JOKATE AWATAKA WAHITIMU WA VYUO VIKUU KUJIAJIRI
![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yLQY2rsNfjGw-lxI8pZco-WKDUvFeiUV21QTkoKiTUwxYN3M8j6GafeUcuD2RIQZXEfRzH2YnLzXaOT2oreRjb4/unnamed19.jpg?width=650)
Mbunifu wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006, Jokate Mwegelo akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika kongamano la 2014 Market Forum lililofanyika kwenye ukumbi wa Nkrumah. Mrembo na mbunifu wa mitindo huyo aliwataka wanafunzi wajiajiri mara wamalizapo masomo yao kutokana na ugumu wa soko la ajira. Mbunifu wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006, Jokate Mwegelo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-EPzTrzstEIc/U3H0kZKjSUI/AAAAAAAFhVI/Znpc_iY9Y24/s72-c/unnamed+(19).jpg)
Jokate Mwegelo awataka wahitimu wa vyuo vikuu kujiajiri
![](http://2.bp.blogspot.com/-EPzTrzstEIc/U3H0kZKjSUI/AAAAAAAFhVI/Znpc_iY9Y24/s1600/unnamed+(19).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-q78h9MzM_2c/U3H0lTSMFTI/AAAAAAAFhVQ/Nf7bos1kZeM/s1600/unnamed+(20).jpg)
10 years ago
Habarileo29 Dec
Wahitimu vyuo vikuu wahimizwa kujiajiri
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma, Harun Ali Suleiman amewataka wahitimu wa vyuo vikuu kutumia taaluma zao kwa lengo la kujiajiri badala ya kusubiri ajira serikalini.
10 years ago
Habarileo15 Dec
Vyuo vikuu vyaaswa kupitia upya mitaala wahitimu kujiajiri
VYUO vikuu nchini vimeshauriwa kuangalia upya mitaala yao ili viwe na mfumo wa kutengeneza mazingira ya vijana kujiajiri mara baada ya kuhitimu masomo yao ili kukabiliana na changamoto ya uhaba wa ajira uliopo hivi sasa.
11 years ago
Habarileo17 Dec
'Wahitimu vyuo vikuu wajiamini'
VIJANA wahitimu wa vyuo vikuu wameshauriwa kuingia katika soko la ajira wakijiamini na kujipambanua kiuwezo, kutokana na elimu waliyopata wakiwa chuoni. Makamu Mkuu Chuo Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Mbeya, Profesa Joseph Kuzilwa, alisema hayo mwishoni mwa wiki katika mahafali ya 12 ya chuo hicho.
11 years ago
Habarileo31 Jul
‘Wahitimu vyuo vikuu hawaajiriki’
UBORA hafifu wa wahitimu wa vyuo vikuu kiasi cha kusababisha wengine kutoajirika, vimeigusa serikali na sasa inatarajia kuja na mpango wa kukabili hali hiyo.
11 years ago
Habarileo20 Mar
‘Wahitimu vyuo vikuu rejesheni mikopo’
KUKOSA ajira kwa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu, ambao walinufaika na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (Heslb), siyo sababu ya mhusika kutorejesha fedha zilizotumika kumsomesha; imeelezwa. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari, Elimu na Mawasiliano, Cosmas Mwaisobwa alisema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu shughuli za bodi hiyo.
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
‘Wahitimu Vyuo Vikuu msisubiri kuajiriwa’
WAHITIMU wa Vyuo Vikuu nchini wametakiwa kutumia elimu waliyoipata katika kujiajiri na kubuni miradi mbalimbali ya maendelo badala ya kusubiri kuajiriwa na serikali au makampuni binafsi. Rai hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki...
10 years ago
Dewji Blog22 Feb
Waziri Saada Mkuya awataka wahitimu mbalimbali nchini kujiajiri pasipo kuitegemea Serikali
Baadhi ya Wahitimu wa Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar wakiingia katika Viwanja vya Mahafali chuoni hapo.
Mgeni Rasmi katika Mahafali ya Sita ya Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Waziri wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Saada Mkuya akitoa hotuba kwa wahitimu hawapo pichani ambapo mewataka wajiajiri wenyewe badala ya kutegemea Serikali. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Baadhi ya Wahitimu wa Fani ya Upishi wakiwa wanamsikiliza Mgeni Rasmi Waziri wa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-uZP8MP1kxC4/VCq-hp1pdbI/AAAAAAAGmxM/C-nDltcEibE/s72-c/unnamed%2B(11).jpg)
Programu ya kujitolea kwa Vijana Wahitimu wa Vyuo Vikuu yamalizika leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-uZP8MP1kxC4/VCq-hp1pdbI/AAAAAAAGmxM/C-nDltcEibE/s1600/unnamed%2B(11).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-YmAS17XeGd4/VCq-iUeSoDI/AAAAAAAGmxU/Wt7Dxu2Jm_g/s1600/unnamed%2B(12).jpg)