TLP yampitisha Mrema kugombea ubunge Vunjo
Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Tanzania Labour (TLP), imempendekeza Mwenyekiti wa chama hicho, Augustine Mrema kutetea kiti chake cha ubunge katika jimbo la Vunjo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pgHCO1djFo4qOp8TF5zjNQXPgW07uwG7-cFvS5DJsVjAeyaU*DzxVtg01qAVkFuGz9wu8zeiHidhO5-0yqgiZutiY0JDL-S4/mrema.jpg?width=650)
CHAMA CHA TLP KIMEMPENDEKEZA MREMA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO
Mh.Augustine Mrema Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), imempendekeza Augustine Mrema ambae pia ni mwenyekiti wa chama hicho kutetea kiti chake cha ubunge katika jimbo la Vunjo. Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho Nancy Mrikaria, akiongea jana na gazeti la mwananchi alisema kuwa kamati hiyo pia imemthibitisha Mrema kuendelea na nafasi yake ya uenyekiti wa chama hicho kwa mara nyingine. Alisema kamati...
11 years ago
Mwananchi27 Jan
Mrema aanza jitihada kutoa TLP ‘ICU’ Vunjo
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro, kimepata pigo baada ya wanachama wake 28 akiwamo Mwenyekiti wa Kijiji cha Komalangoye, Israel Mtui na viongozi wengine saba kujiunga na Chama cha Tanzania Labour (TLP).
9 years ago
Mwananchi03 Nov
CCM yampitisha mtoto wa Kigoda kugombea ubunge Handeni Mjini
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Handeni Mjini wamempigia kura na kumchagua tena mgombea ambae alishinda awali Omari Abdallah Kigoda katika uchaguzi uliofanyika wilayani humo leo baada ya kamati kuu ya CCM Taifa kutaka urudiwe.
10 years ago
MichuziWENYEVITI WA TAIFA WA VYAMA VYA NCCR -MAGEUZI ,JAMES MBATIA NA AGUSTINE MREMA WA TLP WAWANADI WAGOMBEA WAO JIMBONI VUNJO.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
VijimamboBAADA YA KUVULIWA UBUNGE TLP..MREMA AAMUA KUJIUNNGA RASMI NA ACT
Augustino Mrema (kulia).NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAMKAMATI ya Ukweli na Maridhiano ya Chama cha Tanzania Labour (TLP), imetangaza kumvua uanachama Mwenyekiti wa chama hicho, Agustino Mrema.Akizungumza jana, jijini Dar es Salaam na vyombo vya habari, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Joram Kinanda alisema kuwa kamati hiyo imefikia uamuzi huo baada ya kupitia kwa kina malalamiko yaliyokuwa yakimuhusu Mrema, ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo.Mwenyekiti huyo alisema kuwa mbali na Mrema wengine...
11 years ago
Habarileo18 Dec
Mrema kugombea ubunge 2015
MBUNGE wa Vunjo, Augustino Mrema (TLP), amesema atagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu ujao mwaka 2015 katika jimbo hilo na kutoa hadhari kwa wanaolinyemelea.
9 years ago
Michuzi14 Aug
MREMA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE
![IMAG0392 (3)](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/2qJk_vB3GsnOB4muUi4VB81yJHlVEhwWoNporLUWwmpLMZiCoQ_dxJZbMqhtRXMBNNWKjWXP_El2GrnwMQ36mWz-8qA-16wvq3JadEiWGtGzVACjB8TNjbFN-g=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/08/imag0392-3.jpg?w=660)
……………………………………………………………………………….. MGOMBEA ubunge jimbo la Vunjo na mwenyekiti wa chama cha TLP ,Agustino Lyatonga Mrema ametamba kuwa jimbo hilo ni mali yake na hayuko tayari kuona likichukuliwa na manyang’au aliodai wa Ukawa. Mrema alitoa kauli hiyo...
10 years ago
GPLMWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI, JAMES MBATIA AKARIBISHWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akipungia wananchi wakati msafara wa pikipiki na magari ukipita katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Vunjo. Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akifurahia jambo akiwa na mjumbe wa mkutano mkuu wa NCCR,Hemed Msabaha,(kulia)…
10 years ago
MichuziMWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI,JAMES MBATIA AKARIBISHWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania