JUMUIYA YA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM) MKOA WA KILIMANJARO WAKUTANA JIMBO LA VUNJO
Kamanda Msaidizi wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Moshi Vijijini ,Innocent Mellecky akizungumza katika kikao hicho kilicho shirikisha wenyeviti wote wa jumuiya hiyo mkoa wa Kilimanjaro.Baadhi ya wajumbe wa Jumuiya hiyo.Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro,Godliving Mushi akizungumza katika kikao hicho.Kaimu katibu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro Joel Makwaia akizungumza jambo katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi01 Nov
JUMUIYA YA WAZAZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) MKOA WA DAR ES SALAAM YAZINDUA DAFTARI LA WANACHAMA WAKE
10 years ago
MichuziUJUMBE WA CHAMA CHA FRELIMO CHA MSUMBIJI WAKUTANA NA BAADHI YA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR
10 years ago
Dewji Blog25 Sep
Jumuiya ya umoja wa vijana (UVCCM) yawaonya viongozi CCM mkoa kuacha kuwagawa vijana kwa maslahi yao
Katibu Mkuu wa UVCCM Wilaya ya Mkalama Florian Panga akizungumza kwenye kikao hicho.
Na Hillary Shoo, MKALAMA.
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana (UVCCM) imewataka viongozi mbalimbali wa CCM Mkoa wa Singida kuacha kuwagawa vijana kwa maslahi yao binafsi kwani kufanya hivyo ni kuleta mpasuko na makundi miongoni mwao.
Changamoto hiyo imetolewa Wilayani hapa na Katibu Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Singida, Ramadhani Kapeto wakati akifunga kambi ya vijana wa Wilaya ya Mkalama ya siku saba kwenye shule ya...
9 years ago
VijimamboMGOMBEA MWENZA WA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) SAMIA SULUHU HASSAN AWANADI WAGOMBEA UBUNGE WA MAJIMBO YA MKOA WA KILIMANJARO
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi,Samia Suluhu Hassan akiwatambulisha wagombea Ubunge katika majimbo matatu ya Moshi mjini (Dais...
10 years ago
GPLCHAMA CHA TLP KIMEMPENDEKEZA MREMA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO
5 years ago
MichuziRC MAKONDA AWATAKA UVCCM KUSIMAMA KIDETE KUKIPIGANIA CHAMA CHA MAPINDUZI.
RC Makonda ametoa kauli hiyo wakati wa Kikao na Vijana wa UVCCM Mkoa wa Dar es salaam ambapo amesema yapo Maendeleo Makubwa yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano na kama wasipoyazungumzia watatoa mwanya kwa watu wasiolitakia mema Taifa kupenyeza Wongo.
Aidha RC...
10 years ago
Michuzi27 Feb
11 years ago
GPLMKURUGENZI WA KIWANDA CHA MONABAN CHA JIJINI ARUSHA ASIMIKWA KUWA KAMANDA WA VIJANA UVCCM MKOA