WAKUU WA SHIRIKA LA KUPAMBANA NA UFISADI NCHINI KENYA WASIMAMISHWA KAZI
![](http://api.ning.com:80/files/ZAWmPnMuullGSEgvqkBIWGieJBj2pnnh7nv2ZzpegAKRa*qxdMENAs6-J32p3BVFBeT8X5z6fmVsc-JpUEfRDwNvSJOO451r/keneyttra.jpg?width=650)
Rais wa serikali ya Kenya, Uhuru Kenyatta. Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amewasimamisha kazi wakuu wawili wa shirika linalopambana na ufisadi nchini humo, siku moja tu baada ya bunge kupitisha mswaada inaowalaumu kwa uzembe na utepetevu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa msemaji wa Ikulu ya Rais Manoah Esipisu, tume ya maadili na kupambana na ufisadi, itaendelea na kazi yake licha ya kusimamishwa kwa wakuu hao wawili. Wakuu hao...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili23 Apr
Wakuu wa ufisadi wasimamishwa kazi Kenya
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Ufisadi:Majaji 7 wasimamishwa kazi Ghana
9 years ago
BBCSwahili25 Dec
Wakuu 60 wa afya wasimamishwa kazi Malawi
10 years ago
StarTV09 Jan
Wakuu wa idara saba Mkinga wasimamishwa kazi.
Na Mbonea Herman,
Tanga.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Said Magalula amewasimamisha kazi wakuu wa idara saba wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga kwa kosa la kuishi Tanga mjini badala ya kuishi maeneo yao ya kazi.
Waliosimamishwa kazi ni maafisa wa ardhi, kilimo, TEHAMA, manunuzi na uchaguzi pamoja na mkaguzi wa ndani.
dosagem para viagraSambamba na kuwasimamisha kazi wakuu hao wa idara, Magalula amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Amina Kiwanuka kuwachukulia hatua za kinidhamu...
5 years ago
BBCSwahili04 May
Virusi vya corona: Wakuu wa maabara Tanzania wasimamishwa kazi, kuchunguzwa
10 years ago
BBCSwahili28 Mar
Mawaziri 4 wasimamishwa kazi Kenya
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Waalimu 100 Kenya wasimamishwa kazi
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Wahitimu wa Vyuo Vikuu nchini watakiwa kumsaidia Rais Dkt. Magufuli kupambana na ufisadi-Dr.Walukani
Proffessa, John Adamson Mwakilima akitunuku Shahada ya Udaktari na Uzamivu wa Falsafa katika Maswala ya Uongozi kutoka Chuo cha New Life Bible College and Seminary USA chenye tawi lake Kata ya Mlandizi mkoani hapa mhitimu Walukani Luhamba ambaye ni Ofisa Mfawidhi wa Sumatra Mkoa wa Tanga juzi.
Dr.Walukani Luhamba akipongezwa na Familia yake mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Udaktari na Uzamivu wa Falsafa katika maswala ya Uongozi kutoka Chuo cha New Life Bible College and Seminary USA...