CHADEMA JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI: TAMKO KUHUSU KUONDOKA KWA WALIOKUWA VIONGOZI
![](http://api.ning.com:80/files/826oIv68XgjDaKrcJ-nBS1KfU4t9gO9ChEH*SkhzzpkqYxXlhEodq1qVlm0BkJxHHi9SJWAkIJR1JdAJDCgpWJQfOKbqG8*n/Chadema_logo.jpg)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Kigoma Kaskazini tunapenda kutoa taarifa kwa umma kutokana na sintofahamu inayotaka kulazimishwa mbele ya jamii kuhusu uimara wa chama chetu mkoani Kigoma.Tangu jana na leo kumeenea taarifa zinazowahusu watu watatu, Jaffari Kasisiko, Msafiri Wamarwa na Mama Malunga Masoud, ambao vyombo mbalimbali vya habari vimeandika kuwa wamehama chama chetu cha CHADEMA na kukimbilia...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://img.youtube.com/vi/996MvSctRq0/default.jpg)
10 years ago
Habarileo16 Mar
Zitto alitema rasmi jimbo lake la Kigoma Kaskazini
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe jana amewaaga rasmi wananchi wa jimbo hilo huku akiwataka wananchi hao kutosononeka kwa uamuzi wake wa kutoendelea kugombea ubunge wa jimbo hilo, bali wamwombee na kumuunga mkono katika kila uamuzi atakaouchukua.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cFSv-yJm2DQhpnwyvuIRlxMCgvelqcSPjmL4wXBAxpwQUb3B5*CWvJXlxEUDlLohfpWTDJMkAipCMLXJzTGe7W5XbrZqVYCn/marando.jpg)
TAMKO LA CHADEMA KUHUSU KUAHIRISHWA KWA MUDA WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
11 years ago
Dewji Blog10 Aug
Chadema yapata viongozi wapya Kigoma
Mkurugenzi wa Mafunzo na Uchaguzi wa CHADEMA, Benson Kigaila akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). (Picha na Maktaba).
Na Mwandishi wetu
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mkoani Kigoma, kimepata uongozi mpya wa chama hicho kufuatia uongozi uliokuwepo awali kujiuzulu na kuhamia chama cha Allience For Change and Transparency (ACT – Tanzania).
Mkurugenzi wa Mafunzo na Uchaguzi wa CHADEMA, Benson Kigaila, ambaye alikuwa msimamizi wa zoezi la kupatikana kwa viongozi hao...
11 years ago
Habarileo11 Aug
Chadema Kigoma yataja viongozi wake
Fadhili Abdallah, Kigoma CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza majina ya viongozi wa chama hicho Mkoa wa Kigoma watakaokiongoza kwa muda kujaza nafasi zilizoachwa na waliokuwa viongozi waandamizi ambao wamejiunga na Chama cha ACT.
11 years ago
Dewji Blog18 Jul
Viongozi CHADEMA Kigoma wajiunga na ACT
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jafari Kasisiko (katikati) Katibu wa Mkoa CHADEMA, Msafiri Wamalwa (kushoto), Katibu wa BAWATA Bi. Malunga Simba wakiwa wanatangaza uamuzi wao wa kujitoa CHADEMA mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani).
Na Mwandishi wetu
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema) Jafari Kasisiko , Katibu wa mkoa Msafiri Wamalwa na Katibu wa Baraza la wanawake, Bi. Malunga Simba wa chama hicho Mkoa wa Kigoma...
11 years ago
Tanzania Daima11 Aug
CHADEMA Kigoma yapata viongozi wapya
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Kigoma kimepata viongozi wapya ngazi ya Mkoa na Wilaya katika uchaguzi uliyofanyika jana. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Mkurugenzi Mkuu wa Oganaizesheni...
11 years ago
Habarileo19 Jul
Viongozi wote wa juu Chadema Kigoma wajiengua
WALIOKUWA viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa Kigoma wamejiuzulu nyadhifa zao zote ndani ya chama hicho kwa kile wanachoeleza kukiukwa kwa misingi ya Demokrasia ndani ya chama hicho ambayo ndiyo msingi wa kuanzishwa kwake.
11 years ago
Dewji Blog20 May
Tamko la Wajumbe wa Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chadema kuhusu Ukawa
Taarifa Kwa Umma – Mashariki by moblog