Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHAMA CHA CHADEMA CHAZIDI KUKIMBIWA NA VIONGOZI WAKE


  Diwani kutoka Kata ya Hunyari iliyopo Halmashauri ya Bunda mkoani Mara Makina Josephat ametangaza kuhama Chadema na kuhamia CCM.
Makina ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Bunda na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hiko kikuu cha upinzani ametangaza uamuzi huo leo jijini Dodoma na kupokelewa na MNEC wa CCM, Ismail Jamaa.
Akizungumza baada ya kumpokea Diwani huyo, MNEC Jamaa amesema wamempokea kiongozi huyo kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa na kwamba taratibu zingine za kumpokea...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CHAMA CHA CCM IRINGA CHAWASHANGAA CHADEMA KUZUIA WANACHAMA WAKE KUNYWA MAZIWA

Katibu  wa  CCM  mkoa  wa Iringa, Bw.Hassan Mtenga.   CHAMA  cha mapinduzi (CCM) mkoa  wa Iringa chakishangaa chama cha demokrasia na maendeo (CHADEMA) kwa  kuwazuia  wanachama  wake  mjini Iringa  kunywa maziwa  ya  Asas Dairies Ltd Akizungumza na  waandishi  wa habari  ofisini  kwake jana katibu  wa  CCM  mkoa  wa Iringa  Hassan Mtenga  alisema ...

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WAPYA WA CHAMA CHA MAKATIBU MAHSUSI TANZANIA WATAMBULISHA OFISI MPYA ZA CHAMA




Nyumba ya Maarifa (NIP) mkabala ATCL House, Ghorofa ya Kwanza, Mtaa wa Ohio, S.L.P. 79868, Dar es Salaam. Simu: +255 22 2127464, Nukushi: +255 22 2126399 Barua pepe: info@tapsea.org, Tovuti: http://www.tapsea.org



 
VIONGOZI WAPYA WA CHAMA CHA MAKATIBU MAHSUSI TANZANIA WATAMBULISHA OFISI MPYA ZA CHAMA
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAKATIBU MAHSUSI TANZANIA – TAPSEA ANAWAJULISHA MAKATIBU MAHSUSI WOTE TANZANIA KUWA OFISI YA TAPSEA IMEHAMIA KATIKA JENGO LA NYUMBA YA MAARIFA (NIP) MTAA WA...

 

10 years ago

Michuzi

Viongozi wa Chama cha Skauti wakutana na Wadhamini wa Chama

Viongozi wa chama cha skauti wakiwa pamoja na wadhamini wa chama hicho ambao ni Rais Mstaafu Mhe Ali Hassan Mwinyi na Waziri Mkuu Mstaafu,Mhe. Salim Ahmed Salim. Wengine pichani ni mbele ni Kamishina Mkuu Ndg Abdulkarim Shah, Mwenyekiti wa kamati ya Utendaji Balozi Kuhanga na Naibu Kamishina Mkuu Rashid K Mchatta.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA TUMBAKU MKOANI RUVUMA NA KUWASIMAMISHA KAZI VIONGOZI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA SONAMCU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha kusindika  tumbaku  cha mkoani Ruvuma na kuwasimamisha kazi viongozi wa Chama Cha Kikuu Cha Ushirika cha SONAMCU.
Akizungumza  jana jioni(Jumanne, Januari 5, 2016), katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Ndogo ya Songea, wakati alipokutana na wakulima wa zao la tumbaku wa Wilaya ya Namtumbo, Wananchama wa Vyama Vya Ushirika vya Mkoa wa Ruvuma, viongozi wa Mkoa pamoja na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Edwin Ngonyani ambaye ni...

 

5 years ago

Michuzi

Chama kikuu cha upinzani cha CNL kimemuidhinisha Agathon Rwasa kuwa mgombea wake wa kiti cha urais

Chama kikuu cha upinzani nchini Burundi kimemuidhinisha Agathon Rwasa kuwa mgombea wake katika uchaguzi wa rais wa Mei 20 mwaka huu.

Wajumbe wa chama cha National Congres for Liberty jana walimuidhinisha Rwasa aliye na umri wa miaka 56 kama mgombea wao katika uchaguzi wa Rais wa mwezi Mei.

Agathon Rwasa atachuana katika uchaguzi huo na Jenerali wa jeshi Evariste Ndayishimiye ambaye ni muitifaki wa Nkurunzia. Mwezi uliopita chama tawala Burundi CNDD-FDD kilimchagua jenerali huyo wa jeshi...

 

11 years ago

GPL

BAADA YA KUKIMBIWA NA MPINZANI WAKE KALAPINA ATANGAZA KUZICHAPA NA KASEBA

Msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, Kalapina akitangazwa kushinda kwenye mpambano wa ngumi usiku wa kuamkia leo,baada ya mpinzani wake Bahati Mwamfiale kutotokea ulingoni ndani ya Ukumbi wa Msasani Club,sasa aomba pambano na Japhet Kaseba na Mchumia Tumbo. Kalapina akirudi kwenye chumba cha kubadilishia nguo huku akishangiliwa na wapambe…

 

11 years ago

Habarileo

Chadema Kigoma yataja viongozi wake

Fadhili Abdallah, Kigoma CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza majina ya viongozi wa chama hicho Mkoa wa Kigoma watakaokiongoza kwa muda kujaza nafasi zilizoachwa na waliokuwa viongozi waandamizi ambao wamejiunga na Chama cha ACT.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yawatega viongozi wake Kahama

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Kahama, kimewapa wiki mbili za kujieleza viongozi wake ni kwa nini wasifukuzwe uanachama kutokana na utovu wa nidhamu. Miongoni mwa viongozi hao watatu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani