Watumishi 9 Halmashauri ya Kigoma Ujiji wasimamishwa kazi
Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kigoma imewasimimisha kazi watumishi tisa wa halmashauri ya manispaa ya Kigoma Ujiji ili kupitisha uchunguzi zaidi juu ya tuhuma za ubadhilifu wa fedha unaohusisha uuzwaji wa jengo la KIGODECO na viwanja 12 vya manispaa hiyo na kuisababishia manispaa hiyo kupata hasara ya mamilioni ya fedha.
Kusimamishwa kwa watumishi hao kunakuja ikiwa ni takribabi wiki moja tangu waziri mkuu Kasimu Majaliwa alipokuwa mkoani kigoma kumueleza katibu tawala wa mkoa huo ...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog07 Jan
Watumishi 9 wa Manispaa ya Kigoma Ujiji wasimamishwa kazi
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, John Ndungulu akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kusimamishwa kazi kwa watumishi 9 wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji. (Picha na Emmanuel Senny).
Na Emmanuel Senny, Kigoma
Watumishi tisa wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji wamesimamishwa kazi mara baada ya kubainika kuingia mikataba mibovu isiyokuwa na tija na kuisababishia manispaa hasara ya kupoteza mapato sambamba na kulipa fidia ambazo ni batili pamoja na kuuza mali za halmashauri kinyume cha sheria.
Maamuzi...
9 years ago
MichuziWATUMISHI WANNE HALMASHAURI YA WILAYA YA HAI WASIMAMISHWA KAZI NI BAADA YA KUBAINIKA KUKWAPUA ZAIDI YA MILIONI 70
HALMASHAURI ya wilaya ya Hai,mkoani Kilimanjaro, imewasimamisha kazi watumishi wake wanne kwa tuhuma za kughushi hati za mishahara na kughushi nyaraka zilizofanikisha kuchukua jumla ya kiasi cha sh Mil 73.4 zikiwemo fedha za malipo ya muda wa kazi wa ziada kwa madaktari na wauguzi wa Hospitali teule ya Machame.
Tuhuma hizo pia zina mtaja Mweka hazina wa Hosptali hiyo anayedaiwa kushirikiana na watumishi wa halmashauri hiyo kufanya ubadhirifu...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU, MAJALIWA ATAKA MAELEZO JUU YA UBADHILIFU WA MALI ZA UMMA HALMASHAURI YA KIGOMA UJIJI
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amemtaka Mkurugenzi wa manispaa ya Kigoma Ujiji, Mhandisi na Mhasibu kupeleka taarifa ya maandishi kwa katibu tawala wa mkoa juu ubadhirifu waliofanya wa mali za umma.
Hayo ameyasema leo wakati akiongea na watumishi wa Wilaya zote kwenye kikao cha majumuisho ya ziara yake kilichofanyika katika ukumbi wa NSSF .
Alisema kuwa katika halmashauri ya Kigoma Ujijikuna ubadhirifu wa malu za umma umefanyika wa kuuza soki la...
9 years ago
Mtanzania31 Dec
Watumishi wasimamishwa kazi Dodoma
Ramadhan Hassan, Dodoma
SERIKALI imewasimamisha kazi maofisa biashara wawili wa Mkoa wa Dodoma kutokana na kuchelewesha utoaji wa leseni za biashara.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka ofisi ya Rais (TAMISEMI), Rebbeca Kwandu, aliwataja waliosimamishwa kazi kuwa ni Elias Kamara na Donatila Vedasto.
“Agizo hili limetolewa na Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene baada ya...
9 years ago
MichuziNEWS ALERT: WATUMISHI WENGINE WATATU WASIMAMISHWA KAZI TRA
Uamuzi huo umetolewa leo (Jumamosi, Novemba 28, 2015), na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa ili kupisha uchunguzi zaidi wa tuhuma zinazowakabili. Kama ilivyo kwa wenzao sita waliosimamishwa kazi jana (akiwemo aliyekuwa Kamishna Mkuu), nao pia hawaruhusiwi kusafiri kwenda nje...
10 years ago
Habarileo26 May
Kigoma/Ujiji walala vituoni kujiandikisha
WAKATI uandikishaji wa wapigakura katika daftari la kudumu la mpigakura ukiwa umeanza kwenye kata sita za manispaa ya Kigoma/Ujiji, wananchi wamekuwa wakilala kwenye vituo vya uandikishaji ili kuhakikisha hawakosi kuandikishwa.
9 years ago
Habarileo18 Dec
ACT Wazalendo yatoa Meya Kigoma Ujiji
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji limemchagua Diwani wa Kata ya Bangwe, Hussien Ruhavi kuwa Meya wa manispaa hiyo. Sambamba na hilo, Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe (ACT Wazalendo) akiahidi kumshughulikia diwani yeyote atakayekwamisha mipango yao ya kuleta maendeleo katika manispaa hiyo.
5 years ago
Zitto Kabwe, MB13 Feb
9 years ago
Dewji Blog26 Oct
ACT Wazalendo wang’ara jimbo la Kigoma/Ujiji
Hii ni kwa mujibu wa Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa Facebook ambapo anajivunia Kigoma/Ujiji kuwa Manispaa ya kwanza kuwa chini ya chama cha ACT Wazalendo.
Na haya ndio matokeo yenye kama alivyoorodhesha kwenye ukurasa wake wa Facebook.
Bangwe: ACT:1939, CCM:1243, CDM: 830
BUHANDA: ACT:1163, CCM: 581, CDM: 1147
BUSINDE: ACT: 376, CCM: 447, CDM: 139
BUZEBAZEBA: ACT: 2758, CCM: 1515, CDM: 1003
GUNGU: ACT: 3528, CCM: 1551, CDM: 1561
KAGERA: ACT: 939,...