MKUU WA WILAYA YA KIGOMA AKANUSHA VIONGOZI WA HALMASHAURI YA KIGOMA KULA PESA YA TASAF
![](http://4.bp.blogspot.com/-Kh4IBf9Ak0c/VJfrt9saoEI/AAAAAAAG4_c/MNfVQWj5YQo/s72-c/unnamed%2B(22).jpg)
Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma MKUU Wa Wilaya ya Kigoma Mhe Ramadhani Maneno amewataka wananchi wa Wilaya ya Kigoma kuacha kuwashutumu viongozi wa wilaya na Halmashauri kuwa wamekula pesa za TASAF shilingi milioni 183,539 zilizotolewa na serekali kwaajili ya kusaidia kaya maskini Wilayani humo. Mhe Maneno amewaambia wanahabari ofisini kwake leo kuwa pesa iliyotolewa na TASAF kwa ajili ya kusaidia kaya maskini na zinazoishi katika mazingira magumu katika Wilaya ya Kigoma ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CC_BdQbdJGo/Xsfz5VbtRBI/AAAAAAALrTs/6CPow7YcVrcdb36Gqf4RE9Mo7B8U4M9wACLcBGAsYHQ/s72-c/3bf7b521-95c5-44a8-b6a6-884ef19f17cd.jpg)
WAZIRI MKUU KUFANYA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI KIGOMA KIGOMA
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kufanya ziara ya siku moja
mkoani Kigoma leo kwa ajili ya kugawa miche ya michikichi kwa makundi
mbalimbali ya wakulima ikiwa ishara ya kuanza rasmi utekelezaji wa
mkakati wa serikali kuelekea kujitegemea kwa mafuta ya kula
yatakayokuwa yakizalishwa kupitia zao la michikichi.
Mkuu wa mkoa Kigoma,Emanuel Maganga akizungumza na waandishi wa habari mjini Kigoma leo alisema kuwa mpango wa ugawaji wa miche hiyo
utafanyika katika...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-iY_bo53Ifzg/VoO31l64NVI/AAAAAAAIPV0/vWkzURf3iWw/s72-c/20151230023015.jpg)
WAZIRI MKUU, MAJALIWA ATAKA MAELEZO JUU YA UBADHILIFU WA MALI ZA UMMA HALMASHAURI YA KIGOMA UJIJI
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amemtaka Mkurugenzi wa manispaa ya Kigoma Ujiji, Mhandisi na Mhasibu kupeleka taarifa ya maandishi kwa katibu tawala wa mkoa juu ubadhirifu waliofanya wa mali za umma.
Hayo ameyasema leo wakati akiongea na watumishi wa Wilaya zote kwenye kikao cha majumuisho ya ziara yake kilichofanyika katika ukumbi wa NSSF .
Alisema kuwa katika halmashauri ya Kigoma Ujijikuna ubadhirifu wa malu za umma umefanyika wa kuuza soki la...
9 years ago
Dewji Blog31 Dec
Waziri Mkuu awaweka matatani viongozi wa mkoa wa Kigoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi na watumishi wa mkoa wa Kigoma kwenye ukumbi wa NSSF katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya siku mbili mkoani humo Desemba 30, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Na Emmanuel Senny, Kigoma
Ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, mkoani Kigoma imewaacha matatani baadhi ya viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, baada ya kubaini uuzwaji wa majengo ya halmashauri kinyume na...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-aCADodFsFNc/VnpIitPrpyI/AAAAAAADEGY/hL1A0MWK4Ak/s72-c/1.jpg)
MKUU WA WILAYA YA UVINZA ASHIRIKIANA NA WANANCHI KUJENGA ZAHANATI YA KISASA KIJIJI CHA MAZUNGWE MKOANI KIGOMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-aCADodFsFNc/VnpIitPrpyI/AAAAAAADEGY/hL1A0MWK4Ak/s640/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-0Plu8Z8QFAY/VnpIizIBY5I/AAAAAAADEGg/b63fPS7KUQQ/s640/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-27OGa9R2Z74/VnpIiiJzgbI/AAAAAAADEGc/du-amjLJkxU/s640/C.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-kfEga51sJjA/VnpIjd_HcLI/AAAAAAADEGk/NkxfvJZKFpQ/s640/E.jpg)
11 years ago
Dewji Blog01 Jun
Mwili wa Mama yake Mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe wasafirishwa kwenda Kigoma
Zitto Kabwe akiwa na Prof Ibrahimu Lipumba wakati wa kuuaga Mwili wa mama yake kipenzi Bi Shida Salumu aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishi.
Ndege ikiandaliwa ili kuweza kuingiza mwili wa Marehemu Mama yake Zitto Kabwe.
Waheshimiwa Wabunge na Baadhi ya Viongozi wakibeba Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Mama yake Zitto Kabwe Bi Shida Salum kuingiza kwenye ndege Tayari kwa safari ya kwenda Kigoma Kwenye mazishi.
Prof. Ibrahimu Lipumba akijadili jambo na...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qdocSH7_ji8/VRtOafZ8phI/AAAAAAAHOpg/VfH2a0dmY-g/s72-c/unnamed%2B(64).jpg)
CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI KIGOMA WAZINDUA GAZETI LAO LA KIGOMA YETU
9 years ago
StarTV07 Jan
Watumishi 9 Halmashauri ya Kigoma Ujiji wasimamishwa kazi
Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kigoma imewasimimisha kazi watumishi tisa wa halmashauri ya manispaa ya Kigoma Ujiji ili kupitisha uchunguzi zaidi juu ya tuhuma za ubadhilifu wa fedha unaohusisha uuzwaji wa jengo la KIGODECO na viwanja 12 vya manispaa hiyo na kuisababishia manispaa hiyo kupata hasara ya mamilioni ya fedha.
Kusimamishwa kwa watumishi hao kunakuja ikiwa ni takribabi wiki moja tangu waziri mkuu Kasimu Majaliwa alipokuwa mkoani kigoma kumueleza katibu tawala wa mkoa huo ...
10 years ago
Mwananchi04 Sep
Polisi Kigoma waua majambazi watano Kigoma
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-I8Bc0gClIQg/U0YX2wl6P8I/AAAAAAACegw/cRINE4JWqok/s72-c/New+Picture+(2).png)
TASAF YAANZA HATUA ZA KUTAMBUA KAYA MASIKINJI KATIKA MIKOA YA DODOMA,SINGIDA,KIGOMA,RUKWA NA KATAVI.
![](http://2.bp.blogspot.com/-I8Bc0gClIQg/U0YX2wl6P8I/AAAAAAACegw/cRINE4JWqok/s1600/New+Picture+(2).png)
![](http://2.bp.blogspot.com/-6-n0mrLqDGY/U0YX2VjOF0I/AAAAAAACegs/86bJYJNhxOA/s1600/New+Picture+(2).png1.png)
![](http://2.bp.blogspot.com/-xWBOY1sFlTg/U0YW68PEGDI/AAAAAAACegk/k387-Zd_uzw/s1600/New+Picture+(3).png)