Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Saada Mkuya awataka wahitimu mbalimbali nchini kujiajiri pasipo kuitegemea Serikali

01

Baadhi ya Wahitimu wa Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar wakiingia katika Viwanja vya Mahafali chuoni hapo.

02

Mgeni Rasmi katika Mahafali ya Sita ya Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Waziri wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Saada Mkuya akitoa hotuba kwa wahitimu hawapo pichani ambapo mewataka wajiajiri wenyewe badala ya kutegemea Serikali. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

03

Baadhi ya Wahitimu wa Fani ya Upishi wakiwa wanamsikiliza Mgeni Rasmi Waziri wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Saada Mkuya wakati alipokutana na taasisi mbalimbali za fedha za kimataifa Washington DC

DSC_5115

Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya wa katikati  akiwa pamoja na ujumbe  kutoka Tanzania walipokutana na Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly  walipokuwa wakijadiliana  na kuangalia ni jinsi gani Tanzania imeweza kutekeleza sera za  Shirika la fedha la Kimataifa mjini Washington DC.

DSC_5033

Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa CITI na Mkuu wa Afrika kwa kundi la sekta ya utumishiwa umma Bw. Peter M. Sullivan...

 

10 years ago

Dewji Blog

11 years ago

GPL

JOKATE AWATAKA WAHITIMU WA VYUO VIKUU KUJIAJIRI

Mbunifu wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006, Jokate Mwegelo akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika kongamano la 2014 Market Forum lililofanyika kwenye ukumbi wa Nkrumah. Mrembo na mbunifu wa mitindo huyo aliwataka wanafunzi wajiajiri mara wamalizapo masomo yao kutokana na ugumu wa soko la ajira.
Mbunifu wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006, Jokate Mwegelo...

 

11 years ago

Michuzi

Jokate Mwegelo awataka wahitimu wa vyuo vikuu kujiajiri

Mbunifu wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006,Jokate Mwegelo akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika kongamano la 2014 Market Forum lililofanyika kwenye ukumbi wa Nkrumah. Mrembo na mbunifu wa mitindo huyo aliwataka wanafunzi wajiajiri mara wamalizapo masomo yao kutokana na ugumu wa soko la ajira. Mbunifu wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006,Jokate Mwegelo akiwa katika picha ya pamoja na kamati ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar...

 

11 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDH MHESHIMIWA SAADA MKUYA SALUM (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2014/15

MHESHIMIWA SAADA MKUYA SALUM (MB), AKIWASILI BUNGENI MJINI DODOMA KUWASILISHA MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI  KWA MWAKA 2014/15 LEO. 

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri wa fedha , Bi Saada Mkuya azindua kampeni

Mgombea ubunge jimbo la Welezo, Waziri wa Fedha , Bi Saada mkuya akimwaga sera katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni jimboni. mkutana ulifanyika jana uwanja wa KimaraMeza kuu ikimsikiliza kwa makini mgombea Ubunge wa jimbo la Weleze Bi Saada Mkuya(hayupo pichani) akijinadi na kumwaga sera. Mkutano huu pia ulihudhuriwa na mgombea uwakilishi wa jimbo hilo la Welezo, Hassan Hafidh (wa pili kulia waliokaa)Wanachama na wapenzi wa CCM kutoka jimbo la Welezo waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA FEDHA SAADA SALUM MKUYA AKUTANA NA JOLY WA (IMF) NA LAROSE WA (WB)


Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly wa katikati mwenye Tai ya rangi ya chungwa akiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la fedha la Kimataifa na ujumbe kutoka Tanzania( hawapokwenyepicha)mjini Washington DC.

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile wakiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la fedha la Kimataifa mjini Washington DC

Waziri wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Saada Mkuya afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo na Mtaa wa Namanga

01

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (wa pili kulia) akiongoza na viongozi wa mkoa wa kodi wa Ilala kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) pamoja na maafisa wa Serikali alipofanya ziara ya kushtukiza leo jijini Dar es salaam katika soko la Kariakoo kujionea namna wafanyabiashara wanavyozingatia na kusimamia matumizi ya mashine za kielektroniki za EFD ambazo wanazopaswa kuzitumia mara wanapouza bidhaa zao ili kusaidia Serikali kukusanya mapato na kuboresha utoaji wa huduma za jamii nchini. Wa...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa fedha Mhe.Saada Mkuya Kujibu Hoja za Wabunge jioni ya Leo

   Naibu Waziri wa Fedha Mhe.Mwingulu Nchemba kulia akijadiliana na Maofisa wa Wizara ya Fedha,wakati wakitoka kwenye Ukumbi wa Msekwa walikokuwa na kikao cha kuandaa majibu ya Hoja za Wabunge kwa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2014-2015.Baada ya mjadala uliochukuwa takribani wiki nzima.Bajeti ya Serikali Ilisomwa na waziri wa Fedha Alhamisi iliyo[pita na Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya nakufuatiwa na uchangiwaji na mjadala kwa kuchangiwa na Wabunge mbalambali.   Waziri wa Fedha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani