Wahitimu wa Vyuo Vikuu nchini watakiwa kumsaidia Rais Dkt. Magufuli kupambana na ufisadi-Dr.Walukani
Proffessa, John Adamson Mwakilima akitunuku Shahada ya Udaktari na Uzamivu wa Falsafa katika Maswala ya Uongozi kutoka Chuo cha New Life Bible College and Seminary USA chenye tawi lake Kata ya Mlandizi mkoani hapa mhitimu Walukani Luhamba ambaye ni Ofisa Mfawidhi wa Sumatra Mkoa wa Tanga juzi.
Dr.Walukani Luhamba akipongezwa na Familia yake mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Udaktari na Uzamivu wa Falsafa katika maswala ya Uongozi kutoka Chuo cha New Life Bible College and Seminary USA...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
Vyuo Vikuu wampongeza Dkt. Magufuli
Mwenyekiti wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (CCM) Bi. Zainabu Abdallah (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) alipokuwa akitoa pongezi kwa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli kwa niaba ya Shirikisho hilo jana jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Habari (MAELEZO). Kushoto ni Katibu Msaidizi wa Shirikisho hilo Bw. Daniel Zenda na kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Frank Mvungi.(Picha na...
11 years ago
Habarileo17 Dec
'Wahitimu vyuo vikuu wajiamini'
VIJANA wahitimu wa vyuo vikuu wameshauriwa kuingia katika soko la ajira wakijiamini na kujipambanua kiuwezo, kutokana na elimu waliyopata wakiwa chuoni. Makamu Mkuu Chuo Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Mbeya, Profesa Joseph Kuzilwa, alisema hayo mwishoni mwa wiki katika mahafali ya 12 ya chuo hicho.
11 years ago
Habarileo31 Jul
‘Wahitimu vyuo vikuu hawaajiriki’
UBORA hafifu wa wahitimu wa vyuo vikuu kiasi cha kusababisha wengine kutoajirika, vimeigusa serikali na sasa inatarajia kuja na mpango wa kukabili hali hiyo.
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
‘Wahitimu Vyuo Vikuu msisubiri kuajiriwa’
WAHITIMU wa Vyuo Vikuu nchini wametakiwa kutumia elimu waliyoipata katika kujiajiri na kubuni miradi mbalimbali ya maendelo badala ya kusubiri kuajiriwa na serikali au makampuni binafsi. Rai hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki...
11 years ago
Habarileo20 Mar
‘Wahitimu vyuo vikuu rejesheni mikopo’
KUKOSA ajira kwa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu, ambao walinufaika na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (Heslb), siyo sababu ya mhusika kutorejesha fedha zilizotumika kumsomesha; imeelezwa. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari, Elimu na Mawasiliano, Cosmas Mwaisobwa alisema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu shughuli za bodi hiyo.
10 years ago
Habarileo29 Dec
Wahitimu vyuo vikuu wahimizwa kujiajiri
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma, Harun Ali Suleiman amewataka wahitimu wa vyuo vikuu kutumia taaluma zao kwa lengo la kujiajiri badala ya kusubiri ajira serikalini.
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AFUNGUA MKUTANO WA SITA WA VYUO VIKUU MJINI ARUSHA LEO
11 years ago
GPLJOKATE AWATAKA WAHITIMU WA VYUO VIKUU KUJIAJIRI
5 years ago
BBCSwahili21 May
Virusi vya Corona: Rais Magufuli atangaza vyuo vikuu kufunguliwa Juni 1