Kipindupindu chazidi kuua Sengerema
Idadi ya wagonjwa waliokufa kwa ugonjwa wa kipindupindu wilayani hapa Mkoa wa Mwanza imeongezeka kutoka sita hadi kufikia tisa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV23 Sep
Kipindupindu chazidi kuwa tishio Dar:
Ugonjwa wa kipindupindu umeendelea kuwa tishio kwa afya na maisha ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam kutokana na ongezeko la wagonjwa na vifo katika manispaa mbili kati ya tatu za jiji hilo.
Ugonjwa huo awali uliikumba Manispaa ya Kinondoni lakini sasa umeenea katika Manispaa ya Ilala na Temeke ambako kumelazimisha kufungwa baadhi ya visima vya maji na kupigwa marufuku biashara ya vyakula na matunda.
Hadi sasa imethibitishwa jiji la Dar es Salaam kuwa bado si salama kwa ugonjwa wa...
9 years ago
StarTV29 Sep
Kipindupindu chazidi kuwa tishio chapiga hodi singida 11 walazwa.
WAKATI ukiwa bado ukiendelea kutikisa katika Jiji la Dar-es-Salamu na kuua watu wengi, ugonjwa wa Kipindupindu umeingia katika Manispaa ya Singida ambapo watu 11 wamelazwa kwenye kambi iliyotengwa eneo la viwanja vya Mandewa kwa ajili ya kutibu wenye dalili za ugonjwa huo.
Tayari watu watatu miongoni mwa 11 waliozwa kwenye kambi iliyoanzishwa wakiharisha na kutapika, wamefanyiwa vipimo vya kitaalamu na kubainika kuwa na ugonjwa huo hatari wa kipindupindu.
Akizungumza na waandishi wa habari...
9 years ago
Mwananchi24 Sep
Kipindupindu chaendelea kuua D’Salaam
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/mwanza_town.jpg?width=650)
SHULE TANO ZA MKOANI MWANZA ZAFUNGWA BAADA YA KIPINDUPINDU KUUA WANANE
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-PflB1vDnTuc/VnjzLG10PHI/AAAAAAAINzM/06Q-IcujenE/s72-c/USAFI.jpg)
MAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Kisukari chazidi kuwatesa Watanzania
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-T6WZoRa36c8/XlUbQbkeVQI/AAAAAAACzZ0/dKEflFk03q4120sCaCazGsTW81Q9T1rKgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
CHAMA CHA CHADEMA CHAZIDI KUKIMBIWA NA VIONGOZI WAKE
![](https://1.bp.blogspot.com/-T6WZoRa36c8/XlUbQbkeVQI/AAAAAAACzZ0/dKEflFk03q4120sCaCazGsTW81Q9T1rKgCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Diwani kutoka Kata ya Hunyari iliyopo Halmashauri ya Bunda mkoani Mara Makina Josephat ametangaza kuhama Chadema na kuhamia CCM.
Makina ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Bunda na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hiko kikuu cha upinzani ametangaza uamuzi huo leo jijini Dodoma na kupokelewa na MNEC wa CCM, Ismail Jamaa.
Akizungumza baada ya kumpokea Diwani huyo, MNEC Jamaa amesema wamempokea kiongozi huyo kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa na kwamba taratibu zingine za kumpokea...
9 years ago
Habarileo12 Oct
Sengerema yaahidiwa Mji
MJI wa Sengerema umeahidiwa kutoka mamlaka ya mji mdogo kuwa halmashauri ya mji iwapo Chama Cha Mapinduzi kitaingia madarakani.
10 years ago
Dewji Blog23 Mar
Kivuko cha Mv Sengerema
Kivuko cha Mv Sengerema kikikaribia kuwasisili kwenye gati la Busisi wilayani Sengerema kikitoka Kigongo Mwanza Machi 21, 2015. Kivuko hicho ni moja ya vivuko vitatu vinavyovusha magari na abiria kati ya Kigongo na Busisi mkoani Mwanza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).