Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UJUMBE WA CHAMA CHA FRELIMO CHA MSUMBIJI WAKUTANA NA BAADHI YA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR

Mjumbe wa Kamati ya CCM Taifa Bi. Khadija Hassan Aboud akimkaribisha Mbunge ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha FRELIMO cha Msumbiji Bi. Nyeleti Mondlane Ofisi kuu ya CCM Zanzibar. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha FRELIMO cha Msumbiji Bi. Nyeleti Mondlane akisaini kitabu cha wageni alipofika Ofisi kuu ya CCM Zanzibar (kulia) Katibu wa FRELIMO Zanzibar Bw. Agostino Andrea. Kiongozi wa Ujumbe wa Chama cha FRELIMO Bi. Nyeleti Mondlane (watatu kushoto) akibadilishana mawazo na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

DKT SHEIN AKUTANA NA MGOMBEA URAIS WA CHAMA CHA FRELIMO CHA MSUMBIJI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mgombea Urais kupitia Chama cha Frelimo,nchini Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mgombea Urais kupitia Chama cha Frelimo,nchini Msumbiji Mhe,filipe Jacinto Nyusi baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ukumbi wa wageni  Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIJINI DODOMA


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 10 Juni 2020.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza Wimbo wa Hamasa ya maendeleo pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 10 Juni 2020 kabla ya kuanza kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA MAPINDUZI CCM ZANZIBAR CHATOA TAMKO JUU YA KUJITOA KWENYE CHAMA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASA.

unnamed (4)Katibu wa CCM Mkoa Mjini Mohammed Omar Nyawenga akitoa taarifa ya Chama hicho kwa Waandishi wa Habari kuhusu kujitoa ndani ya Chama Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa katika mkutano uliofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.unnamed (5)Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mjini Borafia Silima akitoa ufafanuzi katika mkutano uliohudhuriwa na wajumbe wa ngazi mbali mbali za Chama na waandishi wa Habari Afisi kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.
unnamed (6)Baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakifuatilia mkutano huo...

 

10 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM) MKOA WA KILIMANJARO WAKUTANA JIMBO LA VUNJO

Kamanda Msaidizi wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Moshi Vijijini ,Innocent Mellecky akizungumza katika kikao hicho kilicho shirikisha wenyeviti wote wa jumuiya hiyo mkoa wa Kilimanjaro.Baadhi ya wajumbe wa Jumuiya hiyo.Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro,Godliving Mushi akizungumza katika kikao hicho.Kaimu katibu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro Joel Makwaia akizungumza jambo katika...

 

10 years ago

Michuzi

Viongozi wa Chama cha Skauti wakutana na Wadhamini wa Chama

Viongozi wa chama cha skauti wakiwa pamoja na wadhamini wa chama hicho ambao ni Rais Mstaafu Mhe Ali Hassan Mwinyi na Waziri Mkuu Mstaafu,Mhe. Salim Ahmed Salim. Wengine pichani ni mbele ni Kamishina Mkuu Ndg Abdulkarim Shah, Mwenyekiti wa kamati ya Utendaji Balozi Kuhanga na Naibu Kamishina Mkuu Rashid K Mchatta.

 

9 years ago

Michuzi

CHAMA CHA MAPINDUZI CCM CHAZINDUA KAMPENI WILAYA YA DIMANI ZANZIBAR

 Zuhura Seif Hassan akighani utenzi katika Mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM Wilaya ya Dimani zilizofanyika uwanja wa shinyanga karibu na Baraza la Wawakilishi Chukwani nnje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
 Baadhi ya wanachama wa CCM wakisikiliza Mgeni rasmin Mhe. Shamsi Vuai Nahodha (hayupo pichani) alipokuwa akiwahutubia katika Mkutano uliofanyika kiwanja cha shinyanga karibu na Baraza la Wawakilishi Chukwani.
 Mgombea Ubunge Jimbo la Kiembesamaki kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM...

 

9 years ago

Dewji Blog

Chama cha Mapinduzi CCM chazindua kampeni zake Wilaya Dimani-Zanzibar

DSC_3554 (1)Mgombea Ubunge Jimbo la Kiembesamaki kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Ibrahim Raza akiwatambulisha wagombea uwakilishi wa Jimbo hilo, (kulia) mgombea Uwakilishi jimbo la Chukwani  Bi. Mwanasha Khamis na (kushoto) mgombea Uwakilishi jimbo la Kiembe samaki, Mahmoud Thabit Kombo. (Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

DSC_3498 (1)

 Zuhura Seif Hassan akighani utenzi katika Mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM Wilaya ya Dimani zilizofanyika uwanja wa shinyanga karibu na Baraza la Wawakilishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani