Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHAMA CHA TLP KIMEMPENDEKEZA MREMA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO

Mh.Augustine Mrema Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), imempendekeza Augustine Mrema ambae pia ni mwenyekiti wa chama hicho kutetea kiti chake cha ubunge katika jimbo la Vunjo. Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho Nancy Mrikaria, akiongea jana na gazeti la mwananchi alisema kuwa kamati hiyo pia imemthibitisha Mrema kuendelea na nafasi yake ya uenyekiti wa chama hicho kwa mara nyingine. Alisema kamati...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

TLP yampitisha Mrema kugombea ubunge Vunjo

Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Tanzania Labour (TLP), imempendekeza Mwenyekiti wa chama hicho, Augustine Mrema kutetea kiti chake cha ubunge katika jimbo la Vunjo.

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI, JAMES MBATIA AKARIBISHWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akipungia wananchi wakati msafara wa pikipiki na magari ukipita katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Vunjo. Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akifurahia jambo akiwa na mjumbe wa mkutano mkuu wa NCCR,Hemed Msabaha,(kulia)…

 

10 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI,JAMES MBATIA AKARIBISHWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akipungungia wananchi wakati msafara wa pikipiki na magari ukipita katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Vunjo.Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akifurahia jambo akiwa na mjumbe wa mkutano mkuu wa NCCR,Hemed Msabaha,(kulia)Umati wa wakazi wa mji wa Himo wakisiliza kwa makini hotuba zilizokuwa zikitolewa katika mkutano wa hadhara wa Mh James Mbatia aliofanya katika uwanja wa Ghalani.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

MHE.DAVID KAFULILA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE TENA KATIKA JIMBO LA KIGOMA KASINI KUPITIA CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI

 Mhe Kafulila akihutubia maelfu ya wakazi wa Nguruka mara baada ya kupokea fomu ya kugombea ubunge katika jimbo lake.aliyokabidhiwa na wazee wa jimbo hilo Mhe David Kafulila ikiingia katika viwanja vya shule ya msingi Nguruka kwaajili ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa awamu ya pili jimboni kwake.  Mhe Kafulila akiwaaga wananchi wa Nguruka baada ya kumaliza mkutano wake wa hadhara.Baadhi ya wananchi wa Nguruka waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Mhe.David Kafulila na kushuhudia...

 

11 years ago

Mwananchi

Mrema aanza jitihada kutoa TLP ‘ICU’ Vunjo

Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro, kimepata pigo baada ya wanachama wake 28 akiwamo Mwenyekiti wa Kijiji cha Komalangoye, Israel Mtui na viongozi wengine saba kujiunga na Chama cha Tanzania Labour (TLP).

 

10 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM) MKOA WA KILIMANJARO WAKUTANA JIMBO LA VUNJO

Kamanda Msaidizi wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Moshi Vijijini ,Innocent Mellecky akizungumza katika kikao hicho kilicho shirikisha wenyeviti wote wa jumuiya hiyo mkoa wa Kilimanjaro.Baadhi ya wajumbe wa Jumuiya hiyo.Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro,Godliving Mushi akizungumza katika kikao hicho.Kaimu katibu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro Joel Makwaia akizungumza jambo katika...

 

10 years ago

Michuzi

WENYEVITI WA TAIFA WA VYAMA VYA NCCR -MAGEUZI ,JAMES MBATIA NA AGUSTINE MREMA WA TLP WAWANADI WAGOMBEA WAO JIMBONI VUNJO.

Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi akiendelea na mikutano ya kampeni katika kijiji cha Kisangesangeni kata ya Kahe akiwanadi wagombea wa nafasi za Uenyekiti.Msafara wa Pikipiki ukiongoza kuelekea kijiji cha Ngaseni kwa ajili ya mikutano ya kampeni ya chama cha NCCR-Mageuzi.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA KUVULIWA UBUNGE TLP..MREMA AAMUA KUJIUNNGA RASMI NA ACT


Augustino Mrema (kulia).NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAMKAMATI ya Ukweli na Maridhiano ya Chama cha Tanzania Labour (TLP), imetangaza kumvua uanachama Mwenyekiti wa chama hicho, Agustino Mrema.Akizungumza jana, jijini Dar es Salaam na vyombo vya habari, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Joram Kinanda alisema kuwa kamati hiyo imefikia uamuzi huo baada ya kupitia kwa kina malalamiko yaliyokuwa yakimuhusu Mrema, ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo.Mwenyekiti huyo alisema kuwa mbali na Mrema wengine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani