Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yampitisha mtoto wa Kigoda kugombea ubunge Handeni Mjini

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Handeni Mjini wamempigia kura na kumchagua tena mgombea ambae alishinda awali Omari Abdallah Kigoda katika uchaguzi uliofanyika wilayani humo leo baada ya kamati kuu ya CCM Taifa kutaka urudiwe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

TLP yampitisha Mrema kugombea ubunge Vunjo

Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Tanzania Labour (TLP), imempendekeza Mwenyekiti wa chama hicho, Augustine Mrema kutetea kiti chake cha ubunge katika jimbo la Vunjo.

 

9 years ago

Mwananchi

Lema aongoza ubunge Arusha, Kigoda Handeni

Arusha/Handeni. Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chadema, Godbless Lema anaelekea kuibuka tena kidedea baada ya kuongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi mdogo uliofanyika jana akimuacha mbali mshindani wake, Philemon Mollel wa CCM.

 

9 years ago

GPL

CCM LUDEWA YAMPITISHA NGALAWA KUWANIA UBUNGE

Kada wa CCM, Deo Ngalawa. NGALAWA aliwashinda makada wenzake tisa waliokuwa wakiwania nafasi hiyo kwa kupata kura 537 akifuatiwa na mdogo wa marehemu Filikunjombe, Philip aliyepata kura 501. Makada wengine ni Edgar Lugome, Johnson Mgimba, Emmanuel Mgaya maarufu Masanja Mkandamizaji (19), James Mgaya (72), Jackob Mpangala (3), Evaristo Mtitu (21) na Zephania Chaula (38). ...

 

9 years ago

Mwananchi

10 years ago

Vijimambo

MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM, EDMUND RUTARAKA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI.

Mtangaza nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini ,Edmund Rutaraka akiwasili katika ofisi za Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro,kwa ajili ya kikao na wajumbe wa halmashauri kuu ya chama hicho wa wilaya chenye lengo la kutangaza azma yake ya kugombea Ubunge katika jimbo hilo.Mwenyekiti wa Makatibu, wa CCM,Kilimanjaro Nemes Kaingirila Maufi akizungumza wakati wa kikao malumu cha kutangaza nia kilichoitishwa kwa ajili ya Naibu kamanda wa vijana wilaya ya Moshi mjini na Mjumbe wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aongoza maelfu ya waombolezaji kwenye mazishi ya Dkt. Abdallah Kigoda mjini Handeni, Tanga

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili.     Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo  nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt.Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA WA NAFASI YA UBUNGE JIMBO LA DODOMA MJINI KUPITIA CCM ANTHON MAVUNDE AMECHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI HIYO

  Mgombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi [CCM] Jimbo la Dodoma Mjini  Anthon Mavunde akipokea Fomu za kugombea nafasi hiyo Toka kwa Afsa Uchaguzi Manispaa ya Dodoma Elizabert Gumbo jana mjini Humo.Picha na John Banda
  Mavunde akionyesha Fomu hizo baada ya kuzichukua katika ofisi za manispaa jana. Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma mjini kupitia CCM Anthon Mavunde akiwapungia watu Mikono juu ya Gari wakati alipokuwa akienda kuchukua Fomu za kugombea nafasi hiyo. Baadhi ya wafuasi wa Chadema...

 

10 years ago

Mtanzania

CCM Handeni watishia kutomnadi mgombea ubunge

NA MWANDISHI WETU, TANGA

WAGOMBEA 15 waliojitokeza kuomba ridhaa ya kuwania ubunge Jimbo la Handeni Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametishia kutomnadi mgombea aliyeshinda kura za maoni, John Saru, kwa madai kuwa ushindi wake ulitokana na uchakachuaji wa matokeo akisaidiwa na uongozi wa wilaya.

Walisema iwapo ataidhinishwa na vikao vya juu vya chama kupambana na wagombea wengine wa vyama vya upinzani, hawatampa ushirikiano badala yake watamuunga mkono mgombea wao wa nafasi ya...

 

9 years ago

Mwananchi

CCM yafuta ushindi wa mtoto wa Kigoda

Kamati Kuu ya CCM imefuta matokeo ya kura za maoni katika Jimbo la Handeni, mkoani Tanga ambako Omar Abdallah Kigoda ambaye ni mtoto wa mbunge wa zamani, marehemu Abdallah Kigoda alikuwa ameshinda.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani