Sepp Blatter na Platini wasimamishwa kazi
Shirikisho la soka duniani Fifa limemsimamisha kazi kwa mda rais wake Sepp Blatter ,katibu wake Jerome Valcke na makamu wa rais Michel Platini kwa siku tisini.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo521 Dec
Sepp Blatter na Michel Platini wafungiwa miaka nane na FIFA
![article-3368574-2F8B77F800000578-706_964x373](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/article-3368574-2F8B77F800000578-706_964x373-300x194.jpg)
Kamati ya maadili ya shirikisho la soka duniani FIFA, imewafungia Sepp Blatter na Michel Platini kutojihusisha na masuala ya soka kwa muda wa miaka 8 kufuatia kukutwa na kosa la ubadhilifu wa fedha na kupigwa faini.
Maamuzi hayo yalitangazwa siku ya Jumatatu mjini Zurich, yamedhihirisha mwisho halisi wa uongozi wa soka kwa Blatter na Platini wote wakiwa hawana uwezo kugombea urais wa FIFA Februari 26.
Chombo cha upelelezi kilipendekeza kuwafungia maisha baada ya kuwepo na taarifa zisizo...
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Hii ndio adhabu ya FIFA kwa Sepp Blatter na Michel Platini baada ya uchunguzi kufanyika …
Baada ya uchnguzi wa kina kufanyika na wachunguzi wa shirikisho la soka ulimwenduni FIFA wameamua kutoa adhabu ya kuwafungia miaka nane kutojihusisha na masuala ya soka aliyekuwa Rais wa soka ulimwenguni FIFA Sepp Blatter na Rais wa shirikisho la soka barani Ulaya Michel Platini. Blatter na Platini wamekumbana na adhabu hiyo baada ya kukutwa na […]
The post Hii ndio adhabu ya FIFA kwa Sepp Blatter na Michel Platini baada ya uchunguzi kufanyika … appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo508 Oct
Kamati ya maadili ya FIFA yataka Blatter na Platini wasimamishwe kazi kwa siku 90
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Blatter na Platini wafungiwa miaka 8 kutojihusisha na soka, Blatter achukua uamuzi huu
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Rais wa Shirikisho la Dunia la Soka (FIFA), Sepp Blatter (kushoto) na Rais wa UEFA, Michel Platini wamefungiwa miaka 8 kutojihusiaha na soka na kamati ya maadili ya FIFA kwa kosa la kutumia mamlaka yao vibaya kwa kosa la matumizi mabaya ya fedha za FIFA.
Blatter na Platini wanadaiwa kuwa mwaka 2011, kugawiana pesa kiasi cha Euro Milioni 1.35 ambapo Blatter alimlipa Platini kama malipo kwa kazi ya kuwa mshauri wa Blatter mwaka 1999-2002.
Licha ya kuwafungia miaka...
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
Sepp Blatter akwezwa
9 years ago
TheCitizen05 Oct
Sepp Blatter’s survival in doubt
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Sepp Blatter akataa mjadala na wapinzani
9 years ago
BBCSwahili25 Sep
Rais wa Fifa Sepp Blatter achunguzwa
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/83315000/jpg/_83315036_83313683.jpg)
VIDEO: How Sepp Blatter charmed Africa