Vigogo H/shauri Kilolo wasimamishwa kazi
HALMASHAURI ya wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa imewasimamisha kazi kwa muda usiojulikana, vigogo wake wanne ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazoelekezwa dhidi yao.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania09 Apr
Vigogo Rubada wasimamishwa
Waziri wa kilimo, chakula na ushirika Steven Wassira
Na Arodia Peter, Dar es Salaam
SERIKALI imewasimamisha kazi vigogo watatu wa Mamlaka ya Ustawishaji Bonde la Mto Rufiji (Rubada) kwa muda usiofahamika.
Vigogo hao wamesimamishwa kazi baada ya kutuhumiwa kwa ubadhilifu wa zaidi ya Sh bilioni 2.3.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, aliwataja vigogo hao ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Aloyce Masanja, Mkurugenzi wa Mipango...
9 years ago
Habarileo24 Dec
Vigogo wa Ocean Road, DART wasimamishwa
MAWAZIRI wawili jana ‘walitumbua majipu’ baada ya kutangaza kusimamishwa kazi kwa Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART), Asteria Mlambo na Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk Diwani Msemo, wote wakipisha uchunguzi dhidi yao.
9 years ago
Mtanzania31 Dec
Watumishi wasimamishwa kazi Dodoma
Ramadhan Hassan, Dodoma
SERIKALI imewasimamisha kazi maofisa biashara wawili wa Mkoa wa Dodoma kutokana na kuchelewesha utoaji wa leseni za biashara.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka ofisi ya Rais (TAMISEMI), Rebbeca Kwandu, aliwataja waliosimamishwa kazi kuwa ni Elias Kamara na Donatila Vedasto.
“Agizo hili limetolewa na Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene baada ya...
10 years ago
BBCSwahili28 Mar
Mawaziri 4 wasimamishwa kazi Kenya
10 years ago
BBCSwahili23 Apr
Wakuu wa ufisadi wasimamishwa kazi Kenya
9 years ago
BBCSwahili25 Dec
Wakuu 60 wa afya wasimamishwa kazi Malawi
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Waalimu 100 Kenya wasimamishwa kazi
9 years ago
BBCSwahili08 Oct
Sepp Blatter na Platini wasimamishwa kazi
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Ufisadi:Majaji 7 wasimamishwa kazi Ghana