Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kipindupindu chazidi kuwa tishio Dar:

Ugonjwa wa kipindupindu umeendelea kuwa tishio kwa afya na maisha ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam kutokana na ongezeko la wagonjwa na vifo katika manispaa mbili kati ya tatu za jiji hilo.

Ugonjwa huo awali uliikumba Manispaa ya Kinondoni lakini sasa umeenea katika Manispaa ya Ilala na Temeke ambako kumelazimisha kufungwa baadhi ya visima vya maji na kupigwa marufuku biashara ya vyakula na matunda.

Hadi sasa imethibitishwa jiji la Dar es Salaam kuwa bado si salama kwa ugonjwa wa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Kipindupindu chazidi kuwa tishio chapiga hodi singida 11 walazwa.

WAKATI ukiwa bado ukiendelea kutikisa katika Jiji la Dar-es-Salamu na kuua watu wengi, ugonjwa wa Kipindupindu umeingia katika Manispaa ya Singida ambapo watu 11 wamelazwa kwenye kambi iliyotengwa eneo la viwanja vya Mandewa kwa ajili ya kutibu wenye dalili za ugonjwa huo.

 Tayari watu watatu miongoni mwa 11 waliozwa kwenye kambi iliyoanzishwa wakiharisha na kutapika, wamefanyiwa vipimo vya kitaalamu na kubainika kuwa na ugonjwa huo hatari wa kipindupindu.

 Akizungumza na waandishi wa habari...

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chazidi kuua Sengerema

Idadi ya wagonjwa waliokufa kwa ugonjwa wa kipindupindu wilayani hapa Mkoa wa Mwanza imeongezeka kutoka sita hadi kufikia tisa.

 

9 years ago

Mwananchi

Ni aibu Dar kuwa sugu kwa kipindupindu

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Paul Makonda aliripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari akizungumzia kulipuka kwa ugonjwa wa kipindupindu katika wilaya yake, baada ya kutokea vifo vitatu na idadi ya wagonjwa kuongezeka hadi 34.

 

9 years ago

Michuzi

RC KILIMANJARO,AMOSI MAKALA AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI KUZUNGUMZIA TISHIO LA UGONJWA WA KIPINDUPINDU.


Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala akizungumza nawanahabari pamoja na Waganga wakuu wa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro juu ya tishio la ugonjwa hatari wa Kipindupindu.Baadhi ya Waganga wakuu wa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro pamoja na waandishi wa habari wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Amos Makala ,(hayupo pichani).
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

GPL

KIPINDUPINDU TISHIO KAMBI YA WAKIMBIZI WA BURUNDI NYARUGUSU, OXFAM YATOA MSAADA WA MAJI SAFI NA VYOO

 Baadhi ya wakimbizi wakiwa wamewasili Kigoma  Wakimbizi kutoka…

 

11 years ago

BBCSwahili

Ongezeko la joto lazidi kuwa tishio

Ongezeko la joto duniani huenda likaleta madhara makubwa zaidi na ambayo hayawezi kurekebishika

 

11 years ago

Habarileo

Ukimwi wazidi kuwa tishio kwa watoto

HATARI ya kuongezeka kwa vifo vya watoto vinavyotokana na upungufu wa kinga mwilini (Ukimwi) na maradhi nyemelezi, inatishia taifa.

 

5 years ago

Michuzi

MINYOO BAPA YATAJWA KUWA TISHIO LA AFYA MIFUGO

Naibu Waziri wa Kilimo.na Mifugo Abdallah Hamis Ulega akizungumza katika mkutano wa siku moja wawataalam wa mifugo na Watafiti katika ukumbi wa Mauntmeru Holel leo.
Na.Vero Ignatus,Arusha
Serikali kupitia wizara ya mfugo imepokea utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha kilimo Sokoine kwa kushirikiana na chuo cha Livepol cha Uingereza na kile Bristone uingereza kuhusu athari na njia za kudhibiti magonjwa ya minyoo
Utafiti huo pia uliangazia kuwepo kwa sugu wa vimelea vya magonjwa hayo kwa dawa...

 

11 years ago

GPL

UNENE NI SHIDA! UNAONEKANA KUWA TISHIO KULIKO NJAA

Utafiti wa hivi karibuni uliofanywa nchini Marekani umeonesha kuwa suala la unene wa kupita kiasi (obesity), limekuwa tatizo kubwa duniani kuliko hata tatizo la njaa. Takwimu zilizopo zinaonesha kuwa mwaka 1950, idadi ya watu waliokuwa wakikabiliwa na njaa duniani ilikuwa milioni 700. Kwa miaka hiyo, watu milioni 100 tu ndiyo walioathiriwa na matatizo ya unene wa kupita kiasi. Yaani watu milioni 700 walikuwa wanasumbuliwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani