) 2015 kinaendelea muda huu huko mkoani Dodoma baada ya kuahirishwa jana usiku.Kikao hicho kinatarajia kumtangaza mgombea urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba, 2015. Kujua nini kinaendelea, angalia LIVE Hapa====>>>bit.ly/1KYm3QQ

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani