TAMKO LA CHADEMA KUHUSU KUAHIRISHWA KWA MUDA WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Mabere Marando akiongea na wanahabari. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAMKO KUHUSU KUAHIRISHWA KWA MUDA WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA “BIOMETRIC VOTERS REGISTRATION†(BVR) KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA MKOA WA PWANI Kufuatia Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuutangazia umma kuwa zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
TAARIFA KWA UMMA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KURA YA MAONI
.jpg)
10 years ago
Dewji Blog27 Jun
10 years ago
Vijimambo
5 years ago
CHADEMA Blog13 Feb
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA (DKWK)
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi09 Mar
RATIBA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA MKOA WA NJOMBE
TANGAZO UBORESHAJI- NJOMBE
5 years ago
Michuzi
NEC yatoa mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la Wapiga kura kwa mikoa 12

Shughuli ya utoaji wa mafunzo imefanyika kwa mikoa 12 nchini,na itakwenda sambamba na zoezi la uwekaji wazi wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya kwanza na uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awumu ya pili.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha, wakati...
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
NEC yaanza uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa (BVR)
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) hapa nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jana, kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Liana Hassan na kushoto ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Joseph Mchina.(PICHA ZOTE NA HILLARAY SHOO Mo Blog, SINGIDA).
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi imeanza mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura,kwa kuwashirikisha kwa karibu waandishi wa habari hapa nchini.
Lengo la...
10 years ago
MichuziSEMINA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA VIJANA WA WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA
Viongozi wa vyama vya siasa na Dini wametakiwa kuwashajiisha wafuasi wao kushiriki katika daftari la kudumu la wapiga kura ili kuweza kujikinga na matatizo mbali mbali yanayoweza kujitokeza ikiwemo kokosa haki zao. Amesema Daftari la kudumu la wapiga kura lipo kisheria si kwa matakwa ya kisiasa hivyo viongozi hao wanapaswa kutumia nafasi zao kuwaelimisha wafuasi wao kushiriki kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura linaloendelea...