Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA yawatega viongozi wake Kahama

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Kahama, kimewapa wiki mbili za kujieleza viongozi wake ni kwa nini wasifukuzwe uanachama kutokana na utovu wa nidhamu. Miongoni mwa viongozi hao watatu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Chadema Kigoma yataja viongozi wake

Fadhili Abdallah, Kigoma CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza majina ya viongozi wa chama hicho Mkoa wa Kigoma watakaokiongoza kwa muda kujaza nafasi zilizoachwa na waliokuwa viongozi waandamizi ambao wamejiunga na Chama cha ACT.

 

9 years ago

Raia Mwema

Chadema ijipime kwanza, viongozi wake wawajibike

UCHAGUZI umekwisha; washindi wamejulikana kwenye ubunge na kwenye urais mshindi tayari ametanga

Lula wa Ndali Mwananzela

 

5 years ago

CCM Blog

CHAMA CHA CHADEMA CHAZIDI KUKIMBIWA NA VIONGOZI WAKE


  Diwani kutoka Kata ya Hunyari iliyopo Halmashauri ya Bunda mkoani Mara Makina Josephat ametangaza kuhama Chadema na kuhamia CCM.
Makina ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Bunda na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hiko kikuu cha upinzani ametangaza uamuzi huo leo jijini Dodoma na kupokelewa na MNEC wa CCM, Ismail Jamaa.
Akizungumza baada ya kumpokea Diwani huyo, MNEC Jamaa amesema wamempokea kiongozi huyo kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa na kwamba taratibu zingine za kumpokea...

 

5 years ago

Michuzi

CHADEMA YATIKISIKA KILOMBERO,VIONGOZI WAKE WAJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM

VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilaya ya Kilombero wamejivua uanachama wa Chadema hicho  na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.

Waliojivua uanachama wa Chadema ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara CHADEMA, Mashaka Mbilinyi, Diwani kata ya Mbasa ,Chiza  Shungu, Mwenyekiti wa kamati huduma za Jamii Ifakara, Digna Nyangile, Diwani Viti Maaalum Ifakara, Antony Mwampunga Kamanda wa Red Briged wilaya Kilombero, Clarens  Manyota na Baraka Masala.

Wanachama hao wapya...

 

5 years ago

CCM Blog

CHADEMA YAPATA MAAFA KILOMBERO,VIONGOZI WAKE WAJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM


Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Bushiru Ali akimpa mkono  Mbunge wa viti Maalum wa wilaya  ya kilombero Dkt.Getrude Lwakatare  wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ya Chama hicho mkoani Morogoro wengine ni viongozi wa Mkoa wa Chama hicho.
Morogoro TanzaniaVIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilaya ya Kilombero wamejivua uanachama wa Chadema hicho  na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.

Waliojivua uanachama wa Chadema ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa...

 

10 years ago

Habarileo

Chadema wachapana makonde Kahama

UCHAGUZI wa ndani wa Chama cha Chadema wilayani Kahama mkoani Shinyanga umeingia dosari baada ya baadhi ya wagombea na wanachama kuchapana makonde kupinga kuenguliwa kwa baadhi ya majina ya wagombea katika uchaguzi wa Baraza la Vijana wa chama hicho (BAVICHA).

 

10 years ago

Habarileo

Chadema Kahama wapigwa mabomu ya machozi

POLISI wilayani Kahama wametumia mabomu ya machozi kutawanya maandamano ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupinga kuendelea kwa Bunge la Katiba.

 

11 years ago

Michuzi

Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Meatu arudi CCM pamoja na viongozi wengine wa Chadema

 Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu Kimwaga Jackson Ndibo akirudisha vitu vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa viongozi wa CCM baada ya kurudi rasmi.  Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akikabdihi kadi ya CCM kwa  moja ya viongozi wa Chadema Meatu waliorudi CCM.  Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akihutubia wakazi wa wilaya ya Meatu na kuwahakikishia wananchi hao CCM imejipanga...

 

11 years ago

Michuzi

AZANIA BANK YAFUTARISHA WATEJA WAKE MJINI KAHAMA

MENEJA WA AZANIA BENKI LIMITED, TAWI LA KAHAMA, BWANA GEOFFREY MAHONA, AKIONGEA KWENYE SHUGHULI YA FUTARI ALIYOWAANDALIA WATEJA WA BENKI HIYO NA BAADHI YA WANANCHI WA KAHAMA KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI YA KAHAMA HIVI KARIBUNI.SHEIKH WA WILAYA YA KAHAMA, MKOANI SHINYANGA, SHEIKH OMAR DAMKA AKIONGOZA WATEJA NA WANANCHI WA KAHAMA WALIOALIKWA KATIKA FUTARI ILIYOANDALIWA NA BENKI YA AZANIA TAWI LA KAHAMA HIVI KARIBUNI KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI KAHAMA.ALHAJ JAHA , AMBAYE NI MMOJA WATEJA WA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani