Watumishi wasimamishwa kazi Dodoma
Ramadhan Hassan, Dodoma
SERIKALI imewasimamisha kazi maofisa biashara wawili wa Mkoa wa Dodoma kutokana na kuchelewesha utoaji wa leseni za biashara.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka ofisi ya Rais (TAMISEMI), Rebbeca Kwandu, aliwataja waliosimamishwa kazi kuwa ni Elias Kamara na Donatila Vedasto.
“Agizo hili limetolewa na Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene baada ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV07 Jan
Watumishi 9 Halmashauri ya Kigoma Ujiji wasimamishwa kazi
Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kigoma imewasimimisha kazi watumishi tisa wa halmashauri ya manispaa ya Kigoma Ujiji ili kupitisha uchunguzi zaidi juu ya tuhuma za ubadhilifu wa fedha unaohusisha uuzwaji wa jengo la KIGODECO na viwanja 12 vya manispaa hiyo na kuisababishia manispaa hiyo kupata hasara ya mamilioni ya fedha.
Kusimamishwa kwa watumishi hao kunakuja ikiwa ni takribabi wiki moja tangu waziri mkuu Kasimu Majaliwa alipokuwa mkoani kigoma kumueleza katibu tawala wa mkoa huo ...
9 years ago
Dewji Blog07 Jan
Watumishi 9 wa Manispaa ya Kigoma Ujiji wasimamishwa kazi
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, John Ndungulu akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kusimamishwa kazi kwa watumishi 9 wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji. (Picha na Emmanuel Senny).
Na Emmanuel Senny, Kigoma
Watumishi tisa wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji wamesimamishwa kazi mara baada ya kubainika kuingia mikataba mibovu isiyokuwa na tija na kuisababishia manispaa hasara ya kupoteza mapato sambamba na kulipa fidia ambazo ni batili pamoja na kuuza mali za halmashauri kinyume cha sheria.
Maamuzi...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Hr0EPiTBm9k/VlmJ9mCTGBI/AAAAAAAIIvM/N95av0kMIbE/s72-c/kassim.jpg)
NEWS ALERT: WATUMISHI WENGINE WATATU WASIMAMISHWA KAZI TRA
![](http://1.bp.blogspot.com/-Hr0EPiTBm9k/VlmJ9mCTGBI/AAAAAAAIIvM/N95av0kMIbE/s400/kassim.jpg)
Uamuzi huo umetolewa leo (Jumamosi, Novemba 28, 2015), na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa ili kupisha uchunguzi zaidi wa tuhuma zinazowakabili. Kama ilivyo kwa wenzao sita waliosimamishwa kazi jana (akiwemo aliyekuwa Kamishna Mkuu), nao pia hawaruhusiwi kusafiri kwenda nje...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-78vlpjPNxU4/VkVzDLN4hkI/AAAAAAAAWbM/g8T3cvA-Uog/s72-c/IMG_8406%2B%25281024x683%2529.jpg)
WATUMISHI WANNE HALMASHAURI YA WILAYA YA HAI WASIMAMISHWA KAZI NI BAADA YA KUBAINIKA KUKWAPUA ZAIDI YA MILIONI 70
HALMASHAURI ya wilaya ya Hai,mkoani Kilimanjaro, imewasimamisha kazi watumishi wake wanne kwa tuhuma za kughushi hati za mishahara na kughushi nyaraka zilizofanikisha kuchukua jumla ya kiasi cha sh Mil 73.4 zikiwemo fedha za malipo ya muda wa kazi wa ziada kwa madaktari na wauguzi wa Hospitali teule ya Machame.
Tuhuma hizo pia zina mtaja Mweka hazina wa Hosptali hiyo anayedaiwa kushirikiana na watumishi wa halmashauri hiyo kufanya ubadhirifu...
9 years ago
Habarileo06 Dec
Watumishi 2 Manispaa wasimamishwa
OFISI ya Waziri Mkuu , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeagiza watumishi wawili waandamizi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, kusimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi kuhusu utendaji wao wa kazi.
9 years ago
Mtanzania13 Nov
Watumishi wasimamishwa kwa ubadhirifu wa mamilioni
Na Upendo Mosha, Hai
SERIKALI imewasimamisha kazi watumishi wanne wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai kwa muda usiojulikana kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya Sh milioni 70.
Vilevile imemfukuza kazi mhasibu mmoja wa Hospitali Teule ya Machame kwa tuhuma hizo hizo.
Mkuu wa Wilaya ya Hai, Antony Mtaka, alisema jana kuwa watumishi hao wamesimamishwa kazi baada ya kuthibitika kufanya ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma.
Alisema wawili kati yao ni maofisa wa halmashauri hiyo ambao wanadaiwa...
10 years ago
BBCSwahili28 Mar
Mawaziri 4 wasimamishwa kazi Kenya
10 years ago
Habarileo02 Nov
Viongozi CCM Dodoma wasimamishwa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Dodoma Mjini kimewasimamisha uongozi viongozi wa CCM Kata ya Chang’ombe huku Diwani wa Kata hiyo Bakari Fundikira, akisubiri uamuzi ya vikao vya chama kwa hatua zaidi za kinidhamu.
9 years ago
BBCSwahili25 Dec
Wakuu 60 wa afya wasimamishwa kazi Malawi