Chadema Kigoma yataja viongozi wake
Fadhili Abdallah, Kigoma CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza majina ya viongozi wa chama hicho Mkoa wa Kigoma watakaokiongoza kwa muda kujaza nafasi zilizoachwa na waliokuwa viongozi waandamizi ambao wamejiunga na Chama cha ACT.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Aug
CHADEMA Kigoma yapata viongozi wapya
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Kigoma kimepata viongozi wapya ngazi ya Mkoa na Wilaya katika uchaguzi uliyofanyika jana. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Mkurugenzi Mkuu wa Oganaizesheni...
11 years ago
Dewji Blog10 Aug
Chadema yapata viongozi wapya Kigoma
Mkurugenzi wa Mafunzo na Uchaguzi wa CHADEMA, Benson Kigaila akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). (Picha na Maktaba).
Na Mwandishi wetu
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mkoani Kigoma, kimepata uongozi mpya wa chama hicho kufuatia uongozi uliokuwepo awali kujiuzulu na kuhamia chama cha Allience For Change and Transparency (ACT – Tanzania).
Mkurugenzi wa Mafunzo na Uchaguzi wa CHADEMA, Benson Kigaila, ambaye alikuwa msimamizi wa zoezi la kupatikana kwa viongozi hao...
11 years ago
Dewji Blog18 Jul
Viongozi CHADEMA Kigoma wajiunga na ACT
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jafari Kasisiko (katikati) Katibu wa Mkoa CHADEMA, Msafiri Wamalwa (kushoto), Katibu wa BAWATA Bi. Malunga Simba wakiwa wanatangaza uamuzi wao wa kujitoa CHADEMA mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani).
Na Mwandishi wetu
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema) Jafari Kasisiko , Katibu wa mkoa Msafiri Wamalwa na Katibu wa Baraza la wanawake, Bi. Malunga Simba wa chama hicho Mkoa wa Kigoma...
11 years ago
Habarileo19 Jul
Viongozi wote wa juu Chadema Kigoma wajiengua
WALIOKUWA viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa Kigoma wamejiuzulu nyadhifa zao zote ndani ya chama hicho kwa kile wanachoeleza kukiukwa kwa misingi ya Demokrasia ndani ya chama hicho ambayo ndiyo msingi wa kuanzishwa kwake.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/826oIv68XgjDaKrcJ-nBS1KfU4t9gO9ChEH*SkhzzpkqYxXlhEodq1qVlm0BkJxHHi9SJWAkIJR1JdAJDCgpWJQfOKbqG8*n/Chadema_logo.jpg)
CHADEMA JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI: TAMKO KUHUSU KUONDOKA KWA WALIOKUWA VIONGOZI
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
CHADEMA yawatega viongozi wake Kahama
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Kahama, kimewapa wiki mbili za kujieleza viongozi wake ni kwa nini wasifukuzwe uanachama kutokana na utovu wa nidhamu. Miongoni mwa viongozi hao watatu...
9 years ago
Raia Mwema07 Nov
Chadema ijipime kwanza, viongozi wake wawajibike
UCHAGUZI umekwisha; washindi wamejulikana kwenye ubunge na kwenye urais mshindi tayari ametanga
Lula wa Ndali Mwananzela
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-T6WZoRa36c8/XlUbQbkeVQI/AAAAAAACzZ0/dKEflFk03q4120sCaCazGsTW81Q9T1rKgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
CHAMA CHA CHADEMA CHAZIDI KUKIMBIWA NA VIONGOZI WAKE
![](https://1.bp.blogspot.com/-T6WZoRa36c8/XlUbQbkeVQI/AAAAAAACzZ0/dKEflFk03q4120sCaCazGsTW81Q9T1rKgCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Diwani kutoka Kata ya Hunyari iliyopo Halmashauri ya Bunda mkoani Mara Makina Josephat ametangaza kuhama Chadema na kuhamia CCM.
Makina ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Bunda na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hiko kikuu cha upinzani ametangaza uamuzi huo leo jijini Dodoma na kupokelewa na MNEC wa CCM, Ismail Jamaa.
Akizungumza baada ya kumpokea Diwani huyo, MNEC Jamaa amesema wamempokea kiongozi huyo kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa na kwamba taratibu zingine za kumpokea...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Kh4IBf9Ak0c/VJfrt9saoEI/AAAAAAAG4_c/MNfVQWj5YQo/s72-c/unnamed%2B(22).jpg)
MKUU WA WILAYA YA KIGOMA AKANUSHA VIONGOZI WA HALMASHAURI YA KIGOMA KULA PESA YA TASAF