VIONGOZI WAPYA WA CHAMA CHA MAKATIBU MAHSUSI TANZANIA WATAMBULISHA OFISI MPYA ZA CHAMA
.png)
Nyumba ya Maarifa (NIP) mkabala ATCL House, Ghorofa ya Kwanza, Mtaa wa Ohio, S.L.P. 79868, Dar es Salaam. Simu: +255 22 2127464, Nukushi: +255 22 2126399 Barua pepe: info@tapsea.org, Tovuti: http://www.tapsea.org
VIONGOZI WAPYA WA CHAMA CHA MAKATIBU MAHSUSI TANZANIA WATAMBULISHA OFISI MPYA ZA CHAMA
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAKATIBU MAHSUSI TANZANIA – TAPSEA ANAWAJULISHA MAKATIBU MAHSUSI WOTE TANZANIA KUWA OFISI YA TAPSEA IMEHAMIA KATIKA JENGO LA NYUMBA YA MAARIFA (NIP) MTAA WA...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
KAILIMA ATEMBELEA OFISI ZA CHAMA CHA WAFUGAJI TANZANIA (CCWT) DODOMA KUONA MWENENDO WA MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA CHAMA HICHO

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akitoa maelekezo ya Serikali kwa Viongozi wa Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT) hawapo pichani, baada ya kukuta Ofisi zao zikiwa zimefungwa na hakuna maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Chama hicho. Kailima, ameelekeza Wanachama wote wanaotaka kushiriki kwenye Mkutano wa...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Viongozi wa Chama cha Skauti wakutana na Wadhamini wa Chama
.jpg)
10 years ago
Dewji Blog09 Oct
Zantel yatembelea ofisi za Chama Cha Maalbino Tanzania
Mmoja wa wafanyakazi wa Chama Cha Albino, Christina Mbedi akielezea namna Chama cha Albino kinavyofanya kazi zake kwa Meneja wa Chapa na Mawasiliano wa Zantel, Arnold Madale wakati wa ziara ya viongozi wa Zantel ofisini kwao. Anayetizama kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Umoja wa Albino Tanzania, Ernest Kimaya.
Meneja wa Chapa na Mawasiliano wa Zantel, Arnold Madale akikabidhi msaada wa vifaa vya mawasiliano kwa Mwenyekiti wa Umoja wa Chama cha Albino Tanzabua, Ernest Kimaya. Wanaotazama...
10 years ago
GPLMWENYEKITI WA CHAMA CHA ACT-TANZANIA AKIPINGA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO
10 years ago
Michuzi
JK akutana Na viongozi Wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo


5 years ago
CCM Blog
11 years ago
MichuziUJUMBE WA CHAMA CHA FRELIMO CHA MSUMBIJI WAKUTANA NA BAADHI YA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR
5 years ago
MichuziCWT SINGIDA VIJIJINI: BAADHI YA MAKATIBU WA CHAMA CHA WALIMU NI MZIGO
Mwenyekiti Mpya wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Singida Vijijini, Joselen Kato Samwel, akizungumza na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho baada ya kutangazwa mshindi.
Msimamizi wa uchaguzi huo, Katibu wa CWT, Manispaa ya Singida, Jones Madale (katikati), akitangaza washindi.
Mwenyekiti wa Chama cha Walimu (CWT ) Wilaya ya Singida Vijijini, Kitengo (KE), Jaha Mwemkala, akizungumza na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo.
Baadhi...
10 years ago
MichuziMWENYEKITI WA CHAMA CHA ACT-TANZANIA AKIPINGA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO