Wakuu 60 wa afya wasimamishwa kazi Malawi
Waziri wa Afya Malawi Peter Kumpalume amewasimamisha kazi zaidi ya maafisa 60 baada ya mamilioni ya dola kutoka Marekani, za kukabiliana na Ukimwi kutoweka.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili23 Apr
Wakuu wa ufisadi wasimamishwa kazi Kenya
10 years ago
StarTV09 Jan
Wakuu wa idara saba Mkinga wasimamishwa kazi.
Na Mbonea Herman,
Tanga.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Said Magalula amewasimamisha kazi wakuu wa idara saba wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga kwa kosa la kuishi Tanga mjini badala ya kuishi maeneo yao ya kazi.
Waliosimamishwa kazi ni maafisa wa ardhi, kilimo, TEHAMA, manunuzi na uchaguzi pamoja na mkaguzi wa ndani.
dosagem para viagraSambamba na kuwasimamisha kazi wakuu hao wa idara, Magalula amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Amina Kiwanuka kuwachukulia hatua za kinidhamu...
10 years ago
GPLWAKUU WA SHIRIKA LA KUPAMBANA NA UFISADI NCHINI KENYA WASIMAMISHWA KAZI
5 years ago
BBCSwahili04 May
Virusi vya corona: Wakuu wa maabara Tanzania wasimamishwa kazi, kuchunguzwa
9 years ago
Mtanzania31 Dec
Watumishi wasimamishwa kazi Dodoma
Ramadhan Hassan, Dodoma
SERIKALI imewasimamisha kazi maofisa biashara wawili wa Mkoa wa Dodoma kutokana na kuchelewesha utoaji wa leseni za biashara.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka ofisi ya Rais (TAMISEMI), Rebbeca Kwandu, aliwataja waliosimamishwa kazi kuwa ni Elias Kamara na Donatila Vedasto.
“Agizo hili limetolewa na Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene baada ya...
10 years ago
BBCSwahili28 Mar
Mawaziri 4 wasimamishwa kazi Kenya
10 years ago
Habarileo03 Nov
Vigogo H/shauri Kilolo wasimamishwa kazi
HALMASHAURI ya wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa imewasimamisha kazi kwa muda usiojulikana, vigogo wake wanne ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazoelekezwa dhidi yao.
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Waalimu 100 Kenya wasimamishwa kazi
9 years ago
BBCSwahili08 Oct
Sepp Blatter na Platini wasimamishwa kazi