Wakuu wa idara saba Mkinga wasimamishwa kazi.
Na Mbonea Herman,
Tanga.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Said Magalula amewasimamisha kazi wakuu wa idara saba wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga kwa kosa la kuishi Tanga mjini badala ya kuishi maeneo yao ya kazi.
Waliosimamishwa kazi ni maafisa wa ardhi, kilimo, TEHAMA, manunuzi na uchaguzi pamoja na mkaguzi wa ndani.
dosagem para viagraSambamba na kuwasimamisha kazi wakuu hao wa idara, Magalula amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Amina Kiwanuka kuwachukulia hatua za kinidhamu...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili25 Dec
Wakuu 60 wa afya wasimamishwa kazi Malawi
10 years ago
BBCSwahili23 Apr
Wakuu wa ufisadi wasimamishwa kazi Kenya
10 years ago
GPL
WAKUU WA SHIRIKA LA KUPAMBANA NA UFISADI NCHINI KENYA WASIMAMISHWA KAZI
5 years ago
BBCSwahili04 May
Virusi vya corona: Wakuu wa maabara Tanzania wasimamishwa kazi, kuchunguzwa
10 years ago
Dewji Blog04 Oct
JK ateua wakuu wa wilaya wapya 13 na kuwahamisha vituo vya kazi wengine saba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wakuu wa wilaya wapya 13 na kuwahamisha vituo vya kazi wengine saba.
Wakuu wa wilaya 13 walioteuliwa ni Shaaban Athuman Ntanambe ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Chato, Mkoa wa Kagera; Thabisa Mwalapwa ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Hanang, Mkoa wa Manyara; Richard Kasesera ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Mkoa wa Iringa, Ruth Msafiri ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Mkoa wa Kigoma na...
9 years ago
Michuzi
WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AWAAGIZA WAKUU WA IDARA KUANDAA TAARIFA ZA IDARA ZAO.


11 years ago
Habarileo05 Sep
Wakuu wa idara Chemba ‘kupanguliwa’
RAIS Jakaya Kikwete, amesema analifanyia kazi suala la kuwa na wakuu wa idara wengi wanaume katika Wilaya Mpya ya Chemba.
11 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Wakuu wa Idara wasikimbie wananchi
WAKUU wa Idara katika Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, wametakiwa kuachana na utaratibu wa kutuma wawakilishi kwenye mikutano ya wananchi kwani kufanya hivyo ni kuibua hofu ya maendeleo...
10 years ago
Habarileo04 Sep
Wakuu idara za ujenzi watakiwa kusajiliwa
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ameziagiza Halmashauri zote nchini kuhakikisha kwamba wakuu wote wa Idara za Ujenzi wamesajiliwa kama wahandisi wataalamu ifikapo Juni 30, mwakani.