Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kigoma/Ujiji walala vituoni kujiandikisha

WAKATI uandikishaji wa wapigakura katika daftari la kudumu la mpigakura ukiwa umeanza kwenye kata sita za manispaa ya Kigoma/Ujiji, wananchi wamekuwa wakilala kwenye vituo vya uandikishaji ili kuhakikisha hawakosi kuandikishwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Watumishi 9 wa Manispaa ya Kigoma Ujiji wasimamishwa kazi

Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma John Ndungulu akizungumza na waandishi wa habari hii leo kuhusu kusimamishwa kazi kwa watumishi 9 wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji. (Picha na Emmanuel Senny) (2)

Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, John Ndungulu akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kusimamishwa kazi kwa watumishi 9 wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji. (Picha na Emmanuel Senny).

Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma John Ndungulu mwenye suti nyeusi, akizungumza na waandishi wa habari hii leo kuhusu kusimamishwa kazi kwa watumishi waManispaa ya Kigoma-Ujiji. (Picha na Emmanuel Senny) (2)

Na Emmanuel Senny, Kigoma

Watumishi tisa wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji wamesimamishwa kazi mara baada ya kubainika kuingia mikataba mibovu isiyokuwa na tija na kuisababishia manispaa hasara ya kupoteza mapato sambamba na kulipa fidia ambazo ni batili pamoja na kuuza mali za halmashauri kinyume cha sheria.

Maamuzi...

 

9 years ago

Habarileo

ACT Wazalendo yatoa Meya Kigoma Ujiji

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji limemchagua Diwani wa Kata ya Bangwe, Hussien Ruhavi kuwa Meya wa manispaa hiyo. Sambamba na hilo, Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe (ACT Wazalendo) akiahidi kumshughulikia diwani yeyote atakayekwamisha mipango yao ya kuleta maendeleo katika manispaa hiyo.

 

9 years ago

StarTV

Watumishi 9 Halmashauri ya Kigoma Ujiji wasimamishwa kazi

Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kigoma   imewasimimisha kazi watumishi tisa wa halmashauri ya manispaa ya Kigoma Ujiji ili  kupitisha uchunguzi zaidi juu ya tuhuma  za ubadhilifu wa fedha   unaohusisha  uuzwaji   wa jengo la KIGODECO   na viwanja 12 vya manispaa hiyo  na  kuisababishia manispaa hiyo kupata hasara ya mamilioni ya fedha.

Kusimamishwa kwa watumishi hao kunakuja ikiwa ni takribabi wiki moja tangu waziri mkuu Kasimu Majaliwa alipokuwa  mkoani kigoma kumueleza katibu tawala wa mkoa huo ...

 

5 years ago

Zitto Kabwe, MB

9 years ago

Michuzi

KIGOMA UJIJI YAPATA MEYA TOKA ACT Wazalendo.

Madiwani wa Manispaa ya Kigoma ujiji wakiwa katika picha ya pamoja .Mwenyekiti wa uchaguzi wa Meya na Naibu meya mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe akitoa maelezo ya awali kabla ya uchaguzi.  Meya wa Manispaa ya kigoma Ujiji Hussein Ruhavi akimweleza jambo makamu meya  Athuman Mussa wa manispaa hiyo kushoto ni mbunge wa Kigoma mjini ndiye alikuwa mwenyeti wa uchaguzi Mmoja wa Madiwani akipiga kura ya kumchagua meya wa manispaa ya Kigoma Ujiji
Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii,Kigoma

BARAZA ...

 

9 years ago

Dewji Blog

ACT Wazalendo wang’ara jimbo la Kigoma/Ujiji

act wazalendo kigoma

Hii ni kwa mujibu wa Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa Facebook ambapo anajivunia Kigoma/Ujiji kuwa Manispaa ya kwanza kuwa chini ya chama cha ACT Wazalendo.

Na haya ndio matokeo yenye kama alivyoorodhesha kwenye ukurasa wake wa Facebook.

Bangwe: ACT:1939, CCM:1243, CDM: 830

BUHANDA: ACT:1163, CCM: 581, CDM: 1147

BUSINDE: ACT: 376, CCM: 447, CDM: 139

BUZEBAZEBA: ACT: 2758, CCM: 1515, CDM: 1003

GUNGU: ACT: 3528, CCM: 1551, CDM: 1561

KAGERA: ACT: 939,...

 

11 years ago

Michuzi

Madiwani wa KIGOMA-UJIJI watembelea PSPF, Jumatatu Juni 30, 2014

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akizungumza na madiwani wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji kwenye makao makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam jana. Kulia kwa Mkurugenzi Mkuu, ni Meya wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji, Bakari Beji. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akizungumza na madiwani wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji kwenye makao makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam jana. Kulia kwa Mkurugenzi Mkuu, ni Meya wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji, Bakari Beji na...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU, MAJALIWA ATAKA MAELEZO JUU YA UBADHILIFU WA MALI ZA UMMA HALMASHAURI YA KIGOMA UJIJI

Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma.
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amemtaka Mkurugenzi wa manispaa ya Kigoma Ujiji, Mhandisi na Mhasibu kupeleka taarifa ya maandishi kwa katibu tawala wa mkoa juu ubadhirifu waliofanya wa mali za umma.
Hayo ameyasema leo wakati akiongea na watumishi wa Wilaya zote kwenye kikao cha majumuisho ya ziara yake kilichofanyika katika ukumbi wa NSSF .
Alisema kuwa katika halmashauri ya Kigoma Ujijikuna ubadhirifu wa malu za umma umefanyika wa kuuza soki la...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana Manispaa ya Kigoma Ujiji wahamasishwa kuchangamkia fursa za mfuko wa Maendeleo ya Vijana

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Maendleo ya Jamii Bw. Xavier Keebwe akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa vijana kuhusu Sera ya maendeleo ya Vijana, Stadi za Maisha,Ujuzi, Mwongozo wa Mfuko wa Maendeleo ya Vijana yaliyotolewa na wawezeshaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambapo jumla ya zaidi ya Vijana 60 kutoka katika halmashauri za Manispaa ya Kigoma Ujiji, Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza na Kigoma Vijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani